usafiri

  1. Mr Why

    Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  3. Roving Journalist

    Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Makame Mbarawa amesema majaribio treni ya SGR yamekuwa yakizingatia usalama unaofanya treni kutembea kwa mwendokasi wa chini tofauti na itakavyokuwa baada ya safari rasmi kuanza. Mbarawa amesema treni hiyo kwa kawaida itakuwa na mwendo kasi wa Kilometa...
  4. Medical Dictionary

    MSAADA: Utaratibu wa kisheria wa kulipwa fidia na Bima unapopata ajali kama abiria kwenye chombo cha usafiri.

    Habari wanajukwaa, Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia? Natanguliza shukrani.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

    Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna mtu...
  6. T

    Ni lini Serikali itaondoa/ itamaliza kadhia na mateso ya usafiri wa daladala kwenye majiji makubwa?

    Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida. Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na jioni wananchi hupata mateso makubwa sana wanapohitaji kusafiri Kwa kutumia daladala. Licha ya kuwa...
  7. BigTall

    Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Jana Machi 26, 2024 nikiwa kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kivukoni, kulikuwa na nyomi la hatari mida ya jioni, mabasi mengi yalikuwa yamepaki pembeni na machache yaliyokuja hayakukidhi haja ya huduma iliyotakiwa kutolewa. Watu walikuwa wengi na wengine wakionekana wanataka kuwahi kwenda kupata...
  8. JF Toons

    Umekutana na hali kama hii kwenye usafiri wa umma, utampisha nani?

    Kwako mdau, vuta picha upo kwenye usafiri wa umma na hali ndiyo hiyo. Je, utampisha nani?
  9. African Geek

    Ni mbinu gani zinatumika kutega abiria wa taxi mtandaoni (Bolt, Uber, Faras)?

    Wakuu, habari za muda huu. Ningeomba kujuzwa na wataalamu wa hizi kazi za taxi mtandaoni, namna gani ya kupata abiria wengi. Mimi ni mgeni kwenye hizi kazi na ningependa kupata walau abiria 10 kwa siku. Je, nifanye kazi muda gani, siku gani na maeneo gani ili niweze kunasa abiria kwa urahisi...
  10. K

    Uanzishwe mpango maalumu wa usafiri Kwa wanafunzi wa shule za Umma

    Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa miundombinu mbalimbali na kubwa zaidi ujenzi wa Reli. Waziri, binafsi ninakukubali Kwa uchapakazi na...
  11. A

    DOKEZO LATRA fanyeni hivi kutatua Tatizo la bodaboda na bajaji na usafiri wa mijini kwa ujumla

    Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali. Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji. Solution ni simple. Waache kusajili bodaboda na bajaji. Waacha kuimport. Hiz zilizopo zifanye route...
  12. Papaa Mobimba

    LATRA imeshindwa kutuletea usafiri wa daladala njia ya Tegeta/Bunju-Kawe Ukwamani kupitia barabara ya Mwai Kibaki?

    Januari 2023 LATRA ilitangaza maombi ya leseni kwa wadau wenye vyombo vya usafiri kwa ajili ya kusogeza huduma ya usafiri kwa wananchi wanaotumia barabara ya Mbezi Chini inayojulikana kama Mwai Kibaki. Route hiyo ilikuwa inaanzia Bunju na Tegeta, inakuja kuingilia Afrikana Mbezi, na kwenda...
  13. LA7

    Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini? Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani, Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu...
  14. Mangi wa Rombo

    Usafiri binafsi kwenda Moshi KiliMarathon Tar 23 jioni Kurudi 25 jioni

    Mambo vipi wakuu! Kwa anayehitaji kwenda Moshi kwa ajili ya kushiriki Kili Marathon, nitaondoka jioni ya tar 23 Ijumaa na gari binafsi, 5 seater, so nna nafasi ya watu 4! Kurudi jumapili jioni tar 25! Unaweza cheki na mimi for booking Thanks Update: Gari imejaa (full booked) ahsanteni
  15. ward41

    Jirani anatumia usafiri wa ajabu kweli

    Jirani anatumia usafiri wa ajabu kweli Kujisifu kote kule lakini usafiri wa umma hovyo. Hivi afcon 2027, east Africa inaweza pigwa ban maana usafiri wa Nairobi kichefuchefu Jirani, badilika
  16. Nrangoo

    Usafiri wa mwendokasi kituo cha KIBO ni kero kubwa

    Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO. Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami. Je kama mmeona kuna...
  17. Roving Journalist

    Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini, watakiwa kufuata Sheria za Usalama barabarani

    Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao. Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
  18. S

    LATRA Mkoa wa Arusha haya mateso ya usafiri wa King'ori na Kikatiti yataisha lini? Daladala zinaishia Maji ya Chai. Abiria wanateseka

    Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo; 1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori 2. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kikatiti Haya magari kwanza hayaanzii safari sehemu...
  19. P

    Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
Back
Top Bottom