msajili

  1. N

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Serikali haisajili 'groups za WhatsApp' bali inasajili kisheria jumuiya zisizo za kidini

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa amesema kuwa Serikali haisajili 'groups' za WhatsApp isipokuwa wanasajili jumuiya mbalimbali ambazo sio za kidini ambazo zipo kwenye jamii. Anasema kuwa zoezi la usajili ambalo linaanzia kwenye Mkoa wa Dar es...
  2. T

    Nimefurahishwa na utendaji wa ofisi ya Msajili wa NGO chini ya wizara ya Dorothy Gwajima. Tatizo lipo kwenye ngazi ya mtaa na kata

    Niseme wazi mimi huwa ni mlalamikaji pindi nikihudumiwa sivyo. Lakini Kwa hili napenda niipongeze wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu chini ya mwanamama mhe. Dkt Dorothy Gwajima. Nimehudumiwa vizuri pasipo urasimu wowote mpaka kufanikisha usajili wa shirika lisilo...
  3. Roving Journalist

    Ofisi ya Msajili Bodi ya Maabara Binafsi za Afya yasema inafanyia kazi Madai ya Maabara kutoa majibu ya Uongo

    ============= Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ni chombo chini ya Wizara ya Afya kilichoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 4 cha Sheria ya Usimamizi wa Maabara Binafsi za Afya ya Mwaka 1997 (Sura 136) kwa lengo la kusajili na kusimamia Maabara binafsi za Afya nchini. Ofisi ya Msajili Bodi ya...
  4. Pascal Mayalla

    KMT Wiki Hii Msajili wa Vyama, Jaji Mutungi, Father Kitima, Balozi Amina Salum Ali, Ismail Jussa, Mjengwa, Selasini, Kibamba, Cheyo Waunguruma!.

    Wanabodi Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri. Kipindi cha Wiki Hii, Jumapili ya jana ni hiki https://youtu.be/cQiwZySjhsg?si=-4HRmye7ClGDrC0C Wazungumzaji ni 1...
  5. Cheology

    Sifa ya kuajiriwa tume ya uchaguzi, au msajili wa vyama vya siasa.

    Ndg zangu Nimesomea political science eneo la PSPA. Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi. Najua kazi zao ni Majukumu 1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992. 2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
  6. Z

    Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

    Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli. Siamini wewe...
  7. Manjagata

    Ofisi za Msajili wa NGOs

    Wakuu salama huko? Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Msajili wa NGOs kwa hapa Dodoma. Kwa yeyote anayefahamu zilipo tafadhari naomba msaada huo haraka iwezekanavyo niko jijini hapa sasa hivi. Hata kama Dr. Gwajima atasoma ujumbe huu anielekeze! Asanteni sana.
  8. A

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
  9. assadsyria3

    Msajili wa Vyama vya Siasa: Nitavifuta CHADEMA na CUF

    Msajili wa Vyama vya Siasa, amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta. Amedai kama Katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka. Tamko hill limetolewa kwa ushirikiano wa IGP Mangu kwa niaba ya Jeshi la polisi na ofisi ya msajili...
  10. assadsyria3

    Hiki chama kimepoteza legitimacy. Msajili akipe onyo au akifute

    Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine. Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika Hatutaki udini Hatutaki...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kawaida atuma Salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    KOMREDI KAWAIDA, ATUMA SALAMU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ASISITIZA KUMLINDA RAIS SAMIA NI JUKUMU LA VIJANA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ametuma salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na kumtaka kuwachukulia hatua wale wote...
  12. BARD AI

    Rais Samia aagiza Msajili kuitisha Kikao kuhusu Mchakato wa Katiba Mpya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni kuwashirikisha wadau katika kutathmini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa kikiratibu maoni ya watu kuhusu demokrasia ya vyama vingi vya...
  13. benzemah

    Rais Samia amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa kuhusu kuanza kwa mchakato wa Katiba Mpya

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhes. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo ni kuwashirikisha wadau katika kutathmini utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa kikiratibu maoni ya...
  14. Jidu La Mabambasi

    TANZIA Aliyekuwa Msajili wa Makandarasi, Joe Malongo afariki dunia

    Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila. RIP Eng Joe Malongo.
  15. K

    Naomba kujua majukumu ya Msajili wa Hazina

    Habari wapendwa? Nimesikia Nehemia Mchechu kateuliwa kuwa Msajili wa Hazina. Nini haswaa majukumu ya MSAJILI WA HAZINA? Je, majukumu yameongezeka kwa Mchechu au kinyume chake?
  16. benzemah

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  17. G

    Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

    Habari Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
  18. Mpinzire

    Kuna atakayethubutu kuikemea Ofisi ya Msajili wa Vyama hasa Naibu mbele ya Rais hapo kesho?

    Wakati bado najiuliza nani ataenda kuiwakilisha NCCR Magaeuzi kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na Mh Rais, ila bado napata swali mwenyewe! Hivi walivyo wanasiasa wetu kesho unatarajia nn? Kusifia tu na kuwa wapole ama watathubutu ata kukemea vitendo vya Naibu Msajili wa vyama vya...
  19. BARD AI

    Msajili wa Vyama abariki Mbatia kufukuzwa NCCR Mageuzi

    Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imebariki kung’olewa kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia. Mei 21, Halmashauri Kuu ya NCCR-Mageuzi iliitisha mkutano uliofanyika katika...
  20. B

    MSAADA: Anwani ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wanajamvi, tumejaribu kupiga simu zilizoainishwa kwenye tovuti ya Msajili wa vyama vya siasa hazipatikani, tumeandika email hazijibiwi, tafadhali tunaomba mwenye kufahamu ofisi ilipo kama Dodoma au Dar na eneo husika atusaidie pia kama unazo namba za simu mtusaidie. Tunahitaji huduma kutoka kwa...
Back
Top Bottom