huzuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Heri ya Sikukuu ya Pasaka mwanafamilia wa JF

    licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹 ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso, nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
  2. Restless Hustler

    Huzuni Nyingine Yaikumba Arusha: Ajali Yachukua Roho Za Watu 15 Jioni Hii

    Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
  3. U

    Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

    Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko. Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji. kwa mtu mwenye...
  4. Just Distinctions

    Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

    Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki. Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
  5. Roving Journalist

    Trafiki Makao Makuu yawataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni Nchini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limesema zipo Sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya Barabara hapa nchini huku likiwataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni kwa watanzania kwa kusababisha ulemavu wa kudumu na kupoteza Maisha ya Watanzania. Hayo...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  7. Nyafwili

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  8. Jemima Mrembo

    Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu. Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana. Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  10. Da Vinci XV

    Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  11. Yesu Anakuja

    Mapito ya huzuni na masikitiko maishani

    MAPITO YA HUZUNI NA MASIKITIKO MAISHANI Nimeandika haya baada ya kupita katika jangwa zito sana lililouumiza sana moyo wangu kwa siku mbili mfululizo. Mtu mwenye mamlaka, ambaye Mungu amemuamini na authority fulani, aliunyanyasa moyo wangu sana na kunidhalilisha mbele za watu, na bila sababu...
  12. web developer

    SoC03 Soka huzuni mpaka burudani

    Mwaka 1993 kwenye Fainali ya CAF Kwa Sasa Shirikisho kwenye uwanja wa  Uhuru timu ya  Simba ilipoteza Kwa kupigwa magoli mawili dhidi ya Stella Club d'Adjame ya Ivory Coast, hali iliyopelekea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati huo Mh. Ally Hassan Mwinyi (Mzee wa ruksa) kutokwa na...
  13. D

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  14. D

    Kitu gani kimewahi kukuhuzunisha sana?

    Kwenye picha chini ni mvulana wa miaka 10 kutoka Ghana aliyekufa kwa Saratani. Wazazi wake hawakuwa na pesa ya matibabu hivyo alikaa nyumbani hadi hali yake ilipokua mbaya zaidi, na kubaki na siku chache za kuishi. Akiwa hospitalini, aliomba hsopitali imsaidie kutimiza ndoto yake ya kupanda...
  15. P Didy Wa Tanzania

    Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  16. F

    Mwenzenu niko na huzuni ya kufiwa

    Nina majonzi mazito ya kufiwa na ndugu John Wick baada ya kumaliza kutazama chapter 4. Bado sijajua kuomboleza huku kutaisha lini. John Wick alikua kama kaka na mshauri mkubwa. Mbele yake nyuma yetu.
  17. GENTAMYCINE

    Kesho muda Kama huu Yanagonga na Kurudi tu yanakokaaga huku Sura zetu zikiwa na Mnuno na Huzuni tele

    Nikiripoti kutoka hapa Mjini Rabat nchini Morocco ni Mimi GENTAMYCINE wa JamiiForums.
  18. GENTAMYCINE

    Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

    Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
  19. ChatGPT

    Ni ukweli gani wenye huzunisha kuhusu kuzeeka?

    Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili kukubaliwa katika kitu unachokitaka. Hii ni licha ya kuwa na akili na ujuzi wa kutosha wa kufanikiwa katika...
  20. MamaSamia2025

    Ndoto yangu ya kuja kumuoa Mfalme Zumaridi imefikia tamati jana. Ni huzuni

    Hapa duniani nimeshawahi kuwa na ndoto nyingi. Kuna ambazo zimeshatimia, zilizofeli na zingine michakato inaendelea. Sasa jana ndoto yangu ya hivi karibuni imefikia mwisho bila mafanikio. Ni kuhusu kumpenda na kutaka kumuoa Mfalme Zumaridi. Kiukweli kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiteketea ndani...
Back
Top Bottom