Ndugu wasomaji, ni nini tunajifunza katika hali hii iliyoko Afghanistan?
Siku zote sijawahi kuwa na imani na unafiki wa watu wanaosema wanatetea dini lakini wakitoa watu kuwa sadaka kwa miungu. Wanalazimishsa kutawala kwa jina lolote lakini si kwa ajli ya watawaliwa.
Hivi utawala wa mabavu, siasa za kuangamiza watu kwa misingi ya dini isiyokubalika, ndio utawala wa shetani?
Moyo wangu unaugua sana kwa ajili ya raia wa Afghanstan. Ninaugua sana. Mungu nakuomba uwakumbuke hawa watoto wako unaowapenda katika nchi ya Afghan. Dunia imeshindwa kuwatetea lakini wewe unaweza. Dunia imeshindwa kuwalinda lakini wewe unaweza. Wametekwa ndani ya eneo ulilowapa na kwa mkono wa adui wa ndani sasa ni mateka. Maisha yao yamejaa mashaka bila tumaini.
MUNGU, KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYEHAI MILELE, KWA AGANO LA DAMU YA YESU, NAINAOMBA UWAKUMBUKE TAIFA LA AFGHANSTANI. NINAOMBA MUNGU UWAONYESHE UWEPO NA UPENDO WAKO. AHSANTE BABA KWA KUWA UNANISIKIA SIKU ZOTE. KWA JINA LA YESU NIMEOMBA - AMEN