bar

The bar is a metric unit of pressure, but not part of the International System of Units (SI). It is defined as exactly equal to 100,000 Pa (100 kPa), or slightly less than the current average atmospheric pressure on Earth at sea level (approximately 1.013 bar). By the barometric formula, 1 bar is roughly the atmospheric pressure on Earth at an altitude of 111 metres at 15 °C.
The bar and the millibar were introduced by the Norwegian meteorologist Vilhelm Bjerknes, who was a founder of the modern practice of weather forecasting.The International Bureau of Weights and Measures (BIPM) lists the bar as one of the "non-SI units [that authors] should have the freedom to use", but has declined to include it among the "non-SI units accepted for use with the SI". The bar has been legally recognised in countries of the European Union since 2004. The US National Institute of Standards and Technology (NIST) deprecates its use except for "limited use in meteorology" and lists it as one of several units that "must not be introduced in fields where they are not presently used". The International Astronomical Union (IAU) also lists it under "Non-SI units and symbols whose continued use is deprecated".Units derived from the bar include the megabar (symbol: Mbar), kilobar (symbol: kbar), decibar (symbol: dbar), centibar (symbol: cbar), and millibar (symbol: mbar). The notation bar(g), though deprecated by various bodies, represents gauge pressure, i.e., pressure in bars above ambient or atmospheric pressure.

View More On Wikipedia.org
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  2. pelius laurent

    Fanya biashara kisasa ukiwa na Lipa kwa Mpesa

    LIPA KWA M-PESA Ni laini ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya wafanyabiashara wooote iwe online business, Sheri, Hotel,Guest House, makampuni mbali mbali n.k. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuuzia bidhaa na kutunza fedha za mfanyabiashara ili ziwe salama zaidi lakini pia kuwaweka wateja wake kwenye...
  3. Moto wa volcano

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee. Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa wanaepuka domokaya na maneno ya wakezao, mtazamo wangu juu yao umebadilika. Naomba msamaha kwa...
  4. ndege JOHN

    Siku za mpira kwenye baa soda na maji ndiyo vina faida kuliko bia

    Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
  5. enzo1988

    Jamii Forum mtapunguza(minimize) lini hiki bar??

    Uongozi ulisema kutakuwa na update ya kupunguza (minimize) hii bar mpya ya chini ambayo imechukua nafasi kubwa sana! Ni siku ya nne tangu nitoe malalamiko kuhusu hii bar mpya. Bar mpya ya chini! Matatizo makubwa kwangu binafsi ni haya: 1) Intended threads or page scrolling 2) Both...
  6. Mributz

    INAUZWA LG sound bar hatari

    LG SOUND BAR 380K ☎️ 0718909429
  7. A

    Bar code

    Wakuu hivi mchakato wa kupata barcode kwa mjasiriamali mdogo ukoje...Kuna mdau alisema ni pale ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilala ndio ofisi zilipo ni sawa.
  8. Jamii Opportunities

    ABA ROLI Africa- Freedom of Expression Consultant at American Bar Association March, 2024

    Terms of Reference ROLI Africa- ABA ROLI Freedom of Expression Consultant; April 2024 – June 2024 Background. For 30 years, and through our work in more than 100 countries, ABA ROLI and our partners have sought to strengthen legal institutions, support legal professionals, foster respect for...
  9. ndege JOHN

    Bidhaa za kimachinga za kutembea nazo katika mitaa,ma bar na stand

    -Charges -power bank -protecter -machine za kunyolea za kuchaji -visu vya kujilinda -torch -mikanda -simu ndogo ORIGINAL hasa za Nokia -flash -vifaa vya mazoezi mfano kamba Anayejua machimbo ya bidhaa Hizo Kwa kariakoo atupe maelekezo na pia bei Zake katika maduka ya jumla na pia kama kuna...
  10. A

    Serikali ya mtaa wa Mwenge, Dar es Salaam mnanufaika vipi na huyu mtu aliyefunga mtaa wa Zayumba mbele ya Kibo Bar?

    Ni miaka mingi huyu mtu amefunga huu mtaa, ambae amepangisha watu barabarani, barabara yetu ya kupita, na kapangisha watu, mbele kajenga fremu na kajenga banda la chips, kaweka mama ntilie, na katengeneza umiliki wake. Huu mtaa kiuhaalisia ukitokaa sinza hii barabara ya Africa sana kuja TRA...
  11. D

    INAUZWA Nauza sound bars

    Soundbar hizo zina mziki mzuri, zina Bluetooth USB na HDMI Bei: 120,000 Zipo Dar Mawasiliano: +255621396850
  12. The Evil Genius

    Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame. Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi. Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
  13. Webabu

    Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio. Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi. Iran successfully launches 3...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu? Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo. Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
  15. Wadiz

    Kwanini bar nyingi zenye biashara ya kitimoto zina mazingira machafu na allergy ya usafi

    Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu. Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja? Ni hayo tu Wadiz
  16. The Evil Genius

    JBL 1300X Wireless Sound Bar Watts 1070

    Wakuu habari za boxing day. Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki. Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya sound bar taja hapo juu kutoka JBL. Kwa sasa natumia JBL 9.1 ila nataka mwakani mapema ni upgrade...
  17. Teslarati

    Unakula Usiku wa Xmas ukiwa bar, pub au kiwanja gani?

    Tujuane wadau, labda nilipokaa hapa kuna member wa jf nae ana-browse ila hatujuani. Nimerudi Dar jioni hii ila nimetulia hapa Micassa Pub Ubungo Uko wapi mdau? Mshana Jr LIKUD The Boss Extrovert cocastic Nifah dronedrake The only Na wengine wengi
  18. benzemah

    Askari Polisi amuua kwa Risasi Mlinzi wa Baa ya Boardroom Iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dares Salaam lilipokea taarifa kuwa tarehe 29/11/2023, Saa sita usiku maeneo ya Sinza Mapambano Kinondoni askari wawili walimjeruhi kwa risasi mu mmoja aliyefahamika kwa Jina la Razaki Azan mwenye umri miaka 29 mlinzi binafsi wa Bar itwayo Board room iliyopo Sinza...
  19. Msanii

    Polisi kuua mlinzi wa bar Dar: Je, Chalamila anakwepaje kuwajibika?

    Tumeshuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akivalia njuga wanawake wanaojiuza almaarufu makahaba. Zoezi lilianzia kwenye kuvamia na kuvunja vibanda maarufu vijjlikanavyo kama Vibanda vya Wahaya na kuwatia mbaroni baadhi yao. RC Chalamila anayesifika kwa tabia za ufyatu ambapo aliwahi kusikika...
Back
Top Bottom