Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

We mjinga au? Chadema sio ya wote kwa taarifa yako.Chadema sio ya mafisadi na wanyonyaji wengine.,
Hao wana chama chao kinachoitwa cccm
wewe nan mbona kama mnaonekana kama chadema ya peke yako. Cdm ya wote
 
Wewe ni pimbi, wewe ni kenge, wewe ni mbulumundu ndio maana umekuja hapa kumsifia mumeo Zitto...

Kwa mawazo yako ya kijinga unaamini kama Zitto asingezaliwa, Tanzania isingekuwa na mbunge hata mmoja kijana WA upinzani. Kwa taarifa yako Zitto alihujumu vijana kibao kupata ubunge kwa KUUZA kura zao kwa maCCM. Zitto Kabwe alikuwa anakemea rushwa mchana then usiku anaenda kupokea hiyo hiyo rushwa toka kwa MaCCM...

Huyu Zitto stahili yake ni kumfunga jiwe kubwa shingoni na kumzamisha Ziwani, tena Ziwa Tanganyika ili akawe chakula ya migebuka. Hana maana katika siasa za nchi hii zaidi ya kutumia siasa kama njia ya kupatia rushwa na mademu akina Wema na Diva et al
 
Ikiwa zimebaki siku chance binge liahirishwe na uchaguzi was chadema umalizike, Mbuge machachali wa zamani ndugu Zitto kabwe ameanzisha gumzo ndani ya vyombo vya habari bila watu kujua dhamira ya kufanya hivyo. Wengine wamejua kama amejutia adhabu hivyo anaomba asamehewe. Hatahivyo, kwakuwa vibaraka na washirika wake wameshatimuliwa na wengine kujiondoa wenyewe, zito hana mazingira mazuri tens ya kisiasa ndani ya chadema. Haaminiki tena na yeye anajua hill.. Huwenda kwasasa yuko anatengeneza kick ya kuondokea tu. Kwa BAHATI nzuri chadema wanajua hila zote za kijana huyu machachali wa zamani. Kwa sasa wameshaweka nyenzo tayari kwa mapambano ya hizi.
 
Zito anatafuta namna ya kurudi ili akiangamize kabisa chedema mbona hajasema km CHADEMA ni chama cha udini au la ... manake inaaminika alifukuzwa kwa kuwa yeye ni Muislam, Hilo mbona halisemi likoje??
 
Hivi Zitto anaposema amesimamia jambo fulani bungeni anakizungumzia chama au yeye binafsi? Tuseme wote Mbowe Dr Slaa na yeye yoote wanayo yasimamia wayaite yao chama kitabakia na nini?

Je unakijengaje chama kwa kusifia ulioyasimamia kuwa ni yako???

Haya jinsi ambavyo ameulizwa maswali utaona ni "leading" questions" ... kitaalam anatafuta "sympathy" anajitengenezea sura ya kuonewa ilhali yeye ni mhusika wa yoote yaliyomzunguka ....!

ACT ni chama kilicho sajiliwa haraka sana kwa kasi ya ajabu .... hapa anasema ni watu wenye idiolojia yake ... hii inahuisha mahusiano yake na ACT hapo hapo anadai atakua mtu wa mwisho kuhama chama... tuseme ameshinda hiyo kesi mahakamani ... maamuzi yake itakua kubaki CHADEMA? Mbona hili hawa kumuuliza hao waandishi???
 
Zitto amekuwa ziro wakati. Makamanda tunapambana arumeru alienda mwandiga akatafuta viwazee njaa akawambia ubunge sasa bac nataka uraisi leo anakula matapishi yake mwenyewe juzi nilishangaa aliposema anataka ubunge
 
Mazungumzo haya yalifanywa wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Mr Zoka alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza alimuuliza “Mr Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?” Zitto akajibu “nipo fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu yangu, kama ipo hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba kukutana na mwenyeti wenu (rais JK)” Zoka lijibu “hilo halina tabu nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto”,

sasa wewe kama haukuwepo ndani ya kikao uliyasikiaje haya? kwa akili hizo ulizo nazo umejionyesha how low you are
 
Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
so tangia alipotangaza nia ya kugombea uenyekiti -Demokrasia
 
Ulivokuwa huna akili timamu unaamini kuwa chadema ni lazima uwekiongozi. Ndicho zitto anachowadanganya wajinga km ww. Mbona tupo hapa wala hayufikirii kuwa viongozi na wengine km mm wala sio wanachama wa chama chochote but tunapenda mabadiliko ya kweli via cdm? Hizi akili mgando au akili njaa zitatuumiza sn.
Yaani anataka yeriko awe kiongozi ndo aongee ukweli? Period!!

kila mtu ana haki ya kugombea nafasi anayoitaka ndo demokrasia au wewe msamiati wa Human right and democracy umekupitia wapi?so far huna hoja mpuuzi wewe umejawa na matusi tu
 
1. Kule mahakamani kesi kuhusu uanachama wake Ipo ukingoni na wapambe wake wakim force kuhamia ACT wakati tathmini yake ni ata-loose

2. uchaguzi unaoendelea na yule m/kiti Tabora waliyemtuma Kuna jambo limepikwa halipikiki baada ya Mpango ule Ludovick aliouweka hapa JF kwenye uzi wake kuhusu Mtoi kuwekwa kando

3. he is no where kwenye Katiba mpya alidhani ktk battle ya Ukawa na ccm angeonekana

Dah siasa bwana,,ok sawa ndio siasa,,aangalie wapi kaanguka,,kwa hali hii tutamsahau.
 
kila mtu ana haki ya kugombea nafasi anayoitaka ndo demokrasia au wewe msamiati wa Human right and democracy umekupitia wapi?so far huna hoja mpuuzi wewe umejawa na matusi tu

Zitto kishafukuzwa tayar CHADEMA.
Hili pia bado hauamini ?
 
Mbona unarudia hadithi za kale, Huyu ZITTO si ameshaelezea sababu za yeye kutofautiana na viongozi wenzie kuwa ni kukuza demokrasia ndani ya CHAMA?au DEMOKRASIA kwenye CHADEMA inamaanisha nini?

Haya maswali ya kitoto, kwani ni siri kuwa ugomvi wa hawa mafahari wawili ni kwa sababu ya ZITTO kutaka kuwa mwenyekiti?sasa akagombane na Slaa katibu mkuu wakati yeye aspiration yake kuwa mwenyekiti wa CDM?
Dr.Slaa hakuwahi kuwa na ambitions za kuwa Mwenyekiti wa CDM especially publicly.

Hakuna mtu aendaye mahakamani bila kuwa na Kinyongo, concept nzima ya mahakama ni kugawa haki, kuondoa vinyongoi kwa lugha nyengine.alichokielezea ZITTO ni kuwa ameenda UMRA ili kuondoa kinyongo cha kupelekana na jamaa zake mahakamani.

Hujui kuwa CDM walituma waraka kuonesha kuwa ZITTO anahongwa na CCM?hujui kuwa ghadhabu za kutuhumiwa ndio zilisababisha yeye kutoa tuhuma zile?mbona maswali yako mengi ni public knowledge?hayana tofauti na kuwauliza wazanzibari kwa nini wanapenda kuvaa kanzu.

Wewe umeishia darasa la ngapi?la nne?TISS wawe na Uhasimu na CDM TISS ni chama cha siasa?Umesahau Slaa alisema NUSU ya TISS wanaripoti kwake?kuna ubaya gani 10% ya TISS wakiripoti kwa ZITTO if we are to assume Katibu Mkuu wa CDM kama Taasisi?ZITTO katika capacity yake kama Naibu Katibu Mkuu anafanya kazi kwa ukaribu na Katibu Mkuu,hivyo hayo mawasiliano kwa Slaa ni shujaa, ila kwa Zitto Msaliti.

Huwezi kutunga Bank statement????????
Ndugu,hiyo mihuri ya magogoni tu inapatikana posta itakuwa Bank statement?

naona hapo kwenye red umeamua kututajia kiwango chako cha elimu sasa.

Kijana acha kuwa mshabiki, acha kushabikia watu, nyie ndio sehemu ya tatizo, tafuta itikadi unayoiamini, unayoielewa, unayoshabihiana nayo, ifuate hiyo.Kinyume na hapo utageuka bendera. Siasa sio kandanda.

Habari mkuu ! kwanza naheshimu mawazo yako. Lakini naomba nijibu kwa kifupi sana uchambuzi wako mzuri uliojaa dharau sana. nashukuru sana kwa kuhoji elimu yangu na kuwa na wasiwasi huenda nimeishia darasa la nne, na pia kuyaona maswali yangu kuwa ni ya KITOTO. Kwa kuhoji hivyo tu, mie nadhani wewe lazima utakuwa Profesa. MH prof, huoni kuwa maswali yangu kwa MH Zitto licha ya kuwa ni ya kittoto na ya mtu alieshia la NNE lakini yamekuvuta wewe prof kuja kuyajibu, kuyachambua na kuyafafanua? kwa niaba ya MH Zitto? Hata hivyo prof umesema mimi nimerudiarudia mambo ambayo Zitto alishayatolea au yalishatolewa ufafaunizi.mkuu kiukweli aliyesababisha nirudie ni MH Zitto mwenyewe kurudiarudia kuongelea mambo amabayo mjadala wake ulifungwa kwanza na yeye mwenyewe na pili na Dk Slaa.zitto katika kufunga mjadala alitamka kuwa "anafunga mdomo wake" Slaa yeye alitamka kuwa "mjadala wa Zitto umefungwa" Sasa leo Zitto kaibua mjadala upya na hakuna jipya alilozungumza, je kuna ubaya gani kujadili na kumuuliza maswali ambayo sisi washabiki wake tunaona kama anatutatanisha? MH prof hivi sis iwenye maswali ya kitoto na tulioishia la nne tumepoteza haki ya kuhoji au kuuliza maswali kwa viongozi wetu? hususani yale yanayotutatiza? MH prof Huoni kuwa MH Zitto ni mwanasiasa wa level ya juu sana ambae sisi tulioshia la nne na pengine ni wakulima wa tumbaku huko Igalula au Ifupila tunahaki ya kuhoji? MH Prof wasomi wengi sana wa level yako huwa hawadharau elimu ya Mtanzania kwa sababu hakuna msoni asiejua kuwa kwa nini Watanzania wengi wameishia la nne.Fanya utafiti prof. Mwalim Nyerere hakudharau watu ambao hawakusoma ndio maana kila alipokua akiongea na wakulima wa pamba,katani,kahawa nk huko vijijini aliongea na kwa lugha ambayo alijua watamwelewa, na alipoongea na wasomi na wanafunzi wa vyuo vikuu alitumia lugha ya kisomi na alipoongea na wakuu wenzie mfano umoja wa mataifa aliongea kwa lugha inyowastahili. Prof turudi tena kwenye mada.mambo niliyomuuliza MH ni kwa mfano mawasiliano yake na akina Zoka na akina Rostam yalikua ni kwa manufaa kwa chama chake?wewe umehoji kuwa TISS kuripoti kwa Slaa ni ushujaa? Mini nakuhoji tena wewe hao wanaoripoti kwa Slaa ni kwa manufaa ya CHADEMA au kwa Slaa binafsi? Hayo mawasilano ya Zitto na Tiss na Slaa na TISS waliwashirikisha wenzao chamani? Prof nisamehe sana hunda nilikosea kusema CELLPHONE nilikua nataka kumaanisha MObilephone bahati mbaya mimi sijasome mambo ya ICT.Hatahivyo natambua kabisa kuwa wapo watu wanaweza kutengeneza Bank statement na statement ya kuonesha mawasiliano ya massage.hapa hoja yangu ilikua hivi. kama mtu amezushiwa tuhuma kubwa kama hizi za kuingiziwa pesa kwenye account au kuwa mawasiliano yake ya meseji na au M pesa, tigopesa si kuna namna ya ku verify? Prof ukienda kuomba visa ubalozini na bank statement fake si ubalozi unaweza kwenda benki husika kujiridhisha. Je? Zitto amelifanya hili ili kukomesha wapambe waliofitinisha?Unajua kiasi anachotuhumiwa MH ni kikubwa kuliko vijisenti vya Chenge.Labda mimi sijui kama hatua hizo zilichukuliwa na MH.Prof naomba niishie hapa ila kwa kujibu ushauri wako wa kushabikia vyama, mimi naipenda Chadema kwa sababu ya huyuhuyu ZITTO nitaendelea nayo hadi itakapoondoka kwenye misingi yake. Nawaunga mkono CUF,NCCR kwa harakati zao za kuing'oa CCM bara na visiwani. Tanzania bila CCM inawezekana.
 
Chadema ni vigumu sana kuwaamini waislamu, waliopo watatumika kama toilet paper..akiwa bright upstairs watatafuta namna ya kummaliza ..
 
Back
Top Bottom