Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
Katika ya mwanadamu ushindi mkubwa sana ambao mwanadamu anaweza kujivunia na ambo ni very expensive ni kusamehe bila masharti. Hapa na maanisha kwamba si Zito si Chadema wote wanapaswa kusamehe bila masharti. Wakifanya hivyo wataeshimika na chama kitakuwa imara sana. Lakini kama kila upande ukawa too proud basi mwishoe ni majuto tu. Chama kimsamehe Zito na Zito pia awasamehe wote bila lakini lakini. Kama tunahitaji ukombozi tunahitaji kuvumiliana na kusaidiana pale mmoja anatereza.
Na siku CDM ikimsamehe huyu laana ZZK itakuwa mwisho wangu kuwa CDM..