Kiongozi wa wamasai waliohamia Ngorongoro wamelalamikia Serikali kutotimiza ahadi zake huku wananchi hao wakiwa wamevunja maboma yao Ngorongoro na kuhamia Msomera.
Wananchi hao 136 wamesema zoezi hilo limezungukwa na udanganyifu, wamemtaka Rais Samia kufuatilia zoezi hilo kwa kuna watendaji...
Wananchi jamii ya kimasai waanika upigaji mkubwa uliofanywa Ngorongoro
===
Akizungumza kwa niaba ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro, Diwani James Moringe, Kata ya Olektore ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wafugaji ametoa taarifa hii kwa sababu kuu Tatu;
1. Sisi kama macho ya Serikali...
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, ametengua Uteuzi wa Richard Rwanyakaato Kiiza, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA).
Pia, Rais amemteua Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya Uteuzi, Mmuya alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara...
Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai.
Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan.
Bonyeza link chini kusikiliza
SAUTI ZA WAMAASAI WAKIPINGA EMMENUEL OLE SHANGAI KUJIAPISHA ULEIGWANAN
https://www.youtube.com/watch?v=Bx2TDkYrLUc
Na...
Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha mwenyewe kuwa Laigwanan, Uapisho uliohudhuriwa na watu takribani ishirini wa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Enduleni kata ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro. Baadhi ya viongozi...
Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja.
Kabla ya jana, nilioneshwa...
Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro .
Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa
1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ?
Nchi...
Maamuzi ya bunge la Ulaya kuhusu kuhamisha Wamasai Ngorongoro linakwenda kutaathiri kiuchumi. Tutaathirika kwa sababu tulitumia nguvu huku tukijua kabisa kwamba tunajipanga kuimarisha mahusiano na mataifa mengine.
Bunge la Ulaya kwa zaidi ya asilimia 90 limesema maamuzi ya Tanzania siyo...
Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Kama...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki leo Oktoba 29,2023 amemwapisha Kamishna mpya wa Hifadhi ya Ngorongoro katika ofisi za makao makuu ya Hifadhi hiyo mkoani Arusha, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi Richard Kiiza kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya...
Na Mwandishi Maalum, New York, Marekani
Nchi ya Tanzania imeshiriki mkutano mkuu wa 78 wa Umoja wa Mataifa ulioanza 25 Septemba, 2023 katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa Jijini New York, nchini Marekani ambapo imetumia mkutano huo kuelezea hatua za Serikali kunusuru uhifadhi na maendeleo ya...
Wamasai wameishi Ngorongoro maelfu ya miaka, wameondoshwa ili wapishe wageni, Mwaka 2100 Mmasai akirudi Ngorongoro wageni wana haki ya kumuita mmassai ni mvamizi?
ndivyo ilivyo nao waisrael walivamiwa wakahamishiwa ulaya kimabavu, Ardhi ya Israel wakahamia wapalestina lakini baada ya miaka...
Mchengerwa ameyasema hayo akiwa Rufiji mkoa wa Pwani.
Swali.
Hivi nchi hii nani anataka kuvuruga amani?
Na Mchengerwa anadhani anatisha wengine yeye kama nani, yeye sio IGP, RPC wala sio waziri wa mambo ya Ndani.
Hii kibri anapata wapi?
"Yeyote atakayejaribu kuchezea serikali...
Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani.
Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
Kwako mheshimiwa Mbowe,
Miezi miwili iliyopita, ulitutangazia kuwa Kamati kuu iliyokaa mwezi huo iliazimia mambo mengi, miongoni mwayo ni suala la bandari, Maridhiano na suala la ngorongoro.
Lakini katika kusoma maazimio hayo, ulijikita zaidi kwenye suala la bandari, ukasema kuwa masuala...
Kwa jinsi serikali inavyobehave huko Ngorongoro, huenda kuna makosa ya kutisha dhidi ya binadamu yanayofanyika huko. Hii nguvu ambayo serikali inatumia ili kuzuia ukweli inatoka wapi?
Hali hii inatia mashaka sana kwa sababu haiwezekani serikali iwageuze wananchi wake kama watumwa wasiostahiki...
Ni huzuni lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa tumekubali kuwa kimya ili serikali iendeleze operation yake ya "cultural genocide" Ngorongoro.
Wazungu kutoka ulaya wakati wanafika bara la America walikuta wakazi wa pale walio pingana nao kwa ubabe wa kifala na kipuuzi wazungu wale waliamua...
Ukweli ni Kwamba, lengo la ziara ya Tundu Lissu na Chama chake, kupeleka Oparesheni 255 kwenye maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro ilikuwa ni kuitangazia dunia unyama wanaofanyiwa Wamasai na Serikali ya Tanzania, wa kuwahamisha kwenye maeneo yao mithili ya nguruwe ama mifugo mingine.
Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.