Kwa wale ambao hawajawahi kusikia uchumi wa Profesa Kighoma Ali Malima alipokuwa waziri wa fedha, mpango wake wa uchumi uliitwa Malimanomics. Inavyoonekana sasa tuna aina mpya ya uchumi unlioletwa na Mwigulu Nchemba Tozonomics. Kwa ujumla wanasiasa hawa wawili wanafanana kwa kulewa sifa za madaraka na vipato vitokavyo na misheni za ofisi zao.
Malima alikuwa profesa halali wa chuo Kikuu baadaye akawa ni mwanasiasa aliyeshindwa kuonesha usomi wake. Mwigulu ni mwanafunzi, aliyefanyakazi muda mfupi na akatamani kuitwa msomi, mbobezi na kuitafuta PhD. Anaipenda lakini ukweli ni kwamba hana uzoefu wa uchumi wa kisomi. Hajawahi kuchapisha lolote, chochote cha kujivunia mawazo yake ya kiuchumi. Kwa hii Tozonomics ni ajali tu.
INasikitisha kwamba TZ tumeshindwa kupata watu makini wanaoweza kuachana na sifa za uhuni ukorofi, urafi, nk. Hii Tozonomics, haitafika kokote labda tu kuwawezesha wao kuchota pesa za serikali. Hadi sasa hakuna tathmini yoyote ya mafanikio lengwa ya tozo ya mwanzo kwenye miamala.