nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. sonofobia

    Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  2. 2v1

    Nataka siku moja niwekeze katika teknolojia

    Habari zenu wadau, mimi ni kijana, natamani siku moja niwekeze katika teknolojia, kwa muda kidogo nimekuwa nikijifunza programu kwa kujipambania mwenyewe. Nimejifunza kwenye simu kidogo kidogo, na hii ndiyo kazi ya kwanza ambayo nimefanikiwa kutengeneza katika simu yangu. Ni app...
  3. Njugu mawe

    Nahitaji blender nzuri kwa mahitaji ya nyumbani

    Wataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana, Mnishauri tafadhari
  4. G

    Nataka kuwa baba watoto Lakini siyo mume

    Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto. Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume. Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine ambaye ana hamu ya kuwa na mtoto. Hivyo anakuja kukaa siku 3 kwenye geto langu kwa lengo moja...
  5. aBuwash

    Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
  6. N

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja Unguja mwezi wa 7 mwaka huo huo kujaribu bahati yangu, kilichonileta ni soka na alieniunganisha na hio...
  7. M

    Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

    Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym. Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
  8. Maleven

    Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu. Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza. Sababu kubwa ni kua...
  9. GENTAMYCINE

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  10. S

    Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute! Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
  11. simbampole

    Nina alizeti nataka kukamua

    Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua mafuta. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
  12. Njugu mawe

    Nataka kujenga

    Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu, Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa? Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili...
  13. Loading failed

    Nataka kuoa ila nina wanawake wengi mpaka sijui nioe yupi kwa kweli

    Ndugu zangu Nina wapenzi wakike wengi sana mpaka sijui nichague yupi awe mke wangu Wanawake wangu wanatokea makabila haya na wote nimenyandua baadhi yao wanajuana katika kufumaniwa hapa na pale ila wengine hawajuani kabisa *Muha-2 *Mhehe-2 *Mchaga wa kimachame -4 *Mchaga wa kirombo-2...
  14. Lenin23

    Pasaka yangu nataka kula na wahitaji

    kama kuna events yoyote imekua organized kwa siku ya kesho kile kidogo nilicho jaliwa nataka kusherekea na wahitaji, kindly may i be recommended with any orphanage center, or any events zinazohusisha wahitaji kindly pm me ill much appreciate it. location Dar es Salaam. Thanks in advance
  15. K

    Nataka Gypsum Board

    Nipo Mkoani, anayeuza Gypsum board na kusafisha nilipo anicheck. Aina ni Thailand.
  16. Adolph Jr

    Anataka kuanzisha biashara ya kuuza nafaka, anaomba ushauri

    Ni muda tena. Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka. Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria) Anamaanisha je...
  17. Xi jiping

    Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

    Napata hili wazo baada ya kuona makabila mengi ya Africa yanashindwa kuikomboa nchi kitechnolojia na kiuchumi kisa kua na uwezo mdogo wa kiakili. Nataka nianzishe kabila cha watu wenye akili kama wa Israel (kama unachuki nao kwa kujaliwa akili ruksa kutema povu) Hapa natafuta magenius kama 100...
  18. Wakuperuzi

    Nijuzeni kuhusu snapchart

    Miezi ya hivi karibuni mwenzangu amekuwa busy sna na hii kitu na mimi binafsi sina ufahamu kuhusu matumizi yake Hebu tirirkeni hpa wakuu abc za huu mtandao angalau nijue kwa uchache maana nisije kuwa nakabia kati kumbe huku zinapigwa kaunta waletee......
  19. D

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
  20. Mad Max

    Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya...
Back
Top Bottom