makazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Wahindi wananyanyasa wafanyakazi wazawa makazini

    Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa nafasi za juu, na ikitokea umegoma kumsujudia jua kazi hauna. Serikali ianze kuwafatilia hawa watu...
  2. M

    Mbinu za kuishi na watu wenye tabia ngumu makazini

    Kama sio wewe basi utakuwa umewahi kutana na mtu akilalamika dhidi ya watu ambao wana tabia zisizo rafiki na pengine mpaka mtu huyo anatamani kuachana na kazi hiyo ili aepuke kukutana na watu hao , ni kweli wapo watu wana tabia ambazo ni ngumu kuvumilikika kiasi cha kufanya wengine wakose amani...
  3. L

    Uthibitisho wa Makazi

    Habari wanajukwaa, Naombeni tugusie kuhusu uthibitisho makazini kwa watu wa serikali, imekuwa kama mchezo mtu akiajiriwa anakaa miaka na miaka hapewi uthibitisho wakati sheria inasema mfanyakazi anaweza thibitisha kwanzia mwaka nakuendelea especially huku TAMISEMI.
  4. Balqior

    Nimegundua makazini, watu wengi wanaogopa bosi wao, kuliko wanavyomwogopa Mungu

    Habarini, Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea. Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
  5. M

    Ngenga makazini haziwezi kuisha. Binadamu wana roho mbaya kuliko wanyama

    We piga kazi nenda zako home. Kula zako Kangala changanya na Ambiace. Lala fofofo Asubuhi piga kimoja cha burudani, oga nenda kapige kazi.
  6. sky soldier

    Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  7. Niache Nteseke

    Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
  8. Restless Hustler

    Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Habari za muda huu Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu 1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi...
  9. BARD AI

    Ndalichako ashauri Maboss kuwawekekea Gym wafanyakazi makazini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo ‘gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema. Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
  10. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Back
Top Bottom