The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

Spana anazowapa huko uwanjani umehamishia hasira huku?

Tulia wewe kolo awanyooshe mlitamani ateseke lakini wapi.
ana spana gani huyo msukule mbona aliandika huu upuuzi alivyoona utamcost akafuta
kingine jana kwenye show ya zuchu mbona alitoa pongezi kwa mwajiri wake wa zaman?

F08F8D62-C05B-4893-9766-456633010CEE.jpeg
 
Wanabodi,

Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.

Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali,
Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba, The Biggest Star wa Kike wa Bongo?.

Kwa vile JF was meant to be the home of great thinkers, ma great thinkers hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo nakuomba, hata kama wewe sio great mind, ni simple mind, hivyo unapenda ku discuss people, for the sake of this thread, nakuomba usitaje jina lolote!, jifanye ni great mind!, hili ni bandiko la info tip ya the biggest opportune moment ya kuvishana Pete za uchumba ni siku ya Valentine day.

Lengo la kupandisha hili bandiko ni kukupatia wewe mwana jf, ile the jf advantage to be the first to know kuwa leo kuna uwezekano wa the biggest Star wa Bongo anavisha pete na kuna the biggest Star wa Bongo anavishwa pete!.

Information is Power
Happy Valentines!.
Paskali

Wanabodi,

Update
This didn't happen.
P
Vipi huyo biggest star amevalishana pete? This was low way too much.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom