JE, WAJUA msichana anayeanza kushiriki ngono katika umri mdogo anakuwa katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi endapo atakuwa hajapata Chanjo ya HPV?
Takwimu za Wizara ya Afya Tanzania zinaonesha aina 4 ya Saratani zina idadi kubwa ya Wagonjwa nchini kulinganisha na Saratani...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo.
Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao.
Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo Waingereza kuhusu kutokuonekana hadharani kwa Princess of Wales na hali yake ya kiafya ikoje
Habari...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Marekani (Heart.Org) kwa Watu wenye miaka kati ya 20 hadi 70 umeonesha Watu wasiopata muda mrefu wa Kulala Usingizi kwa zaidi ya Saa 7 kila siku wanakuwa hatarini kupata Saratani au Kifo cha Ghafla.
Utafiti huo uliochapishwa kupitia Journal...
Rais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer.
---
MOSCOW, Feb 14 (Reuters) - President Vladimir Putin said on Wednesday that Russian scientists were close to creating vaccines for cancer that could soon be available to patients.
Putin...
Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa AFCON 2023, mfungaji wa goli la ushindi Sebastien Haller alihojiwa na Waandishi wa Habari, akiwa katikati ya mahojiano akaanza kulia.
Hatua hiyo ilitokana na kumbukumbu kuwa mwaka mmoja uliopota alirejea uwanjani baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi sita...
Nimeona ujumbe wa WhatsApp unaotaka watu watume majina ya Wagonjwa wa Saratani ya Matiti kabla ya Machi 7 ili watibiwe bure.
Nina ndugu yangu ni mgonjwa. Naomba kufahamu kama tangazo hili lina ukweli ili nisitapeliwe bure.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa wa Saratani kwa kuwa kila mwaka wagonjwa wa Saratani elfu 40 wanagundulika ambapo inapelekea vifo elfu 26 hivyo Watanzania wasipochukua tahadhari vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vitaongezeka.
Waziri Ummy...
Na. WAF - Dar Es Salaam
Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa katika kila wagonjwa watu 100 wenye Saratani 25 ni wanawake wenye Saratani ya Mlango wa Kizazi.
Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na Mkurugenzi wa Huduma...
Na. WAF - Dar Es Salaam
Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote...
Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha.
Kwa saab, kiongozi anakosaje...
Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo Madaktari wake walivyoelekeza.
Taarifa ya Serikali imesema Rais huyo amekuwa akifanya vipimo vya afya mara...
KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kumetajwa kusababisha ongezeko kubwa la saratani ya kizazi.
Tafiti zinaonesha kuwa wale...
Wengi wanatamani kuwa na mpango wa uzazi lakini kinachowachosha na kuwatatiza ni njia gani hasa watumie katika kupanga huo uzazi
Usipate tabu tena, chukua (mbegu ya) mbarika yaani nyonyo kisha ondoa ganda lake lile gumu ibaki ile punje ya ndani. Meza punje moja kila mwezi!
Imeisha hiyo
For the benefit of all those in Rio Linda 🤣, let’s begin by defining what colorism is;
differential treatment based on skin color, especially favoritism toward those with a lighter skin tone and mistreatment or exclusion of those with a darker skin tone, typically among those of the same racial...
Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi...
Saratani ya Matiti ni nini?
Kwanza, Saratani ni ugonjwa unaosababishwa na kugawanyika kwa seli za kiungo chochote mwilini bila kufuata utaratibu wa kawaida hivyo kusababisha kuzaliwa kwa seli zenye ukubwa, umbo na uwezo wa kufanya kazi tofauti na inavyopaswa, na kusababisha dalili hatarishi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.