john

  1. jingalao

    John Pombe Magufuli-The father of Tanzania's health infrastructure

    This is one of more than 400 Health Care facilities constructed in less than 4 years under the Strong leadership of Tanzania 's President John Pombe Magufuli. More than 500 Dispensaries are expected to be constructed in the near future. This will narrow the accessibility to a healthcare...
  2. Ze Bulldozer

    TLP: Sisi ni nani hata tusiyaone haya yanayofanywa na Rais Magufuli, na iweje kumuunga mkono lazima tununuliwe? Lazima tuseme tu

    Team wasalaam, Naomba nianze kwa tangazo fupi, Wale wanaotaka kugombea Ubunge na Udiwani Jimbo au Kata yeyote bara na visiwani kupitia chama chetu tuandikie kupitia. tlptaifa@gmail.com
  3. Erythrocyte

    John Heche asimamia semina elekezi Karatu, ukumbi wazidiwa na umati

    Huu ni mwaka wa uchaguzi na mnakumbuka kwamba tuliwahi kuonya kwamba kuiteketeza ccm inahitaji siku 7 tu , na hali ndio kama mnayoiona. Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
  4. anonymousafrica

    Mk-ultra: Mkakati wa uchunguzi wa CIA na kifo cha John Lenon (Mwanamuziki kikundi cha The Beatles)

    KIFO CHA JOHN LENON 8 December 1980 Watu waliotumika kufanya mauwaji ya watu wakubwa , wengi wao ukiwafuatilia wanakua walipata mafunzo ya kijeshi. Au mafunzo na kufanyiwa unyama huu wa Mk-ultra. Kama umetazama movie za James Bond au Jason Bourne USIDHANI yameisha kwenye movie tu, haya mambo...
  5. Ze Bulldozer

    Uchaguzi 2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  6. VUTA-NKUVUTE

    Huu ndiyo muda wa kumjadili,'kumsema' na kumkosoa Dr. John Pombe Magufuli

    Amechukua fomu za kuomba kugombea tena Urais kupitia CCM. Ameingia tena kwenye mchakato wa ndani ya CCM wa kumpata Mgombea wetu na baadaye kupeperusha bendera ya CCM kwa ngazi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, kama atapitishwa. Huu ndiyo muda muafaka wa kumjadili, kumsema na kumkosoa...
Back
Top Bottom