The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,505
113,620
Wanabodi,

Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.

Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba, The Biggest Star wa Kike wa Bongo?.

Kwa vile JF was meant to be the home of great thinkers, ma great thinkers hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo nakuomba, hata kama wewe sio great mind, ni simple mind, hivyo unapenda ku discuss people, for the sake of this thread, nakuomba usitaje jina lolote!, jifanye ni great mind!, hili ni bandiko la info tip ya the biggest opportune moment ya kuvishana Pete za uchumba ni siku ya Valentine day.

Lengo la kupandisha hili bandiko ni kukupatia wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know kuwa leo kuna uwezekano wa the biggest Star wa Bongo anavisha pete na kuna the biggest Star wa Bongo anavishwa pete!.

Information is Power
Happy Valentines!.
Paskali

Wanabodi,

Update
This didn't happen.
P
 
Verse

Na watu wana magari mpaka ya million 200 kwa mbongo wa kawaida baiskeli kitendawili wale wenzangu na mimi mlio na imani alioko juu mngoje chini mtangoja milele na mtakufa bila kelele kama walivyokufa wafuasi wa kibwetele ndani bongo

JAY

NOTE
Hakuna valentine day yeyote ilionikuta nipo kwenye mahusiano
 
Wanabodi,
Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.

Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba, The Biggest Star wa Kike wa Bongo?.

Kwa vile JF was meant to be the home of great thinkers, ma great thinkers hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo nakuomba, hata kama wewe sio great mind, ni simple mind, hivyo unapenda ku discuss people, for the sake of this thread, nakuomba usitaje jina lolote!, jifanye ni great mind!.

Lengo la kupandisha hili bandiko ni kukupatia wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know kuwa leo kuna uwezekano wa the biggest Star wa Bongo anavisha pete na kuna the biggest Star wa Bongo anavishwa pete!.

Information is Power
Happy Valentines!.
Paskali
Itakuwa Music Industry spinning hio bro, short laughter! people eat what they make, haina kujutia I love the idea and the sustainable thinking aligned to this, am of the opin to this, even Indians and Arabs ensure their wealth don't cross borders. I love this model of Life no regrets with lions. I know who my daughter will marry!!!
 
Wanabodi,

Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.

Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba, The Biggest Star wa Kike wa Bongo?.

Kwa vile JF was meant to be the home of great thinkers, ma great thinkers hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo nakuomba, hata kama wewe sio great mind, ni simple mind, hivyo unapenda ku discuss people, for the sake of this thread, nakuomba usitaje jina lolote!, jifanye ni great mind!, hili ni bandiko la info tip ya the biggest opportune moment ya kuvishana Pete za uchumba ni siku ya Valentine day.

Lengo la kupandisha hili bandiko ni kukupatia wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know kuwa leo kuna uwezekano wa the biggest Star wa Bongo anavisha pete na kuna the biggest Star wa Bongo anavishwa pete!.

Information is Power
Happy Valentines!.
Paskali
Duuuuh Uncle umehamia huku ???
 
Leo ni siku ya valentine, kuna show ya Zuchu hapooo mlimani city.

Kwa kukumegea tu hii show ndio inaenda kuwa show kubwa zaidi ya msanii kuwahi kutokea kwenye muziki wa bongo.

Hii ndio show itaenda ifunika Diamonds Are Forever.

Kwenye entertainment industry ukizungumzia show unatazama vitu vingi kama appearances, stage, mpangilio wa events kuanzia kwenye red carpets, wingi wa watazamaji na uimbaji wa wasanii japo sio ishu kubwa sana.

Na kubwa zaidi na zaidi ni kutengeneza habari. Hii ni show ambayo inaweza kujaza wanahabari kuliko tukio lolote lililowahi kutokea. Show itakuwa na content za kuilisha showbiz kwa miaka mpaka mitano inayokuja.

Ni show ambayo itaanza kunoga baada ya show kuisha, sijui mnanielewa!?🤔

Zuchu atakuwa superdupa staa baada ya show ya leo.

Tumuombee duwa afanikishe balaa lake la leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom