jamii

  1. Stroke

    Content ya media nyingi sio kwa ajili ya kuelimisha , uchambuzi wa mpira umetamalaki. Kama jamii tunapaswa kubadilika. TCRA na Wizara ya Habari mpo wa

    Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
  2. R

    Wakinga wameamua kupambana maneno yamenza kama ilivyo desturi ya waswahili

    Miaka ya hivi karibu I jamii ya wakinga ni kama imeamua kua serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yan blah blah kibao. Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikua...
  3. R

    Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

    1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha. 4. Mama Samia, Rais wetu...
  4. R

    Inawezekanaje kuimarisha Maadili katika JAMII Kwa kuondoa Biblia mashuleni?

    Salaam, shalom!! Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto. JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa ni wazazi. Nichukue fursa hii kuwakumbusha JAMII kuwa, watoto wetu, wanakaa mashuleni masaa mengi...
  5. R

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  6. JamiiCheck

    Upotoshaji wa Taarifa na Athari Zake kwa Haki katika Jamii

    Taarifa sahihi ni msingi muhimu katika kuhakikisha haki zinapatikana katika jamii zetu. Hata hivyo, upotoshaji wa taarifa ni tatizo linaloweza kusababisha ukosefu wa haki kwa baadhi ya watu. Mathalani, katika vyombo vya utoaji haki kama Mahakama, taarifa potofu zinaweza kupelekea kutoa hukumu...
  7. King Muchachu

    Madaktari wanaumia google kusoma vipimo

    Kunachangamoto sana kwa madaktari wa sasa, serikali inabidi waweke mpango vizuri kuhakikisha wanafuatiliwa, ili kujiridhisha na utendaji kazi wao. Binafsi nimekuwa muhanga mara mbili kupitia mtoto wangu wa miaka miwili, aliandikiwa ameze paracetamol 500mg kutwa mara tatu, Daktari huyo amefanya...
  8. Jsam De prince

    Hello

    Hello 👋 naipenda Jamii Forums
  9. Suley2019

    CAG: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inazidai Taasisi za Serikali trilioni 1.73

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeonyesha taasisi za Serikali zinadaiwa mikopo ya muda mrefu yenye thamani ya Sh1.73 trilioni ambazo hazijalipwa kuanzia mwaka mmoja hadi 16. Kwa mujibu wa kitabu cha Ripoti ya CAG ya Mashirika ya Umma, ambacho ni miongoni mwa...
  10. JOVITUS KAMUGISHA

    Maendeleo katika Jamii: Kutoka Mtu Binafsi Hadi Jamii Nzima

    Mwezi uliopita, nilichapisha makala kuhusu Kupanga ni Kuchagua na Kuchagua ni Kupanga. Nashukuru sana kwa wasomaji wangu ambao wamekuwa chachu ya kuandika machapisho haya na mengine mengi. Ningependa kuzungumzia ukuaji katika maendeleo ya jamii. Moja ya changamoto kubwa tunayokabiliana nayo ni...
  11. S

    Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute! Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
  12. Mkemia kay

    Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
  13. K

    Jumuiya nyingi asubuhi ni za umbeya na kusambaza sumu katika jamii

    Niligombana na jirani yangu baada ya kujenga mpakani. Kilichotokea nilimwambia abomoe na hakubomoa. Nikamuacha, nimemuacha hadi sasa. Nasubiri afanye maamuzi yake. Cha ajabu naambiwa na watu walihudhuria jumuiya naona kuna majadiliano ya mimi nikubali ajenge. Sipendi jumuiya ni upumbavu.
  14. M

    Thanks JamiiForums members!

    Habari zenu jamii forum members, aisee nilikuwa nikifuatilia jamii forum Kwa muda mrefu tangia mwaka 2012 , yaani miaka 12 iliyopita, japo am new member here. NIMEJIFUNZA MAMBO MENGI. Na nimeona wasomi wa humu au labda, wakishua au watu wakawaida tu, wako fair katika kutoa mawazo, na michango...
  15. B

    GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii

    Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam. Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
  16. P

    Athari za 50/50 katika jamii

    Dhana hii ya 50/50 ni dhana iliyoletwa hapa duniani na watu wenye nia ovu .Si kwamba nawadharau wanawake hapana, kiasili, kiutamaduni na hata kiimani hakuna sehemu kunako sisitiza usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Niishairu jamii irudi katika misingi yetu Mwanamke aongozwe na mwanaume na...
  17. H

    Hodi JamiiForums

    Bila kupoteza wasaaa, Mimi Heyyouyoungman ni mgeni hapa jamii forum, japo nakili kuifahan JamiiForums toka mwaka 2010 nikiwa kidato cha pili katika shule moja wapo huko Rukwa. Nimekuwa nikisoma thread mbalimbali za humu jamii forum na kuvutiwa na watu kadha hasa mwanadada To yeye , na...
  18. JanguKamaJangu

    LHRC yatoa angalizo juu ya Usalama wa Mfanyakazi wao, Wakili Joseph Oleshangay, yadai anatishiwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), leo tarehe 28 Machi 2024 kimezungumza na waandishi wa Habari juu hali ya Usalama wa Mfanyakazi wake Wakili Joseph Moses Oleshangay. Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga akizungumza na Waandishi wa...
  19. Ncha Kali

    Mtazamo wa jamii kuhusu ushoga kunaupigia chapuo pengine bila kujua

    Mabibi na Mabwana! Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena. Sijui ndo agenda ilishatimilika au ilishakufa! Kwa sasa upepo umegeuka kwa kasi ya kimbunga, kila...
  20. N

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
Back
Top Bottom