ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Yetu masikio na macho.
Pasco,kiuandishi hapo umeshamtaja. Afadhali aende zake.Wenzake hawamtaki na yeye anang'ang'ania tu akipoteza muda wake
Pasco unazunguuka. Umejaza ukurasa nzima wwakati tetesi uliyoweka ingetosha mstari mmoja tu. Hakuna haja ya kufichaficha majina au kutumia methali, ndiyo sote tunajua kuwa ACT imeanzishwa na Zitto Kabwe na yeye ataenda huko kuwa mwenyekiti wa chama hiki. Ni jambo jema kwa demokrasia ya nchi. ACT ya Zitto itakuwa tishio kubwa kwa Chadema.
Kwa hiyo unathibitisha zile tuhuma kuwa huyu jamaa ni Mbembe toka Congo?Kabila lake ndilo limemponza. Hakuwa wa "Nyumbani" huyu.
We vp! Mpango wa mungu ni upi na Mungu yupi wa mpango huo? Je wasio muamini Mungu huyo hawahusiki na Chama hicho?Kupambana nampago wa Mungu ningumu sana
Kwa hiyo unathibitisha zile tuhuma kuwa huyu jamaa ni Mbembe toka Congo?