Manguli wa Siasa, Zitto Kabwe, Stephen Wassira, John Cheyo, Kuunguruma Kwenye Kipindi cha KMT cha Channel Ten, Kila Jumapili Saa 3:00 Usiku, Usikose!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,604
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.

View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali
 
Safi Sana paskali, watanzania Tupo pamoja nawe,
Pia ungetutengenezea kipindi cha kitanzania "Tanzania business insight!"
# fursa
# mitaji
# viwanda
# kilimo
# fedha
# uwekezaji
#hot deal
#tourism and etc
°Shughuli za kiuchumi kwa undani zaidi
Pia hongera sana umelenga watanzania fulani na hobbies zao.
 
Bila Dr Mdude, mh Tundu Antipas Lisu na Wakili msomi Mwabukusi hamna la maana hapo

Magufuli: Watanzania siyo Wajinga
Kuna wanadamu wanazaliwa na Argue mind, hawa ni kundi miongoni mwetu wanadamu, mara nyingi huwa by nature hawaoni lolote jema, bali wao ndio zaidi ya chochote, wapo.
Hiyo mentality ya argument wange i apply kwenye ubunifu wa kisayansi, tungefika mbali sana
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Nguli wa siasa? Hii sawa na useme David Beckam ni nguli wa soka.
Tangu baba yako bado mdogo Hao uliowataja wanasiasa mpaka sasa ni wanasiasa lkn unasema nguli.
Halafu nguli
 
Bila Dr Mdude, mh Tundu Antipas Lisu na Wakili msomi Mwabukusi hamna la maana hapo

Magufuli: Watanzania siyo Wajinga
Atachukuaje wavuta bangi aina ya Mdude Nyagali kumpeleka kwenye kipindi kitakacho sikilizwa na watu wenye hekima na busara zao.nani anataka kukaa kusikiliza Mdude akitukana matusi kama kichaa au mwendawazimu?
 
Bwana Paskali Mayalla anasema anatumia kipindi chake kuwapa watanzania ELIMU YA KATIBA na SHERIA, lakini wakati huohuo kipindi anachokiandaa kimejaa watu ambaye yeye anawaita WANASIASA NGULI, watu ambao wanazifahamu sheria kama raia na wanasiasa, lakini siyo WANASHERIA WENYE UTAALAMU WA KATIBA. Hivi kweli hawa WAZEE WA COLD-WAR aina ya Wassira na Cheyo ndiyo waje kutufundisha sisi watanzania kuhusu mabadiliko ya kikatiba kweli ? Walau hata Zitto Kabwe naweza kukuelewa.

Aiseeh....​
 
Wanabodi

Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, kila siku Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano Saa 9:30 jioni.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=5AQk8igiLzsUr0Ee

Jumapili hii, manguli wa Siasa hapa nchini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mzee John Memosa Cheyo, " Mzee wa Mapesa", Mwanasiasa Mkongwe wa CCM toka enzi za Nyerere, Mzee Stephen Wasira, Mwanasiasa Kijana Machachari, na Kiongozi Mkuu, wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, Dorothy Semu wa ACT Wazalendo, Mrajis Azasi Zanzibar, Ahmed Khalid Abdullah, na Profesa wa Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Bernadeta Killian, kuunguruma kwenye Vox Pop, ya kipindi cha KMT cha leo on Channel Ten, kuzungumzia mustakabali wa siasa zetu kuelekea 2025

View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=34IxqjI2gidc1Ul_

View: https://youtu.be/UR6qPKMfZXw?si=rcKwROx3mQ7lfB6V

View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=tl2ijqUepC2xhqfn

View: https://youtu.be/5kIid09GCqQ?si=g9-ypBQST35xYXOh

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=soyp0kMA6Wgfu45z

View: https://youtu.be/YN16dYs2QU8?si=FqsPdQH_b2kS53AX

View: https://youtu.be/NnLDbbLitfY?si=qYk-VKw2wd4Z79SU

Usikose!.

Paskali

Haiwexekani mjadala we maana ukafanyika kwenye TV ya CCM ukihusisha zaidi machawa
 
Atachukuaje wavuta bangi aina ya Mdude Nyagali kumpeleka kwenye kipindi kitakacho sikilizwa na watu wenye hekima na busara zao.nani anataka kukaa kusikiliza Mdude akitukana matusi kama kichaa au mwendawazimu?
Una hakika hao aliowaalika hawavuti Bangi?

Siasa zako Lucas ni za Kale Sana zilifanywa na Kawawa Enzi za Zidumu Fikra za Nyerere na Ndio zilimchuza Nyerere akaishia kuukimbia uRais

Siasa za Vijana wa Leo ni kama za Hussein Bashe au Bilionea Sugu, unafanya Siasa ukiwa na Elimu nzuri na Fedha ya kutosha 😂
 
Mdude namfahamu vyema sana.alikuwa anaishi mkoa wa Songwe wilaya ya Mbozi mji wa Vwawa. Nachokuambia ndio ukweli wenyewe kuwa Mdude kichwa chake kilishajaa moshi wa Bangi tuuu.
 
Back
Top Bottom