Depression inaniathiri, nakaribia kujiua

Pole sana mkuu. Labda ungewaeleza wazazi jinsi gani hiyo hali inakuathiri, kama ulivyoeleza hapa. Hawajui ishu ni serious kiasi gani. Wakijua inataka kukufanya ujiue wataacha mzaha.

Watu wa karibu wakichukulia uzito hiyo depression itaondoka.
 
Hakuna gumu hapo Bossi. Kuna wenzetu hayo masikio hawana kabisa, kuna wengine macho hawana kabisa, kuna wengine miguu, wengine mikono, wengine makubwa zaidi yako.

Jitazamaze kwenye Kioo Umwambie Mungu Asante na Nakushukuru kwa kunileta duniani kama nilivyo na Mapenzi yako yatimizwe. Amen.
 
Soma na tafuta pesa kwa bidii,hayo yote utaona ni upuuzi na hata watu wataanza kukuiga hivyo ulivyo,umeshawahi kumuangalia vizuri masikio ya Will Smith!
WILL.jpg
ni kwasababu tu ana pesa na hakuna hata anaejali muonekano wake,kaa ukijua kuwa hakuna mtu alieumbwa kwa kukosewa hapa duniani,wote tunapendeza ni hivyo hatuna pesa tu...
 
Pole mdogo wangu. Mimi ningeshauri usome uje upate kipato kikuwezeshe kufanya hiyo surgery. Kama unadhani itakupa amani moyoni...ila pia unaweza kujikubali na kuwapuuza watu ingawa naelewa ni kitu kigumu.
Wapo wenye maumbile ya ajabu lkn wamejikubali na maisha yanaendelea.
 
unasikia, unaona, unaongea, una mikono miwili, una miguu miwili, una mboo (rijali)..nk MSHUKURU SANA MUNGU...wapo wenzio hawana kimoja katika hivyo..

19yrs bado wewe ni mtoto sana kwenye maisha, pambana tengeneza maisha yako acha na ujinga wa fulani ananiona hivi mara vile....Pambania maisha yako uweze kupata mkate wa kila siku bila bugudha....Kama ni mwanafunzi soma kwq bidii saaana acha kudeal na vitu vidogovidogo kwenye maisha...

Acha maisha ya ushororo na kujishtukia, kaza mtoto wa kiume uje utoboe maisha halafu uone kama kuna mtu atakusema kwa chochote zaidi ya wale ndugu zetu kila siku kukuita babe....focus kwenye maisha achana na kuwaza vitu vidogo, fikiria vikubwa kwenye future yako then pambana na kusastain ndoto zako..
 
Soma na tafuta pesa kwa bidii,hayo yote utaona ni upuuzi na hata watu wataanza kukuiga hivyo ulivyo,umeshawahi kumuangalia vizuri masikio ya Will Smith View attachment 1816082 ni kwasababu tu ana pesa na hakuna hata anaejali muonekano wake,kaa ukijua kuwa hakuna mtu alieumbwa kwa kukosewa hapa duniani,wote tunapendeza ni hivyo hatuna pesa tu...
Mkuu ya will Smith hayana shida kabisa, ya kwangu ni mara mbili yake alafu hayaja jikunja.. mfano hapo chini yaongezeke kidogo
images%20(2)_1.jpg
 
Pole sana mkuu. Labda ungewaeleza wazazi jinsi gani hiyo hali inakuathiri, kama ulivyoeleza hapa. Hawajui ishu ni serious kiasi gani. Wakijua inataka kukufanya ujiue wataacha mzaha.

Watu wa karibu wakichukulia uzito hiyo depression itaondoka.
Mkuu nimejaribu lakini nashindwa yani nakosa raha, kinachoniumiza zaidi ni bora vijana wenzangu ndo wangu ni bully au watoto wadogo lakini watu wazima na familia zao kabisa ..
 
Tumia changamoto kuwa furusa! Fungua banda la masikio!
Andiko masikio adimu yanaonekana hapa!
Weka picha ya sungura halafu kwa pembeni weka njoo ujionee masikio yanayogeuka, ongezea na chumvi kwamba masikio yako yanasikia hadi usiku ukiwa umelala hivyo kampuni za ulinzi zitakugombania kwa dau!
Hukupewa masikio hayo bila kusudi la Mungu, huenda huo ndiyo mgodi wako wa kupiga hela, wengine wanapewa kipaji wewe umepewa masikio!

Ebu njoo inbobo tuyajenge nikupe mtaji
 
Pole mdogo wangu. Mimi ningeshauri usome uje upate kipato kikuwezeshe kufanya hiyo surgery. Kama unadhani itakupa amani moyoni...ila pia unaweza kujikubali na kuwapuuza watu ingawa naelewa ni kitu kigumu.
Wapo wenye maumbile ya ajabu lkn wamejikubali na maisha yanaendelea.
Asante mkuu kwa kunipa moyo ..
 
unasikia, unaona, unaongea, una mikono miwili, una miguu miwili, una mboo (rijali)..nk MSHUKURU SANA MUNGU...wapo wenzio hawana kimoja katika hivyo..

19yrs bado wewe ni mtoto sana kwenye maisha, pambana tengeneza maisha yako acha na ujinga wa fulani ananiona hivi mara vile....Pambania maisha yako uweze kupata mkate wa kila siku bila bugudha....Kama ni mwanafunzi soma kwq bidii saaana acha kudeal na vitu vidogovidogo kwenye maisha...

Acha maisha ya ushororo na kujishtukia, kaza mtoto wa kiume uje utoboe maisha halafu uone kama kuna mtu atakusema kwa chochote zaidi ya wale ndugu zetu kila siku kukuita babe....focus kwenye maisha achana na kuwaza vitu vidogo, fikiria vikubwa kwenye future yako then pambana na kusastain ndoto zako..
Najitahidi mkuu ila kwa kiasi fulani inakera sana ..
 
Pole sana mkuu.
Uwepo wa picha yako halisia kungewezesha kurahisisha, miongozo ya kufanya juu ya hiko kinachokupata ktk mandhari tafauti.
 
Nikupongeze mkuu, HONGERA sana.

Ujue kwanini? Kwanza uandishi wako murua (at 19 years) inaonesha wewe ni AKILI kubwa.

Na hizo emoji za kucheka ukiwa unaandika ushuhuda uliouita wa kuumiza, hadi hapo ni kwamba unao ujasiri na umeweza kupuuza na kusonga mbele.

Ushauri wangu, jikubali ulivyo na umshukuru Mungu… kisha TAFUTA PESA.

Utakuja kuelewa mbeleni.
 
Mkuu we nyiuweee....maana maisha mbele Ni magumu Sanaa,nimesoma baadhi ya sababu zako nimeona unautoto mwingi.kuna watu wanavichwa Kama ngumi wanafurahia maisha,Kuna watu wafupi Kama themothi na wanafuraia maisha we jiuweee bwasheeee
Hata mwandiko wako unaonesha akili yako ilivyo
 
Back
Top Bottom