mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  2. chiembe

    Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

    Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani. Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
  3. R

    Wanaomwibia Rais Samia ndio wanalipa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumsifia anaupiga mwingi! Anawajua?

    Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi. Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
  4. P

    Ukiangalia vizuri mpotoshaji mkubwa ni serikali, kwanini inachukuliwa hatua pale tu mwananchi akipotosha?

    Wakuu kwema? Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona manyani "Tanzania inaelekea wapi?" baada ya kuona shtaka la kusababisa uchochezi ni weak shataka likageuka...
  5. Mr Lukwaro

    Taarifa kuhusu mitandao ya kijamii, facebook, whatsup, insta

    Habari ya Muda Huu, Ndugu yangu naomba uniazime Macho na Muda wako kwaajili ya hili ninaloliandika Kuhusu Usalama Mitandaoni.. Mabadiliko ya Sheria Mpya za Mawasiliano kwenye WhatsApp na Simu za WhatsApp Audio na Video. Ambazo Zinatarajia kuanza Kesho Ijumaa. Zifuatazo ni Sheria Zenyewe 1...
  6. figganigga

    Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Mimi katika kuishi kwangu nilijua Waharifu ndo wanadukua Mitandao ya Kijamii kama Facebook, Instagram, twitter, Whatsapp nk, baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar Samweli Shammy kupasua jibu na kuweka wazi kinagaubaka jinsi alivyo dukuliwa nikashangaa sana. Nimeshangaa kusikia...
  7. Melki the Storyteller

    Picha: Huyu ni nani? Mbona amekuwa akitrend sana kwenye mitandao ya kijamii?

    Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya? Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu...
  8. Clear37

    Mitandao ya kijamii imekuunganisha na watu gani muhimu waliobadili maisha yako?

    Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?. Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii. Sababu watu wa kada zote na...
  9. JanguKamaJangu

    Bosi wa Meta Mark Zuckerberg ameomba radhi kwa familia ambazo Watoto wao waliathiriwa na Mitandao ya Kijamii

    Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg ameomba msamaha kwa familia zinazosema watoto wao walidhuriwa na mitandao ya kijamii, wakati wa kikao kilichowaka moto katika Bunge la Seneti la Marekani. Bw Zuckerberg - ambaye anaendesha Instagram na Facebook - aliwageukia na kusema "hakuna mtu...
  10. Cybergates

    Kuna ndugu tulisoma naye, hayupo kabisa kwenye mitandao ya kijamii

    Wakuu, Hili jambo linawezekana kuonekana kawaida, lakini limenishangaza kidogo. Leo nilikua napitia habari huko mitandaoni, nikapata wasaa wa kuongalia taarifa za baadhi ya jamaa tulio kuwa pamoja kipindi cha nyuma. Kitu kilicho nishangaza ni kuona kuna account moja ya mtu tulikua tunasoma...
  11. S

    Usalama wa Mitandao ya Kijamii kwa Wazazi na Watoto

    Kwa kuenea kwa teknolojia na intaneti, watoto wengi wanakua kama watumiaji wa kidijitali na wapenzi wa mitandao ya kijamii. Ingawa kuna faida nyingi za matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto, kuna hatari kadhaa kama vile kutolewa kwa maudhui yasiyofaa, uhusiano na watu wasiojulikana, na...
  12. JamiiCheck

    Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  13. Mhaya

    Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

    Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania. @emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa...
  14. JamiiCheck

    Guterres: Tuwe na enzi mpya ya uadilifu kwenye mitandao ya kijamii ili tukomeshe upotoshaji

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres wakati akizindua ripoti maalumu iliyoundwa ili kuimarisha uadilifu wa habari kwenye majukwaa ya kidijitali. Kengele ya hatari kuhusu tishio linaloweza kusababishwa na maendeleo yanayokuwa kwa kasi ya Akili Bandia (AI) haipaswi kuficha uharibifu...
  15. hermanthegreat

    Mitandao ya kijamii inatufanya tuishi maisha ya kufikirika, rasmi naanza maisha mengine

    Nilikuwa active sana mitandaoni, nilijifunza mambo mengi ya nadharia hacking hahahaha Online friends hahahaha. Affiliate marketing hahahaha. Nilivokuwa nazama zaidi kwenye mitandao na kutengeneza network ya watu wengi mtandaoni ndivyo upweke kwenye maisha ya kawaida ulivyoongezeka. Nimegundua...
  16. Roving Journalist

    Kongamano la Wanamitandao ya Jamii: Wizara ya Fedha yatoa wito Mitandao ya Kijamii itumike kuelimisha jamii umuhimu wa kodi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, leo Jumatatu Oktoba 23, 2023 ambapo amesisitiza matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya faida ya Nchi...
  17. P

    Je, kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

    Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii? Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
  18. Wadiz

    Wenye imani kwamba mitandao ya kijamii haiwezi kukupa mke, mume au mpenzi wa kweli bora wajitoe wabaki kwenye mfumo wa kizamani na sehemu za ibada

    Utandawazi na njia za masiliano zime rahisisha namna ya kukutana na kufahamiana na watu tofauti na njia za kizamani za hadi ukutane na mtu uso kwa uso, mfano kanisani, kongamano, bar, harusini, dukani, barabarani, msibani, etc.etc. kufahamiana kwa namna yoyote ile ni halali, kitu muhimu ni...
  19. Bull Bucka

    Uuzaji wa akaunti za mitandao ya kijamii: Je, zinakidhi malengo ya soko la mnunuaji?

    Watu wengi, taasisi, na makampuni wanazidi kuhamishia shughuli zao kwenye mitandao ya kijamii kila siku. Lakini kujiunga na majukwaa hayo na kukuza akaunti kutoka wafuatiliaji 0 hadi, labda tuseme 10,000, inahitaji jitihada na muda mwingi, na hilo limeacha watu wengi wakijiuliza, "je, naweza...
Back
Top Bottom