john

  1. ndege JOHN

    Nahitajika Mshirika tuchange naye BTTS mbili kianzio 10000 kila siku formula hii hapa

    Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
  2. Papaa Mobimba

    John Heche: Makonda anawahoji Polisi kwenye mkutano wa hadhara wa CCM kwasababu anawaona kama green guard

    Polisi walianza kujiingiza ccm, baadae wakajigeuza kuwa wanachama wa ccm. IGP kadhaa wameruhusu hilo litokee. Leo Makonda anamuita mtu mwenye level ya RPC anamuhoji kwenye mkutano wa hadhara. Hii inatokea kwasababu Makonda anajua hawa ni wanachama wao. Polisi wetu wanapaswa kufanya kazi kwa...
  3. DOKEZO

    TANZIA Mungu ailaze roho ya Janken John Njunde mahali pema peponi

    Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya kutimiza malengo aliyokupa hapa duniani. Tunaamini umefika salama kwa mungu baba hakika kama...
  4. A

    John Rambo: First Blood 1982

    Habari kwa wana 'JF' Niende moja kwa moja kwenye uzi, baada ya kupita muda bila kutazama movies za zamani nikajipa muda kwa siku za mwisho wa wiki kuanza kutazama hizo movies moja moja kadiri muda utakaponiruhusu. Nilianza na hii "First Blood" ya Sylvester Stallone. Stori ipo hivi: John...
  5. thatHUMBLEguy

    Leaving on a Jet Plane by John Denver: Hakika Hustle Life is a lonely life!

    So kiss me and smile for me Tell me that you'll wait for me Hold me like you'll never let me go 'Cause I'm leavin' on a jet plane Don't know when I'll be back again Oh babe, I hate to go Nimeusikia wimbo huu wa John Denver uliotoka miaka ya 1960/70—sikua nimezaliwa— maneno yake yakanigusa na...
  6. D

    John Shibuda: Niko njiani kuja kuunga mkono maandamano ya Chadema 24/1/2024

    Mwanasiasa mkongwe nchini na M/kiti mstaafu wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Magale Shibuda amesema yuko njiani kutosha Shinyanga kwenda Dar es salaam kuyaunga mkono maandamano ya Chadema ya 24/1/2024 na kutoa sababu za kufanya hivyo. Shibuda ambaye amewahi kuwa kada wa Chadema na...
  7. Sir John Roberts

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  8. Erythrocyte

    CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi. Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024...
  9. UMUGHAKA

    Kama CCM wanapata presha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, siku John Heche akiwa mwenyekiti watakufa kabisa!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze! Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu! 1.Huwa wanadai...
  10. Wakili wa shetani

    Serikali ya Zanzibar haioni kwamba inawajibika kuwafanyia kitu watu wa Field Marshall John Okello?

    Mapinduzi ya Zanzibar yaliendeshwa na bwana John Okello. Hili halina ubishi. Mapinduzi yalianza saa tisa za usiku yakiongozwa na Okello na watu mia kadhaa wakiwa na silaha za jadi. Walivamia vituo vya polisi na huko ndiko walikopata bunduki. Kufika saa moja asubuhi Okello akatangaza redioni...
  11. JanguKamaJangu

    Msikilize John Heche anazungumza na wakazi wa Ifakara

    https://www.youtube.com/watch?v=Gk-1nyMsDF0
  12. Erythrocyte

    John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025. Habari kamili hii hapa.
  13. sky soldier

    Edo Kumwembe aliwahi kugusia tatizo la nidhanmu ya Kelvin John huko Ulaya, sijashngaa kocha wa Taifa kumlalamikia, Kelvin abadilike lasivyo atapotea

    Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni...
  14. Pascal Mayalla

    Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni...
  15. R

    John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki. Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila...
  16. Wafalme 18

    John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche. Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho, Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi...
  17. D

    Kuhusu Kuunga Mkono Jitihada za Serikali, St. John University, Dodoma Mjiongeze

    Sekta binafsi ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi. Pale st John university kikuyu wana eneo kubwa sana ambalo limekaa kikmkakati. Ukitoka kwenye jengo lao jipya la utawala, wana eneo kubwa ambalo linaenda mpaka kikuyu centre. Kama walivyofanya ndugu zao pale kanisani mjini kuwekeza kwenye jengo...
  18. Erythrocyte

    Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  19. Webabu

    John Bolton, mgomvi wa Trump na mshauri wa masuala ya ulinzi asema Israel imeshindwa vita

    Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas. Katika makala yake iliyochapishwa juzi kwenye gazeti la Telegraph, Bolton amesema usitishwaji wa vita wa siku nne...
Back
Top Bottom