subiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Subiri IDD ipite ndo uanzishe mahusiano ,soma alama za nyakati

    Aisee jiongeze usitongoze msichana weekend hii lazima akupige panga la kisogo lazima kirungu kihusike umtunze hela ya kijora au dera apate mtoko wa sikukuu. Kukataliwa hutakataliwa hata kidogo kikubwa ni maokoto.
  2. D

    Taja miradi inayosubiri uchaguzi 2025 ndio izinduliwe na wanasiasa licha ya kukamilika au kucheleweshwa kwa makusudi

    Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji? Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
  3. Chief Kumbyambya

    Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

    Wataalam wa mambo... twende kazi.... Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu. Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika...
  4. Daydream

    Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Watu wengi wana tabia ya kudharau watu wa mtaani kwake au marafiki zake aliokua nao mara tu baada ya kupata ajira na kupata marafiki wapya wakiamini hao marafiki wapya ni bora kuliko wazamani. Ukitaka kuamini kwamba kazini una marafiki bora au la subiri siku uachishwe kazi (Termination) ndo...
  5. Kiboko ya Jiwe

    Huna mpenzi bali una tapeli. Mwandikie SMS kuwa una shida na elfu 10 chap halafu subiri majibu

    Hii ni kwa ma men. Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka. Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake...
  6. R

    Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  7. Gulio Tanzania

    Mchumba hahudumiwi vijana

    Miaka ya nyuma wanaume wengi walisalitiwa na wachumba baada ya kuwasomesha shule kwa gharama kubwa wakiwa na tegemeo la kuwa wenza wao wa maisha hapa ikaibuka kauli "mchumba hasomeshwi" somo hili watu wengi walilielewa jambo hili likakoma Sasa kutokana Tabia ya utapeli baadhi wa hawa dada zetu...
  8. N

    Subiri ujionee sasa: faini hii ya simba itashikiwa bango na"wachambuzi" kinoomanooma

    Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
  9. Sky Eclat

    Shukrani haiombwi wala haidaiwi, subiri ukumbukwe

    Kidawa alizaliwa wazazi wake wote wawili wakiwa vijana, walikua wapenzi tangu wakiwa shuleni. Baada ya uzazi wa Kidawa walihangaika sana kupata mtoto wa pili. Mama kidawa alifanya maombi mengi kwa Mungu, alibarikiwa kumpata mtoto wa kiume aliyepewa jina la Alex. Wakati huu Kidawa akiwa kigori...
Back
Top Bottom