Barua ya wazi kwa waziri MKenda; Ufadhrili wa elimu ya juu unakera wananchi

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,251
2,875
Ni barua inayozunguka mitandaoni. Hapa JF pia tuna thrd inayokosoa utaratibu wa kuwa na Samia sholarship.
Nionavyo, hii ni nyongeza ya kutorithishwa na maamuzi ya waziri/wizara.
 

Attachments

  • Barua ya wazi.pdf
    9.3 KB · Views: 9
Barua yako haijakaa kitaalamu. Imeandikwa kimipasho zaidi na inaonesha una wivu na wanafunzi wanaisoma shule binafsi.

Barua kwa waziri my foot!
 
Barua yako haijakaa kitaalamu. Imeandikwa kimipasho zaidi na inaonesha una wivu na wanafunzi wanaisoma shule binafsi.

Barua kwa waziri my foot!
Boss! miaka yangu ya kusoma thrds mbali mbali, kwa sasa naona uchangiaji wa wengi uko chini sana!
Wewe ulivyoandika hapa umenifanya niisome barua hiyo. Ninachokiona hujui maana ya waziri. Mwenye barua anaonesha udhaifu wa maamuzi hayo na ana haki ya kulaani hata matumizi ya pesa kama hizo kwa mtindo huo. sasa wewe kwa kuwa tu (huenda) unanufaika na maamuzi hayo unasema ni wivu. Kuna watu hapa wakisemwa ni wezi, baadhi ya wachangiaji pia wanasema ni wivu. Nini unachoona kakosea?

Hata mimi sioni kama kumsaidia form six leaver ndo kuinua sayansi. Ni ujinga tu tunaoambukizana hadi kwako.

Kwa ujumla waziri kachemsha!
Pia soma hapa 👇
 
Suluhu ya haya kama serikali ifute ihamishe masomo ya Sanaa,biashara, civics,history, English, kiswahili. Ifute secondary ipeleke primary, na University. Primary masomo yote yafundishwe kwa kiingezeza.na University kila kada zisome kiswahili.
 
Basi ndo keshaamua sasa. Mtamfanya nn? Mnatujazia server tu hapa. Tangu lini ccm walimsikiliza mnyonge ??
Nimesikia maneno kama hayo toka kwa mfuga ng'ombe akiwaeleza wakulima kwamba ng'ombe kisha kula amueni sasa! Kama mfuga ng'ombe nawe unasema keshaaamua sasa.
 
Back
Top Bottom