hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Mambo matano hatari ukiwa CCM, moja lilimkuta Comrade Chongolo

    Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
  2. Allen Kilewella

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
  3. M

    Kambi ya Chumbi ni hatari Kwa waathirika wa Mafuriko Rufiji

    Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa. Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama Kwa kuwa eneo la Kambi Mvua ikinyesha Bado maji yataingia ndani ya Kambi husika Mazingira ya vyoo...
  4. MINING GEOLOGY IT

    Madini ya Uranium yenye faida kubwa na hatari kubwa

    Uranium ni elementi ya kemikali yenye alama ya kikemia U na namba atomia 92 katika jedwali la elementi. Ni metali tekevu yenye rangi ya kijivu-nyeupe na ina uwezo wa kuwa na mionzi ya sumaku umeme. Uranium ni mojawapo ya elementi zinazopatikana kiasili duniani na iliumbwa wakati wa michakato...
  5. GENTAMYCINE

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  6. Mr Chromium

    Nchi hatari zaid kwa binadamu kuishi duniani! China, Iran & Saudi arabia

    Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka. China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka. Makosa ikiwa ni wanasiasa wa upinzani,madawa,ushoga ,Rushwa na uhaini IRAN pia ilinyonga watu...
  7. Huihui2

    Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

    -- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa -- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa -- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa...
  8. Abraham Lincolnn

    Kiongozi kujenga tabaka lako dhidi ya wale unaowaongoza ni hatari kwa maendeleo ya taifa

    Unapokuwa kiongozi na ukashindwa kujishusha mpaka chini kwa wale unaowaongoza, kwa kisingizio kwamba wapo viongozi husika katika kila eneo, maana yake unatengeneza picha na unatuma ujumbe kwa wale walioko chini yako kwamba nao wanao watu chini yao hivyo hawapaswi kuwajibika! Mfano kiongozi wa...
  9. A

    DOKEZO Hali ya Choo cha MV KOME II ni hatari kwa afya na usalama wa Watumiaji

    Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri huo. Kivuko hicho kwa sasa hakina huduma bora ya choo kwani choo kilichopo ni kibovu kimejaa matobo...
  10. mwanamwana

    Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
  11. R

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi. Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu...
  12. Mributz

    INAUZWA LG sound bar hatari

    LG SOUND BAR 380K ☎️ 0718909429
  13. Zanzibar-ASP

    Katika hili waziri wa michezo (Ndumbaru) amekosea, ni hatari, mamlaka zirekebishe mapema

    Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za Tanzania (Simba na Yanga) kuonekana uwanjani. Kwa hakika hii sio kauli ya kiungwana kwenye soka, na...
  14. P

    Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  15. BARD AI

    UTAFITI: Kulala chini ya Saa 6 kunaweza kuongeza hatari ya kupata Saratani na Kifo

    Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla. Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
  16. Influenza

    Kama unatumia Apps hizi kwenye kifaa chako cha Android, ziondoe haraka. Ni hatari! | Xamalicious, a new dangerous Android 'copycat app'

    Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
  17. Excel

    Nilimchangia Nauli jana ameishia kuibetia, ulevi wa kamari ni hatari sana

    Huyu mwanamke ana akili za hovyo, bado ananiomba tena nimchangie abeti wakati shida yake kubwa ni nauli.
  18. Ashampoo burning

    Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
  19. D

    NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Tanzania hivi karibuni umefanya marekebisho katika kifurushi chake kinachohusisha pia dawa, yakiwemo madawa ya antibiotic, ambapo imepunguza sana bei. Anaye command soko la dawa Tanzania ni NHIF. Na sasa hii ni RASMI kwamba soko la dawa litatawaliwa na...
  20. Mama Edina

    Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

    Waungwana, Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Ni sehemu tunamoonesha utendaji kazi ili kiuweza kumshawishi boss akupe bonus kama ni kiwandani na...
Back
Top Bottom