Kazini kwa Ahmed Ally kuna kazi.

Mpira hauchezwi kwenye mwendokasi. Unakaribisha sonona kama usipopata matokeo

View: https://www.youtube.com/watch?v=q5XPwqG7Y-4

Dogo anajitahidi Sana . Ni one man army 🪖 naona kama ametelekezewa timu au viongozi wake wengi ni wazee ambao hawajui umuhimu wa promotion na kutengeneza propaganda. Kule kwenye utopolo wapika propaganda ni wengi na viongozi nao ni masela nondo wananyambulika. Huyu yupo katikati ya msitu wa ma concervative lakini ana survive
 
anapuyanga, kaachana na mis misondo. Jwaneng wamuonee huruma Ahmed tu, bao moja tu linatosha.
 
Angemleta Misso Misondo mngesema hana jipya, Hamridhiki watu 🤣🤣🤣
Huku ni kuwaomba mashabiki waje uwanjani kwa kumruhumia Ahmed Ally sio kwaajili ya timu. Timu inavyocheza haivutii mashabiki kuishobokea. Matokeo mazuri na kandanda safi ndio ndele ya kuvuta watu kwenda viwanjani. kazini kwake kuna kazi. Uongozi wamesajili wachezaji wa mchongo ambao wanamfanya Chama aendelee kuwavimbia kikosini.
 
Pale wapaka piko na wavaa misuli wanapocheka mwanaume akiwa kazini...
 
Dogo anajitahidi Sana . Ni one man army 🪖 naona kama ametelekezewa timu au viongozi wake wengi ni wazee ambao hawajui umuhimu wa promotion na kutengeneza propaganda. Kule kwenye utopolo wapika propaganda ni wengi na viongozi nao ni masela nondo wananyambulika. Huyu yupo katikati ya msitu wa ma concervative lakini ana survive
Unadhani anaweza kufanya hizo promo bila kupewa fungu? Kwani upande wa pili umeshawaona kina Mtime na Hersi wakishiriki katika promo za kina Kamwe?
 
Nje ya mada
Hii sio nje ya mada, kazini kwa Ahmed kuna kazi. Wakati Ahmed anawaunganisha wanachama na mashabiki mo anawaparaganyisha wakati huohuo. Kulikuwa na sababu gani mo kupost sasa jambo la kuinunua timu ya simba wakati focus iko kwenye mchezo na jwaneng?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom