huzuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Posho za marefa Ligi kuu ni huzuni

    Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula. 🗣 Ukipiga hesabu kwa haraka haraka, pesa ya posho kwa mwamuzi wa Ligi Kuu...
  2. saidoo25

    Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho. Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022. Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
  4. Justdr

    Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

    Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course Bachelor of Arts in English, Bachelor of Arts History, Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭 Ni huzuni kwa kweli. Kuna hizi za sayansi pia Bachelor of science in chemistry Bachelor of science in physics Bachelor of science in biology Mm siyo muandishi...
  5. Hashpower7113

    Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

    Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke...
  6. Leonard24

    SoC02 Jamii yenye huzuni iliyojaa picha za furaha na ufahari katika mitandao ya kijamii

    Utambulisho Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi. Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
  7. Mkemia Fred James

    Mambo yenye huzuni kubwa duniani

    1. Kusema "Kwaheri"kwa mtu unayempenda sana. 2. Kumuona unayempenda akifariki mbele ya macho yako. 3. Kumuona mama yako mzazi akilia kwa uchungu. 4. Kumuona baba yako akiteseka kulitafutia "ADA"ili akulipie wewe. 5. Kumpoteza rafiki/ndugu kwa ajali au ugonjwa fulani. 6. Kubezwa au...
  8. cold water

    X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

    X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu. Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
  9. figganigga

    Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
  10. ward41

    Du, Kiduku katoa machozi

    Mikwala kibao kumbe yakuwakuta nao hutoa MACHOZI. Tuache ubabe, Dunia ni mapito
  11. Dr Matola PhD

    Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  12. D

    Kuna faida gani ya furaha au huzuni yako kumfikia mtu mwingine asiyehusika?

    Natamani sana somo la ustaarabu lianze kufundishwa Shule za msingi huenda inaweza kusaidia! Natamani sana watu wajifunze kufurahi au kuhuzunika pasipo kuathiri wengine! Hapa ninamaanisha watu watambue umhimu wa kufanya mambo yao, ikabaki ya kwao pasipo kuathiri watu wengine bila sababu...
  13. Kifaru86

    Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  14. chizcom

    Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

    Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo. Mambo matatu yenyewe: ( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi" ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
  15. C

    Moyo wangu unaugua kwa ajili ya raia wa Afghanistan

    Ndugu wasomaji, ni nini tunajifunza katika hali hii iliyoko Afghanistan? Siku zote sijawahi kuwa na imani na unafiki wa watu wanaosema wanatetea dini lakini wakitoa watu kuwa sadaka kwa miungu. Wanalazimishsa kutawala kwa jina lolote lakini si kwa ajli ya watawaliwa. Hivi utawala wa mabavu...
  16. M

    Huzuni: Sitatumia tena huduma ya fedha kwenye simu

    Kama haya makato ya kwenye account za simu hayatarekebishwa mwanainchi atakuwa na hali mbaya. Jana nilitoa tsh.9000/ badala ya kukatwa tsh.9oo/ walikata 205o Yaani sutatumia tena hii HUDUMA mpaka walekebishe huo uharamia
  17. Ben Zen Tarot

    Fahamu mambo haya

    1) Ukikaaa kwa dakika 15 bila kutikisika lazima ulale.. 2) Mara nyingi mtu anapolia hukumbuka matukio ya nyuma ndio yanamuongezea kilio. 3) Kwa sekunde 3 baada ya kuamka kutoka usingizini binadamu huwa hakumbuki jambo lolote. 4) Watu wenye aibu ndio watu wenye akili zaidi na waaminifu...
  18. ktroshaban

    Ushauri: Mpenzi wangu nilietaka kumuoa ameondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine

    Nilikuwa na mpenzi wangu niliyedumu naye miaka miwili. Hatukujaaliwa kupata mtoto na wazazi wangu walimtambua kama mkwe. Niliingia kwa miguu yote miwili katika penzi lake nikidhani ndio tayari chaguo langu, nilimpenda kupitiliza. Hivi ninavyowataarifu kaenda kuishi na mwanaume mwingine tena...
  19. JamiiForums

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Msongo wa mawazo unaweza kukufanya ushindwe kufanya shughuli zako za kila siku kwa ufanisi. Jambo la kufurahisha ni kuwa msongo wa mawazi unaepukika, leo nimechambua baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukuwezesha kuepuka kupata msongo wa mawazo. 1. Usiweke Malengo ambayo Hayafikiki Kila mtu ana...
Back
Top Bottom