hasira

Rabbi Yaakov Abuhatzeira, also known as the Abir Yaakov and Abu Hasira (1806–1880), was a leading Moroccan-Jewish rabbi of the 19th century, son of the patriarch of the Abu Hasira/Abuhatzeira family, R. Samuel.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    MPYA Ni kweli mtu akikung'ata akiwa na hasira anakuwa anatoa sumu?

    Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata wakati akiwa na hasira basi anatengeneza sumu kama vilivyokuwa kwa wanyama (kama nyoka) na hivyo inaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na jinsi hasira yake ilivyo kali? Hii ni kweli wataalam?
  2. 6 Pack

    Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika...
  3. mwanamwana

    Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

    Mwaramutse nshuti, Mimi sina magari matatu kama ndugu yangu Makamura hivyo hulazimika kutumia usafiri wa umma kama daladala na bajaji kwenda kusaka mkate. Adha kubwa ambazo nimekuwa nikikutana nazo kwenye usafiri huo ni maneno machafu, yasiyo na staha ya makonda na madereva. Imekuwa kama...
  4. S

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme...
  5. Erythrocyte

    Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
  6. Hakuna anayejali

    Kwani kuchaniwa faini ndiyo kunakufanya uwe na hasira?

    Jambo hili nimeliona sana kwa madereva wengi wa gari za abiria.Akichaniwa faini kwa makosa mbalimbali akitoka pale kama amekorofishana na mtu.Ndiyo nauliza kwanini hii tabia hutokea?
  7. Bhaghosha

    Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  8. LA7

    Nimekuwa mtu wa hasira hata kwa watu wangu wa karibu

    Sijajua ni Nini hasa inanifanya Mimi kuwa na hasira kupita kiasi mpaka kwa watu wangu wa karibu, Kwani nimekuwa nikiwajibu majibu ya mkato mpaka wanakuwa wanashangaa Wengine huishia kunyamaza na wengine huniambia kuwa nimewajibu vibaya, Hii Hali imeanza mwezi huu wa kwanza, natamani Sana...
  9. Leejay49

    Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Happy new year wananzengo Leo nimetoka kufanya tukio moja hadi nimekaa hapa najitafakari naishia tu kujionea aibu hadi naandika uzi hapa saa hii.... Kwanza kabisa mimi ni mtu mmoja hivi mtulivu sana nyuma ya keyboard, yaani ni mpole mnoo.. Ni aina ya watu ambao hua nakua vibe nikiwa alone...
  10. Webabu

    Hasira za Pakistan na Iran ni kama za wagonjwa wa safura

    Kwa takriban miaka mitano sana makamanda wakubwa wa Iran na vituo muhimu vya kijeshi vya Iran vimekuwa vikishambuliwa na Israel ndani ya Syria na hata ndani ya Iran yenyewe. Mtekelezaji wa mashambulio hayo Iran amekuwa akimtaja bila kificho na mwenyewe (Israel) mara moja moja amekuwa akikiri...
  11. Webabu

    Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

    Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa. Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
  12. M

    Mpenzi wako akiwa na hasira unamtulizaje?

    Habari zenu, Eti endapo Mpenzi wako ana hasira huwa unafanya kitu gani kumtuliza hasira zake? FUNGUKA!
  13. J

    Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  14. M

    Jamaa yangu kapasua friji la TBL kwa hasira baa. Kioo chake kina gharama gani?

    Jamaa alizinguana na wahahudumu akaamua kubomoa friji la baa. Matengenezo yake yamekaa vipi? Kioo tu ndio kimebomoka.
  15. BARD AI

    TAWA: Bado tunachunguza tukio la Muwindaji kuua Mamba

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema inaendelea na uchunguzi kuona kama kuna ukiukwaji wa Sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania mwenye rekodi ya dunia na kuleta taharuki. Taarifa ya TAWA...
  16. Poppy Hatonn

    Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

    Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza. Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine. Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu. I wish a Happy...
  17. Nkaburu

    Jinsi ya kutambua habari na taarifa potofu Mtandaoni-Taarifa tam tam au yenye kutia hasira.-Vidokezo kutoka kwa Wataalamu wa Saikolojia

    Je Ushawahi kukutana na Taarifa tamu tamu mtandaoni au taarifa ambazo zilikufanya ujisikie kutamani, hasira, chuki, au hofu? Basi hauko peke yako. According to Scientist, wataalamu wa saikolojia, watu wengi ni wahanga wa wa habari potofu mtandaoni. Hatahivyo, cha muhimu ni kutokupanic au...
  18. sanalii

    Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  19. Execute

    Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

    Yaani nakatwa kodi kubwa hivyo kwa mwezi lakini hata kuwa na umeme wa uhakika imeshindikana? Hela hizi ni bora nirudishiwe nitafute jenereta kubwa niliwekee mafuta.
Back
Top Bottom