Ni jambo ambalo Waziri alilitolea maelezo marefu mbele ya vyombo vya habari. Naona ni kimya lna mambo ya ushoga yanatajwa sana! Waziri tueleze nini matokeo ya tume yako. Tueleze hatua ulizochukua kama waziri. Muhimu kabisa, taja shule hiyo ni ipi ili ijulikane kitaifa.
Viongozi wa kitaifa TZ wamekuwa na tabia ya kunyamazia ushoga. Rais hasemi anaishia kusema maadili. Waziri mkuu na Mawaziri hawasemi wanaishia neno maadili. Tunataka kusikia munasema nini juu ya ushoga.