mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. GENTAMYCINE

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  2. Mhafidhina07

    Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu. Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC). Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki. Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini. Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
  4. M

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
  5. BUDANOV

    Huyu Mganga alipitaje pale JKNIA?

    Hivi kwa karne hii ya sayansi na teknolojia mtu anaweza akapanda ndege kwenda kwenye chimbuko la dini yake na matalasimu vibuyu na tunguli ili akafanye uganguzi? Tena wateja naona watakuwa ndugu zake wamatumbi AIBU HII
  6. M

    Mganga wa kienyeji maarufu Dkt. Manyaunyau agundulika mbinu yake ya kutapeli watu kwa kumchezesha jini kimbunga kwa remote control

    Habari wadau, Mganga wa kienyeji maarufu kwa kunywa damu za paka. Dr manyau nyau agundulika mbinu yake ya utapeli. Akiwa anafanyiwa mahojiano na mtangazaji wa global online tv. Dr manyau nyau alitaka kuonesha mbwembwe kwa mwandishi huyo wa habari kwa kumuambia asalimie majini yake na aone...
  7. Stability

    Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje. Inapelekea sasa...
  8. GENTAMYCINE

    Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  9. 1

    Leo huko Misri ndio tutajua kama tumuamini Mganga au Kocha

    Utopolo wako huko Misri wakiwapigia magoti Al Ahly wasiwadhalilishe leo jioni na ushahidi ni jana wameenda kuingia makubaliano ya ushirikiano na Al Ahly eti mashirikiano ya kiuchumi.Yaani Utopolo mshirikiane na mwarabu kiuchumi? Mbingu na ardhi. Jana Rais wa Utopolo alivyo mwehu akaulizwa swali...
  10. JanguKamaJangu

    Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu. Tukio hilo limetokea tarehe...
  11. B

    Mganga wa Kienyeji kutoka Tanzania na mgombea urais Seychelles kortini

    15 February 2024 Victoria, Seychelles Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
  12. LIKUD

    Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi. Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
  13. Kizibo

    NI WAPI NAWEZA KUPATA MGANGA WA KIENYEJI AMBAE AMEBOBEA KWNEYE MAMBO YA BISHARA??

    Heshima kwenu wakuu!! Kwa wale watafutaji wenzangu, hasa kwenye biashara, naomba kama unamjua mganga wa kienyeji aliebobea kwenye mambo ya biashara unisaidie. Dawa zinazidiana nguvu, NATAKA KUONGEZEA NGUVU. Kama utanisaida nikifanikiwa nitakupa shukrani. Asanteni sana wakuu. Hornet juma...
  14. mkarimani feki

    Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara. Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali. Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini 1. TRA 2. BOT 3. DCEA 4. TISS 5. IMMIGRATION 6...
  15. Ryan The King

    Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  16. BARD AI

    Mtwara: Mganga Mfawidhi asimamishwa kazi kwa kuwaambia Wagonjwa yeye ana Roho Mbaya kuliko wanavyofikiri

    https://www.instagram.com/reel/C1rIUPsi23K/?igsh=ZWI2YzEzYmMxYg%3D%3D Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Abeid Abeid Kafunda, amemsimamisha kazi Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mkwajuni Isabella Renatus kutokana na madai ya kutokuwa na kauli nzuri kwa Wagonjwa huku akijisifu kuwa ana...
  17. M

    Peter Madeleka awaburuta Mahakamani Jaji Biswalo Mganga na Kamishina wa uhamiaji Anna Makakala

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023 Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama...
  18. F

    Hakuna mganga wa kienyeji wa ukweli, wote ni matapeli. Mtu anayetoa ushuhuda kuwa mganga fulani ni kiboko huwa ni dalali wake

    habari wadau. Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina. hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao. nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa...
Back
Top Bottom