Hahaaaahaaaa duuuh hii bajeti kali
mkuu.kaoge na maji ya magadi uondoe gundu za kutoswa chadema
Hahaaaahaaaa duuuh hii bajeti kali
Kuna uwezekano mkubwa sana kauli za huyu mtoto zikawa na zinakibomoa chama.. maana amegeuka kama msemaji wa chama tena kuna wakati unaweza kumshangaa anapopost hata maswala ya dini....cha ajabu hakemewi chama lazima kiwe na namna ya kuwadhibiti kinidhamu hawa watoto ili chama kionekane kiko serious otherwise utoto unakuwa mwingi......
Njoo ujiunge chadema,naona inakuuma sana,Lumumba hawana muda nawe book7 ni shida utaishia kuwa kalai,
Kuna uwezekano mkubwa sana kauli za huyu mtoto zikawa na zinakibomoa chama.. maana amegeuka kama msemaji wa chama tena kuna wakati unaweza kumshangaa anapopost hata maswala ya dini....cha ajabu hakemewi chama lazima kiwe na namna ya kuwadhibiti kinidhamu hawa watoto ili chama kionekane kiko serious otherwise utoto unakuwa mwingi......
Hapo sasa unaona ulivyojibu, kama bajeti ya serikali imetoka, inakuwaje hata baadhi wajumbe wa CCM wanaipinga? wengine wanauliza ni lini maendeleo yatafika kwao, lini barabara itajengwa yaani siku kabla ya bajeti ila mtu Kipofu hajui ule mfuko ni kama box la Chocolate. hii ina maana hata CCM wenyewe hawakuandaa bajeti yao kutokana na itikadi ama sera zao isipokuwa sera hutungwa pale pale bungeni na wao husubiri Ilani ya Mheshimiwa itawahifadhi lipi.Shangazi unajua unapotoa hoja lazima uwe na ushahidi kama ingekuwa bungeni kila mtu anaingia kwa mpango wake sidhani kama government policies zingekuwa zinapita kirahisi, maana wakati wa majadiliano ya bunge la budget kunakuwa na malalamiko mengi sana hata kutoka kwa wabunge wa serikari kuhusu budget iliyopita na jinsi ambavyo aijawafikia walengwa huko majimboni mwao, lakini watu hao hao ndio wanaoipitisha government budget kwa sababu ya maslahi ya kundi ndio maana ya kuwa mwanasiasa unaetumikia chama in most cases ni maslahi ya wengi(kundi zima) sio yako binafsi.
Kumbe upo upande huo ndio maana basi. Kama umemchoka mtu hata akisema nini huwezi kufurahia nilidhani upo open minded kumbe tayari ulishamhukumu, Aaah basi nimekuelewa maana yanayotoka upande wa pili hunaosema kwamba Zitto hivi na vile, Slaa hivi Slaa vile, Mbowe ndiye jembe hakuna zaidi yake na sio Chadema toka nazifuatilia siasa za Bongo.Despite all that niliutetea sana ule mkakati uliomwondoa Prof.Kitila na kumplekea Zitto kuwa mmbunge wa mahakama kwa sababu niliamini principally they did not break the rules ingawa practically they broke the cultural code of their institution na dhahiri CDM ina utamaduni wake wa kufanya mambo kama unavyoona ingawa Zitto leo hayupo kwenye kinyan'ganyiro lakini sakata la kutaka Mbowe aendelee kubaki mwenyekiti alijaisha na kwa jinsi mambo yanavyoenda you know the fate is with Mbowe himself.
Kula tano fasta.
Hawa ndio wale wapambe wanaogombanisha watu Ili matumbo yao yajae ilhali wao hawana uwezo hata chembe.
Haka kajamaa ka (yeriko)kumbe kapumbavu.......watu wanawaza kujenga kenyewe kanawaza kubomoa
Tunamsubiri Mbowe wiki ijayo atakapopigwa chini na Mbaruku.
Jiandaeni kumpokea rasmi huko kwenye kijiwe chenu cha ACT
Pamoja na spining zako zote kwenye magazeti ya wahariri wasaka tonge lakini nikujuze tu kuwa kuanzia kesho 10-30/09/2014 ni siku ambazo historia ya Zitto Zuber Kabwe itafutwa rasmi ndani ya Chadema,
Ni siku ambazo lile joka lamdimu tulilokuwa tumelizimisha sasa tutaliua kabisa,
Ushauri wangu kwako muasisi na mkurugenzi wa kampuni ya upatu ya ACT ni kuwa jitahidi kutembea na kadi yetu kwani mda wowote tutaka uturudishie, ukigoma kutuletea tutaifuta hata ikiwa umeichimbia sanukuni kule Mwandiga.
Ni hayo tu mkuu, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki wa kweli.
Ishukuriwe mahakama kwakuhifadhi wahalifu wa kisiasa,