mshirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka.
  2. ndege JOHN

    Nahitajika Mshirika tuchange naye BTTS mbili kianzio 10000 kila siku formula hii hapa

    Sina mambo Mengi sana ipo hivi nataka mshirika aliye serious tufanye ushirikiano wa kula hela japo ndogondogo kila siku formula hii hapa yeye Atachagua team moja ya GG Na Mimi nitachagua yangu moja kisha tutazicombine na angalau zikitoa maximum odds ya 3 basi tunaweka mzigo wa 20000 yeye 10000...
  3. Mparee2

    Anahitaji mshirika kwenye Biashara

    Habari wapendwa, Kuna rafiki yangu (wa kiume) anahitaji mtu wa kumuonesha njia/kushirikiana naye kwenye Biashara Na maanisha anahitaji mtu anayefanya Biashara tayari na anayehitaji mtu wachangie mtaji (wakuze mtaji) wafanye wote. Ni mchapakazi (zote), muaminifu, Elimu kidato channe. Yupo...
  4. Laizerpeter3

    Nahitaji washirika au Mshirika wa kufanya mradi wa kilimo na ufugaji

    Habari wanafamilia wa JF, Nipo Tanga, Nina shamba lenye miundombinu yote ya Kilimo na Ufugaji, kama mabanda, zizi, nyumba ya wafanyakazi n.k. Ila bado tumaji. Kuna maji ya bomba ila hayatoshi kwa kilimo na ufugaji wa kibiashara kwani ni kidogo na yanatoka mara chache kwa wiki. Kama kuna mtu au...
  5. Nsanzagee

    Putin hana mshirika; Korea Kaskazini ni rahisi kutokea vikundi vya kuipinga Serikali kukitokea vita na nchi za Magharibi

    Ushirika wa maana kwa Putin, angalau ni China tu, kwa Kim ni rahisi mno kujitokeza vikundi vya kumgeuka na kusambaratisha Serikali yake kwa haraka. Kim, ni mtesaji wa watu wake! Ni muuaji wa wawananchi wake, maisha mazuri yapo kwa watu wachache sana Korea Kaskazini, Raia hawamtaki Kim, yupo...
  6. TheForgotten Genious

    SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  7. Majighu2015

    Natafuta mshirika wa maswala ya TEHAMA tupige pesa

    Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna wataalamu wengi mtaani wenye utaalamu wa kutosha. Kwa sasa natafuta software developer(full stack) na...
  8. JOTO LA MOTO

    Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

    Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar. Ninaamini...
  9. sky soldier

    Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  10. JaxenDL

    Mshirika mpya

    Salaam.. mnipatie orientation
  11. Bensoy

    Natafuta mshirika kuanzisha learning center eneo la Pugu, Dar es salaam

    Salamu wapendwa. Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam. Jengo ninalo na liko centre nzuri Pia nina waalimu wa somo la kiingereza kifaransa. Waalimu wa nursery na baby care sio shida kuwapata. Nimeshaanza...
  12. Gerald1

    Nahitaji kuifanya hii biashara endapo nikipata mshirika wa kuniwezesha

    NAOMBA NISAPOTI HARAFU MIMI NITAKUREJESHEA KWA SIKU KAMA MAANDIKO YA KISHERIA YATAVYO SEMA KUTOKANA NA KIASI UTAKACHO TOA.
  13. Rogart Ngaillo

    Nahitaji mshirika katika ufugaji kuku wa kienyeji na bustani

    Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu! Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni. Mfano: ■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
  14. abby abdy

    Nahitaji mshirika kuanzisha Mgahawa

    Natafuta mtu ambaye ataweza endeleza pale nilipoishia, nilikua nataka kufungua mgahwa na nimenunua viti meza kabati na vyombo va kutumia na majiko ila nimekwama katika mtaji na hela ya kulipia eneo la bishara hivyo kama kuna mtu naweza kuja na kuweka hela yake katika kulipia eneo na mtaji Mimi...
Back
Top Bottom