Search results

  1. Z

    Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake. Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
  2. Z

    Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

    Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli. Siamini wewe...
  3. Z

    Bandari zetu; Nasikilizia lakini nauona udhaifu kwa wa-Zanzibari kwa waarabu

    Hili la Bandari, kuna watu wameamini ni vita ya kidini na wengine labda ubaguzi. Je, Umewahi kusikia mwafrika mweusi akiingia U-arabu? Yaani akafanya sherehe na kutangazwa rasmi kwamba leo kawa mwarabu? Yawezekana wa-Tangayika wengi wanaifahamu Z'bar ya pale mjini na hisia za wanasiasa kuwapiga...
  4. Z

    CCM ina udhaifu wa kupata viongozi wakuu wa nchi, Sasa nchi imeuzwa!

    Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz. Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa...
  5. Z

    Vyuo Vikuu, hasa viongozi someni makala hii kwa nguvu zenu

    Tuangalie makala inayoiangalia University of Dar es Salaam lakini ni hali ktk vyuo vikuu vyote nchini. Source: https://thechanzo.com/2023/04/24/university-of-dar-es-salaam-is-stuck-its-time-to-save-it/ Nukuu 1: As the first University in Tanzania, UDSM played a crucial role in shaping the...
  6. Z

    Waziri Mkenda Tueleze matokeo ya Tume ya uchunguzi wa shule inayofundisha ushoga

    Ni jambo ambalo Waziri alilitolea maelezo marefu mbele ya vyombo vya habari. Naona ni kimya lna mambo ya ushoga yanatajwa sana! Waziri tueleze nini matokeo ya tume yako. Tueleze hatua ulizochukua kama waziri. Muhimu kabisa, taja shule hiyo ni ipi ili ijulikane kitaifa. Viongozi wa kitaifa TZ...
  7. Z

    Ikulu yetu haina taarifa za Rais zaidi ya picha zake na wazungu?

    Tangu rais aende kwenye mkutano wa Davos nimekuwa nafuatilia mafanikio ya ziara hiyo kiuchumi bila mafanikio. Kila taarifa inayotolewa na Ikulu mitandaoni, haina maelezo ya manufaa zaidi ya Rais kasimama na huyu, akiwa mkutanoni, anapewa zawadi, n.k. Hatusikii kazungumza lipi na nani la...
  8. Z

    Hali ya uteuzi imekuwa kama abiria wa daladala! Kupanda, kushuka, na kusukumwa pembeni

    Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni. Tatizo ni uimara wa...
  9. Z

    DOKEZO UDOM ni Chuo Kikuu kisichobadilika, ubora wa utawala bado uko chini

    Kwa mara nyingine tena napata wasi wasi mkubwa juu ya ubora wa UDOM. Wiki hii sasa wanafunzi wengi wa chuo hiki wanahangaika kuthibitisha kwamba wanastahili kuhitimu mwaka huu yaani mwezi huu! Wanafunzi ndio wanahangaika kupiga simu chuoni kuwakumbusha watawala kwamba wao ni wahitimu. Chuo...
  10. Z

    Wizi Serikalini: Wabunge wanawakwepa Mawaziri na Makatibu Wakuu makusudi?

    Msimu huu wa bunge umetawaliwa na taarifa ya CAG ambayo inaonesha wizi mkubwa serikalini. Tatizo malalamiko ya wabunge yanalenga taasisi za serikali na watendaji wake bila kuwataja mawaziri ambao ni wabunge wenzao. Ukweli ni kwamba mawaziri wote wa serikali ya rais Samia wanashindana kuiba pesa...
  11. Z

    Sera mpya ya Elimu, nahisi inatatua matatizo binafsi ya Waziri

    Nchi yetu imefikia hatua sera ya nchi inaweza kutungwa ili kutatua matatizo ya familia ya waziri. Inasadikiwa Mungai alikuwa na watoto walioshindwa Sayansi ya sekondari, akaamua kuyaunganisha masomo. Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ilipigwa shinikizo kwa mwaka mmoja kuwapa mikopo wanafunzi...
  12. Z

    Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  13. Z

    Barua ya wazi kwa waziri MKenda; Ufadhrili wa elimu ya juu unakera wananchi

    Ni barua inayozunguka mitandaoni. Hapa JF pia tuna thrd inayokosoa utaratibu wa kuwa na Samia sholarship. Nionavyo, hii ni nyongeza ya kutorithishwa na maamuzi ya waziri/wizara.
  14. Z

    Waziri wa elimu simamia watu wa TCU, wanaelekea kuharibu mfumo wa elimu ya juu

    Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa TCU na hasa baada ya Magufuli (RIP) kuwapokonya kazi ya kudahili wanafunzi waliyojipachika. Kwa ufupi hapo Magufuli alishauriwa vizuri maana walishaanza kufanya biashara na vyuo vikuu na hasa vyuo binafsi (private). Sasa yaonekana hawana mwongozo wa kazi zao...
  15. Z

    Rais Samia chukua hatua dhidi ya TAKUKURU; Wanatumia taarifa za rushwa kwa manufaa binafsi

    Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
  16. Z

    Tulikuwa na uchumi wa Malima-Malimanomics. Sasa tun a uchumi wa Mwigulu -Tozonomics

    Kwa wale ambao hawajawahi kusikia uchumi wa Profesa Kighoma Ali Malima alipokuwa waziri wa fedha, mpango wake wa uchumi uliitwa Malimanomics. Inavyoonekana sasa tuna aina mpya ya uchumi unlioletwa na Mwigulu Nchemba Tozonomics. Kwa ujumla wanasiasa hawa wawili wanafanana kwa kulewa sifa za...
  17. Z

    Idara husika na ajira Serikalini acheni ubaguzi wa kuhitaji GPA. TCU pia jirekebisheni utendaji wenu

    Kuna kilio kikubwa sana toka kwa watu ambao hawakusoma vyuo vya Tanzania yetu. Ajira za serikalini zinazoelekezwa katika vyuo vya elimu ya juu vinahitaji uwe na kiwango fulani cha GPA, nadhani iwe 3.8 kwenda juu. Hili ni hitaji sahihi lakini kuna tatizo la kukariri neno GPA hata kwa watu...
  18. Z

    Vita ya Libya Afrika naTanzania yetu tulikuwa mabwege, sasa tunajidai kulaani vita ya Ukraine

    Libya ilivamiwa na US kwa ushirika wa Ulaya na hasa Uingereza na Ufaransa. Wakaona ni haki yao kuvamia Libya na kumuondoa rais na hata akalawitiwa na wafuasi wao. Hakuna nchi ya kiafrika iliyolaani kwa nguvu au kujitokeza kupeleka kwenye baraza la usalama la UN. Ulaya pia hakuna aliyeandamana...
  19. Z

    Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
  20. Z

    TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
Back
Top Bottom