Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
Miezi kadhaa iliyopita kulitokea wimbi la Mataifa Tajiri kujitoa kufadhili Taasisi ya Kimataifa inayohusika na kuhudumia Wapalestina ya UNRWA. Taasisi hii ya UN iliundwa zaidi ya miaka 70 iliyopita kuhudumia Wakimbizi iliyopita kufuatia Majeshi ya Israel kuvamia vijiji vya Wapalestina ambao...
TBC1 BAKARI MSUYA NA TBC TAIFA DAVID MAYUNGA WAMEPIGA HODI MAKTABA: KIPINDI CHA MUUNGANO
Sikutegemea kuwa nitatembelewa kwa siku moja na vijana hawa watangazaji hodari kutoka TBC 1 Bakari a Msuya na TBC Taifa David Mayunga kunihoji kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964...
Wadau Mimi nilikua nawazo kwa Serikali kuhusu miundombinu ya Barabara Nchini.
Barabara ndio kila kitu kwa mwananchi Ili afike pale anapotaka kufanya shughuli zake.
Wazo langu nikuwa Serikali inatakiwa iangalie sehemu zenye watu wengi au makazi waweke Barabara zenye kiwango cha Lami Ili...
Nimeitazama kwa makini hii nembo ya Muungano nikagundua kuwa Wazanzibari wametuzidi ujanja sana. Hebu cheki kwenye hiyo nembo, Tanganyika pamoja na ukubwa wake wote na idadi kubwa ya watu lakini amewekwa Mtanganyika mmoja na Wazanzibari watatu why?
Habari za wakati huu wana Jamii Forums,
Kwa mtazamo wangu kuchepuka ni tabia ya mtu inayotokana na kuendekeza tamaa za mwili, ndiyo maana wanasaikolojia wamethiibitisha hilo kuwa ONCE A CHEATER ALWAYS A CHEATER.
Wanaume\Wanawake wengi hutoa sababu ya kuchepuka wakidai hawaridhishwi na mwenendo...
1. Watu watakuheshimu kulingana na jinsi unavyojiheshimu, unavyozungumza na watu na jinsi unavyowatendea watu walio karibu nawe kwa heshima na nguvu nzuri.
2. Hakuna kiasi cha rushwa kinachoweza kufanya watu wakupende ikiwa wewe ni mtu mbaya.
3. Tabia njema huwavuta watu kwako, wakati tabia...
Kwa umri uliofika.
1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.
2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.
3.Wewe siyo Super human : Acha kuwaza kama uko kwene movie :
Kamwe usimwambie mtu “Utanifanya nn ww” vyakukufanya...
Habari wakuu?
Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo.
1. Hali ya hewa
2. Mazao yanayolimwa sana.
3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini?
4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba.
Lakini vipi pia...
Angalizo:
Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika.
Utangulizi.
Katika biashara...
Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri.
Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa kuelekea TCRA kuwa wajiridhishe kuhusu kituo cha Redio kinachorusha habari zake, takribani wiki sasa redio...
Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada.
Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho tunafanya. Kwa mfano, nikiwa nina hamu ya soda nitanunua kwa lengo la kunywa ili kukidhi ile kiu...
MJADALA WA MAWAZO :
Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kinaweza kusababisha mafuriko kutokana na sababu kadhaa, zikiwemo:
Mvua kubwa na ya muda mrefu.
Kuongezeka kwa kiwango cha mvua kunaweza kusababisha mvua kubwa na ya muda mrefu ambayo inaweza kuzidi uwezo wa mifereji ya maji ya asili...
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga.
Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia...
Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi
Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi naendelea kuwapeni habari tofauti tofauti na mchanganyiko bila kuchoka .pia msichoke maana maisha ndio haya haya na nchi yetu ndio hii hii na watanzania ndio hawa hawa.
Ipo hivi kuna wimbo umemuonyesha Mkuu wa mkoa wa Arusha Mheshimiwa Makonda akicheza na kuimba...
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema.
Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki [sauti]
Sasa juzi juzi nikajalibu kutafasri crip moja ya kizungu, hakika niliipatia kiasi japo sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.