kifaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Nitumie kimiminika gani kusafisha saketi ya kifaa cha umeme

    Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
  2. Nyamesocho

    Hii midoli ya madukani ni udhalilishaji wa wanawake. Waziri Gwajima piga marufuku matumizi yake

    Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya zaidi yametengenezewa matiti fulani yenye mvuto kwa wanaume. Udhalilishaji wake ni kwamba kuna...
  3. Forest Hill

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you may call me fanatic but football ndio ulevi wangu, DStv vifurushi daily vinapanda kwa uchumi ulivyo...
  4. Influenza

    Kama unatumia Apps hizi kwenye kifaa chako cha Android, ziondoe haraka. Ni hatari! | Xamalicious, a new dangerous Android 'copycat app'

    Wakati watumiaji wa Android walipoambiwa kuchungza vifaa vyao kwa programu (Apllications) zenye hatari kubwa ya kuwa na Wadudu (Malware) wa "SpyLoan" wasio salama, tishio jipya lilijitokeza kwa jina la "Xamalicious," mlango wa nyuma uligundulika hivi karibuni katika programu kadhaa kwenye Google...
  5. covid 19

    wakuu anaweza kunisaidia kunipa taarifa juu ya kifaa hiki

    nimeambiwa hiki ni kifaa cha kuweza kuweka lain za sim nyingi hadi laini 8 kwa wakati mmoja kwa pamoja, naomba kuuliza inaruhusiwa kisheria kumiliki hiki kifaa na kama ni ndio kinapatikana wapi? maana kwa kazi zangu natamani sana nipate kifaa kama hiki ili nisave gharama.
  6. M

    Kampuni ya Elon Musk yapandikiza kifaa kwenye ubongo wa binadamu

    Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya. Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo vyote...
  7. Influenza

    Ufafanuzi wa JKCI: Ni kweli kulikuwa na upungufu wa Peacemaker ila hakuna mgonjwa aliyekufa kwa kutowekewa kifaa hicho

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi wa Habari iliyosambaa katika mitandaoni ya kijamii kuwa “Huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili, Wagonjwa wanakufa” taarifa hiyo siyo ya kweli na ipuuzwe, kwani hakuna mgonjwa aliyekufa kutokana na tatizo la kutokuwekewa kifaa cha...
  8. T

    Wapi naweza kupata kifaa cha GPS Sensor?

    Ni wapi naweza kununua device ya namna hiyo kwa ajili ya kuonyesha location?
  9. Selemani Sele

    EX kaniacha baada ya miaka nane nikapata kifaa kuliko yeye

    Alright okay ni wako selemani sele hilo nalo ni lile somo la kuogopa wanawake kama ukoma twende na mistari. Nilikuwa na Manzi yangu niko nae miaka 8 sasa ni dem ambae yuko tough Sana kwangu kwanza hayuko romantic, ana majibu makavu kichizi unaweza mwambia nakupenda akakujibu Asante mkuu...
  10. Roving Journalist

    Dar: DAWASA imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji kwenda Bonyokwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza kutekeleza kazi ya kufunga kifaa cha kusukuma maji (Booster pump) kwa lengo la kuongeza upatikanaji maji katika eneo la Mavurunza kwa ajili ya kupeleka maji katika maeneo ya Bonyokwa kwa Kichwa, Kwa Dani Mrwanda, Shedafa...
  11. Gef

    msaada tv yangu imeungua kifaa hiki

    Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo...
  12. Biashara2000

    Nauza kifaa cha kutengenezea mishumaa ya kanisani

    Habari nauza vifa vya kutngeezea mishumaa ya kanisani. Mishumaa 18 kwa saa. Kila dk 20 mishumaa 6 bei sh 120,000 nipo Dar 0758308193. Unaweza uza hata kwa watu kutumia nyumbani
  13. Boss la DP World

    Picha: Kifahamu kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi

    Ni hiki hapa wakuu. Vipo vya aina kadhaa.
  14. G-Mdadisi

    Uhaba Kifaa Cha Kuchunguza VVU Kwenye Vituo Vya Afya Zanzibar Unaathiri Vijana Kutambua Afya Zao

    KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
  15. S

    Mwanaume smart &Busy lazima use nacho hiki kifaa

    Habari Wana JF? Katika pita pita zangu na pilika za mtu mwusi, nimekutana na Kifaa nilichokifanyia tafiti umuhimu wake, nashauri Kila mwanaume smart na aliyekua busy lazima awe nacho, na ikibidi atembee nacho Kila anapokwenda. Kifaa hicho si kingine Bali ni TUMMY TRIMMER. UMUHIMU WA KIFAA...
  16. BARD AI

    Serikali yasitisha matumizi na kuagiza uchunguzi wa Kifaa kinachodaiwa Kupima Vipaji Maalumu kwa Wanafunzi

    Kufuatia kuwepo kwa taarifa za kubuniwa kifaa maalum cha kupima vipaji vya watoto shuleni na moja ya shule jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya kifaa hicho kwa muda hadi hapo serikali itakapojiridhisha juu ya ubora...
  17. Waterbender

    Kifaa hichi kinahitajika (flat bottomed flask short neck)

    Habari kwa wote, Kifaa hicho hapo chini pichani nakiitaji kwa yoyote alie nacho aje tuzungumze. Asante
  18. X

    Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  19. KingsStore

    Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
Back
Top Bottom