angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. Mto Songwe

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
  2. 6 Pack

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote. Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo...
  3. Ritz

    Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

    Wanaukumbi. ⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia...
  4. Informer

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  5. Jaji Mfawidhi

    CCM ndio hii, angalia anguko lake! Fomu ya Urais iuzwe Milioni 200!

    1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ? 1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo wa chama kimoja (1965, 1970, 1975 & 1980) Rais JK Nyerere hakuwahi kujaza fomu ya kugombea Urais...
  6. M

    Video: Angalia jinsi huyu askari alivyokosa utu

    Kuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli? SIJUI NI NCHI GANI HII.
  7. D

    Angalia michango ya baadhi ya wanawake baada ya mwenzao kuomba ushauri juu ya kuchepuka akiwa na mimba

    Nilikua napitia mtandaoni nikakutana na hii kitu, kweli imenishangaza sana! Cha kushangaza zaidi ni michango ya wanawake wenzie. Hizi ndoa ni hi kuishi kwa akili sana.
  8. sanalii

    Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  9. M

    Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  10. M

    Video: Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, angalia huyu jamaa anadai kuwa ni mtoto wa Marioo

    Mimi Mjanja M1 siwezi kujichosha kuandika paragraph kuhusu hii Habari. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako?
  11. Erythrocyte

    Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
  12. M

    Video: Angalia jinsi panga linavyodunda kwenye mwili wa mtu aliechanjwa madawa ya asili

    Kama ushawahi kusikia mtu amechanjwa madawa yanayozuia silaha kutomdhuru eg. Mapanga, risasi, visu n.k ANGALIA VIDEO HAPA
  13. GoldDhahabu

    Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Kenya wanaonekana wapo vizuri sana upstairs! Wakati jirani zao wakibweteka kwa kuwa na ardhi kubwa na idadi kubwa ya watu, wao na viongozi wao wanachangamkia fursa zilizopo ng'ambo. Kwa jicho la haraka haraka, inaonekana Kenya, Rwanda na Uganda zimeipita mbali sana Tanzania kwa raia wake...
  14. M

    Video: Angalia sherehe ya Ngosha ilivyokuwa

    Msukuma kavuta Jiko na hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya Sherehe.
  15. aise

    Una maoni gani kwa matokeo haya ya kidato cha pili Shule ya Diplomasia inayopatikana Dar?

    Kwa matokeo haya una maoni gani? Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
  16. M

    Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

    Wachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali. ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
  17. Kiboko ya Jiwe

    Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
  18. The Evil Genius

    Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

    Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan. Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto? https://twitter.com/abasmas/status/1740720706110038506?s=19
Back
Top Bottom