wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kimsboy

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo Yemen tayari keshaandaa wanajeshi laki 4 Iraq kuna wanajeshi laki 2 na nusu Hezbollah wapo zaidi laki...
  2. Webabu

    Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  3. M

    Ulaya na Marekani wanapata wapi vibali vya kuwakemea wengine?

    Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal. Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
  4. R

    PSSSF imeshindwa kulipa pensheni za wastaafu. Wengine sasa ni zaidi ya mwaka hawajalipwa

    Kila wakienda wanapigwa danadana bila maelezo ya kueleweka. mwaka mzima, wengine miezi 4, 5, 6 etc etc. Waziri mwenye dhamana ni nani? Nina uhakika anajua hilo, na habari za ndani ni kuwa wamefilisika hawezi lipa mafao ya wastaafu kama lumpsum, na malimbikizo ya kila mwezi kwa ambao tangu...
  5. C

    TMA wakitoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa shule zifungwe kwa kipindi hicho, tusisubiri wengine wazame tena

    Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari kipindi hiki, kwanini shule hazichukui iniative kuongeza usalama kwa watoto. Halafu cha kushangaza...
  6. GENTAMYCINE

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
  7. B

    Ridhiwan Kikwete atumia siku yake ya kuzaliwa kusambaza upendo kwa wengine, afikisha miaka 45

    Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali. Kikwete...
  8. S

    Siamini kwamba Raisi Samia anatukanwa, bali anasemwa na kukosolewa kama ilivyokuwa kwa maraisi wengine huko nyuma; tusikuze mambo isivyostahili

    Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini. Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba Raisi Samia anatukanwa, kwamba maneno ya kumkosoa na kumpa majina kama Mama Tozo sijui ni jambo...
  9. SAYVILLE

    Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Nakumbuka kulikuwa na utaratibu barabarani kwenye mabasi makubwa ya masafa marefu yanayotoka mkoa mmoja hadi mwingine, askari wanaingia kukagua mabasi na moja ya mambo waliyokuwa wanaangalia ni kama basi limezidisha idadi ya abiria. Kutokana na hulka ya Watanzania tulivyo, tulikuwa tunakaushia...
  10. uhurumoja

    Ukitaka kwenda mbali nenda peke Yako ukitaka kwenda mbali sana nenda na wengine

    Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
  11. Wadiz

    Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  12. JanguKamaJangu

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  13. mkushiOg

    Unaishi vipi na mwanaume asiyepokea ushauri wa mwenza/ watu wengine?

    Hellow JF Members, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba maoni ya wadau. Unakuta mwenza ni mgumu sanaa kupokea ushauri hata wa kawaida tu na pale mambo yanapomuendea kombo juu ya jambo ulilomshauri anakurudia na anataka mshiriki wote kutatua. Mfano anaweza fanya maamuzi ya kununua kitu...
  14. tpaul

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari. Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na...
  15. Nehemia Kilave

    Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
  16. 1

    Maneno ya Mwina Kaduguda leo kuwa viongozi wa Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine yamenifikirisha kinyama

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa ss hv...
  17. Accumen Mo

    Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu. --- Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa...
  18. SAYVILLE

    Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  19. JF Toons

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
Back
Top Bottom