Akiongea na redio hiyo ya kimataifa jana mchana, mwanasiasa huyo amefunguka:
Kwamba:
1. Ameamua kunga'atuka kwa mujibu wa katiba akikiacha chama kikiwa katika hali bora zaidi kuliko wakati wowote.
2. Hatarejea kwenye uongozi wa chama hicho kama katiba inavyotaka, kwani muda wake umekwisha...
UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA
#NECijiuzulu #INECiingie
Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.
Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Mwaka 2024...
Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake!
Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa...
Chama cha ACT Wazalendo kinafanya kikao chake cha kikatiba cha Halmashauri Kuu ya Chama, leo Februari 12, 2024 kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu wa Hakainde Hichilema uliopo katika ofisi za Makao Mkuu ya Chama, Magomeni Dar es Salaam.
Taarifa ya ACT imeeleza kuwa Halmashauri Kuu inafanyika kwa...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni...
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
Zitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4
Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo.
Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la Kibondo na kufungua Ofisi ya ACT Jimbo la Muhambwe.
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.
==
Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.
Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
Hii ni kali.
👇
"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
Akijibu maswali katika mahojiano na Edwin Odemba katika Kipindi cha Medani za Siasa ikiwemo suala la kuwa makali yake kisiasa yamekwisha na madai kuwa yeye na Chama chake ni kama CCM B, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema:
“(Kuhusu suala la usaliti) Waulize wao, hizo ni propaganda za...
Wanabodi,
Tunakwenda shule ili kufunzwa maarifa, sio kupata akili, akili kila mtu anazo na anazaliwa nazo, ila jinsi ya kuzitumia ndicho tunachopaswa kujifunza na kufundishwa.
Mimi najihesabu ni muelimishaji umma kupitia kipindi changu cha TV, "Kwa Maslahi ya Taifa" na makala zangu za magazeti...
Salaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye...
Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.
Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu...
Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa, kiuchumi n.k. leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya with...
Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi mkubwa wa chama cha siasa kama yeye kutoa kauli kama hiyo?
Una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World.
1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi.
Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.