nhif

The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
  2. A

    Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero.

    Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu. Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
  3. H

    IKIWA HIZI DAWA ZOTE NA VIFAA TIBA VIMEONDOLEWA NHIF JE NI NINI KIMEBAKI?

    HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA IDARA YA FAMASI DAWA ZILIZOONDOLEWA KWENYE KITITA KIPYA CHA MFUKO WA BIMA YA AFYA WA TAIFA (NHIF) 8/3/2024 Na Jina la dawa 1.Aceclofenac 2.Alendronic acid tabs 3 Alprazolam tablets 4 Amethocaine eye drops 5 Amiloride tabs 6 Aminophyline tabs and inj 7 Amlodipine...
  4. mgt software

    CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  5. M

    Naomba kujuzwa maslahi ya wafanyakazi NHIF

    Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF, 1. Mishahara, 2. Mikopo, 3. Safari za nje, 4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
  6. Black Butterfly

    NHIF na Wizara ya Afya wanamdanganya Rais kuhusu Dawa zilizoondolewa kwenye Kitita kipya?

    Binafsi sielewi kwanini NHIFTZ na Waziri was Afya @ummymwalimu wameamua kuwa waongo na wazandiki katika hili suala la bima ya afya ya NHIF. Wanachama tumewakosea nini? Mnataka roho zetu? Swali langu lilihusu dawa namba 21 katika zilizoondolewa, beclomethasone with salbutamol inhaler ikiwa ni...
  7. J

    Je, ni kweli NHIF wameondoa baadhi ya vifaa tiba (kama vile gloves) katika kitita kipya cha huduma?

    JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA? Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages. NHIF wanasema gharama...
  8. Yusto Bitalio

    Ufanisi wa Bima za NHIF Tanzania

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa. Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao. Nilionana na...
  9. Roving Journalist

    Madai ya Chuo Kikuu cha Iringa kutojali afya za Wanafunzi, uongozi wasema kuanzia mwakani Wanafunzi watalipa Bima moja kwa moja NHIF

    Daada ya andiko la member wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Iringa, hawajali suala la afya za wanafunzi kupitia andiko hili - Chuo Kikuu cha Iringa hakijali afya za Wanafunzi, tumelipia mwezi nne sasa hakuna huduma ya Bima majibu yametolewa na uongozi wa chuo. Prof...
  10. Mganguzi

    NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

    Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizikkw
  11. Roving Journalist

    Taasisi ya Moyo (JKCI) yafafanuzi madai ya kuchezea mifumo ya NHIF ili baadhi ya Dawa ionekane hazipo

    Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
  12. Msanii

    Wakati tupo bize kujadili soka, Serikali ipo bize kututenda kwenye afya, tukija kustuka tunaanza kulia lia... Tujadili NHIF kuna mengi yanaibuka

    Inawezekana leo tukaona hawa wanaharakati wanaopiga mbinja kana kwamba wanasaka umaarufu. Lakini tupime haya mambo yanayozungumzwa with facts. Na tumeona namna ambavyo Waziri wa Afya akitoa fafanuzi mbalimbali wakati wa tangazo la Mgomo wa watoa huduma za afya binafsi dhidi ya ujio wa Kitita...
  13. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Vitita vipya NHIF vinageuza huduma ya afya kuwa biashara, Serikali ifute vitita vipya

    ACT Wazalendo tumeguswa na taharuki za wananchi kutokana na taarifa za utata juu ya upatikanaji wa huduma za afya kupitia Mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF). Wiki ya kwanza ya mwezi Machi, 2024 tulishuhudia mivutano mikali kati ya Serikali na watoa huduma za afya binafsi (Vituo binafsi)...
  14. BigTall

    Huduma ya Saikolojia ipatikane kwenye Bima ya NHIF, kuna watu wengi wana changamoto ya Afya ya Akili

    Hivi karibuni kumekuwa na hoja kadhaa kuhusu vifurushi vya Huduma za Bima ya NHIF, kuna mengi yanazungumzwa lakini leo nataka kushea moja ambalo limenikuta na inawezekana likawa na madhara makubwa katika jamii japokuwa Watu wengi hawalitazami kwa jicho hilo. Katika vifurushi ambavyo vinalipiwa...
  15. The Burning Spear

    Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Great Thinkers. Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile. Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa...
  16. Aramun

    NHIF tofautisheni Sayansi na Siasa, Serikali ingilieni kati hili jambo

    NHIF hizi mnazofanya ni siasa kwenye uhai wa watanzania. Imagine mtu unaamua kujikamua unalipa ki NHIF chako cha laki 7, lakini unapoenda hospitali unaanza kuambiwa hiki NHIF hawana coverage yake, tena vitu basic kama sindano?, this is totaly unacceptable. Serikali ni vizuri mkaingilia hili...
  17. D

    NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Tanzania hivi karibuni umefanya marekebisho katika kifurushi chake kinachohusisha pia dawa, yakiwemo madawa ya antibiotic, ambapo imepunguza sana bei. Anaye command soko la dawa Tanzania ni NHIF. Na sasa hii ni RASMI kwamba soko la dawa litatawaliwa na...
  18. I

    Ujue ukweli kuhusu kitita kipya cha huduma cha NHIF

    Kitita ni orodha ya huduma na bei zake ambazo NHIF huingia mkataba na Hospitali kuwahudumia wanachama wake. Hakuna ongezeko la gharama za michango ya wanachama. Hakuna kuchangia gharama za matibabu (top up) kwa huduma zinazolipiwa na NHIF Wanachama wanaotumia dawa za pressure na sukari sasa...
Back
Top Bottom