rambo

Rambo is an American media franchise centered on a series of action films. There have been five films released so far in the series: First Blood (1982), Rambo: First Blood Part II (1985), Rambo III (1988), Rambo (2008) and Rambo: Last Blood (2019). The films follow John Rambo, a United States Army Special Forces veteran played by Sylvester Stallone, whose experience fighting in the Vietnam War traumatized him but also gave him superior military skills, which he has used to fight corrupt police officers, enemy troops and drug cartels. The first film in the series, First Blood, is an adaptation of the 1972 novel First Blood by David Morrell.
The film series has grossed $819 million in total, with the most successful film, Rambo: First Blood Part II, grossing $300 million. Stallone co-wrote the screenplays of all five films, and directed Rambo. In addition to films, the franchise also spawned an animated television series, Rambo: The Force of Freedom, as well as comic books, novels, video games and a Bollywood remake.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    John Rambo: First Blood 1982

    Habari kwa wana 'JF' Niende moja kwa moja kwenye uzi, baada ya kupita muda bila kutazama movies za zamani nikajipa muda kwa siku za mwisho wa wiki kuanza kutazama hizo movies moja moja kadiri muda utakaponiruhusu. Nilianza na hii "First Blood" ya Sylvester Stallone. Stori ipo hivi: John...
  2. whitehorse

    Rambo nyeusi zimetoweka zimekuja rambo za blue 😌

    Wana JF , Ninaandika kwa wino wa masikitiko kuhusu hii mifuko ya nylon (plastick) kwa sasa inajulikana kama vifungashio . Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)wamefeli kabisa kulinda mazingira kwa kuruhusu vifuko hivyo kuendelea kutumika kwa kiwango kile kile cha rambo nyeusi "vifuko laini"...
  3. bahati93

    Waliomiss kuona mfuko wa rambo

    Wana JF Ni ka mudaa Sasa kamepitaa Baada ya mifuko ya Rambo kupigwa marufuku. Mapakaa nishaanza kusahau inafananaje. Anyway Kama unataka ujikumbushie jinsi ilivyo, na inatumikaje i ngia Youtube alafu cheki ngoma ya SAM WA UKWELI, ATA KWETU WAPO. Samu yupo gengeni anatumia Rambo.
  4. A

    DOKEZO Mwenyekiti wa CCM Mkoa: Miili ya Watu inaokotwa kwenye Mifuko ya Rambo, Simiyu si salama

    Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa. Katika Mkutano huo pia wadau wengine walikaribishwa ikiwemo viongozi wa dini na viongozi wa CCM...
  5. ndege JOHN

    Mifuko ya Plastiki (Rambo) imerudi?

    Wakuu nilikuwa bar napata kitu standard cha Serengeti Lager akaja muuza karanga na mifuko aliyonayo ni above 30 microns. Je, mbona ni migumu sana hii kampuni imechunguzwa kwamba inakubalika.
  6. Ngongo

    Tanzania wana mcheza sinema hodari kuliko Rambo ?

    Huyu Mmasai kashiriki move nyingi kuliko Rambo wa First blood. Ni hayo tu kwa leo. Ngongo safarini Kigali 🔭
  7. chiembe

    CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

    Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi. Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
  8. B

    "Adamoo" ni kama ilivyokuwa kwa Rambo na "First Blood"

    Katika "First Blood" John Rambo commando wa Kimarekani anarejea nyumbani na kuanguakia kwenye mikono fedhuli ya polisi isiyo na haja ya kutambua michango ya wengine kwa taifa. Polisi kwao, wengine wote ni wahalifu isipokuwa wao. Polisi kwao,wengine wote ni wapuuzi isipokuwa wao. Polisi kwao...
  9. M

    Tuliokuwa tukiiga tuliyoyaona katika Sinema za akina Bruce Lee, Chuck Norris na Rambo na Kupigwa kikweli kweli Mtaani tutambuane

    Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa Mtu tukiwa Wawili nakumbuka ukiachia mbali Kuadabishwa nae, ila kama Tanzania siku hiyo ilikuwa...
  10. ndege JOHN

    CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

    Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi. Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea...
Back
Top Bottom