Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Yaani chama cha upinzani kinaanzishwa ili kiwe tishio kwa chama kingine cha upinzani??? Only in tz aseee...kama hilo litafanyika then claims za kuwa ni mtu wa chama tawala zitakuwa kweli.
Sidhani kama anaweza Fanya utoto huo..

CHADEMA sasa ndiyo chama kikuu cha upinzani, kisipojipanga vizuri kinaweza kupoteza wanachama na baadhi ya viongozi wakahamia ACT ya Zitto Kabwe na kwenye uchaguzi wa 2015 ACT kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani nchini na CHADEMA ikadhoofika. Hilo ndiyo tishiio liliopo. Zitto Kabwe is a one-man army. Vyama vya upinzani TZ bado vichanga vinaendeshwa na personality popularity tofauti na CCM ambayo ni taasisi hata ikiweka jiwe 2015 ndiye anakuwa Rais wa nchi. Inauma lakini ndio ukweli wa siasa za nchi yetu kwa sasa, ndiyo maana mafisadi kama EL wako tayari kutumia mabilioni kuusaka urais through CCM wanajua wakija upinzani hawawezi kushinda.
 
Mods washafanya yao duh, kweli hutakiwi kumgusa huyu "jamaa" mpya wa Pasco bila ruhusa ya Viongozi wa jukwaa hili

BACK TANGANYIKA
 
Si unajua chama 'chetu' tena, usipokuwa mkaskazi unapata upinzani mkali ndani na nje ya chama?

Ni kweli chama chenu ni hatari kwa mustakabali na Amani ya nchi, Maana wale wa kanda ya PWANI walisema awamu ijayo (2015) Rais hawezi kutoka (KASKAZINI) na kwamba Rais tayari anamtambua eti hii ni zamu yao KULA na wengine watulie tuli kama wananyolewa!!!

Hiki chama. henu ni hatari sana kinafanya ubaguzi wa wazi wazi na hakuna wa kukichukulia hatua. Maana Mahakama, Police,Askari,Migambo Magereza vyote ni vyao...!!

Tutalia na kusaga meno

Mwaka kesho Tengeru ndio itatoa mgombea.
 
Difficult to give up kirahisi hivo mpaka kupoteza ubunge wake otherwise labda nia yake akibwaga mayanga aje kusimama mwakani kwa either ubunge au mgombea urais kwa chama lingine,alianzisha kesi ya nini kama rahisi kihivo au ashaona dalili kupoteza.
BTW atakuwa kawapiga mpunga mkubwa wale wa upande wa pili
His move is too superior for your brain to understand.
Na kwa vile una akili za ki-BAVICHA,hata Pasco hujamuelewa. We need him and the likes more than we need CCM OR CHADEMA.ni mpumbavu tu anayedhani anaweza kuichafia almasi
 
CHADEMA sasa ndiyo chama kikuu cha upinzani, kisipojipanga vizuri kinaweza kupoteza wanachama na baadhi ya viongozi wakahamia ACT ya Zitto Kabwe na kwenye uchaguzi wa 2015 ACT kikaibuka kama chama kikuu cha upinzani nchini na CHADEMA ikadhoofika. Hilo ndiyo tishiio liliopo. Zitto Kabwe is a one-man army. Vyama vya upinzani TZ bado vichanga vinaendeshwa na personality popularity tofauti na CCM ambayo ni taasisi hata ikiweka jiwe 2015 ndiye anakuwa Rais wa nchi. Inauma lakini ndio ukweli wa siasa za nchi yetu kwa sasa, ndiyo maana mafisadi kama EL wako tayari kutumia mabilioni kuusaka urais through CCM wanajua wakija upinzani hawawezi kushinda.
Pokea Like yangu ndugu...
Ulichokiongea ni ukweli 100%. nashindwa kabisa kuwaelewa chadema wanapojidanganya kuwa eti wao ni taasisi na haimtegemei mtu!!!! hv wamesahau mafanikio yao 2010 hayakutokana na ubora wa chama kama taasisi bali mafanikio yale yalitokana na WILBROD SLAA'S PERSONAL POPULARITY!!!!
Leo hii wanadiriki kusema ZZK hawezi kuwaathiri!!!!! binafsi nimejikuta ghafla nakichukia chadema kwa chuki ya hali ya juu kutokana na jinsi tuu walivyomfanyia huyu shujaa wa kizazi hiki. Ni ngumu kuwasamehe chadema kwa sababu nguvu,muda,akili na weledi wake wote wa ujanani ZZK ametumia kukijenga chadema na kuitumikia nchi yake. Ni kijana pekee wa kitanzania ambaye amefanikiwa kuweka alama ya weledi,uzalendo,uongozi na mfano bora ktk siasa za tanzania
 
unajuwa viongozi mda mwengine wakiwa katikati ya madaraka huwa wanajitoa fahamu na kufanya anachojiskia kufanya ata Hamad Rashid ameumia sana kufukuzwa CUF ndio mana leo anaporoja ovyo bungeni akili yake imempa aizamishe Zanzibar kama ni malipo kwa chama cha CUF.

Lakini Zitto kidogo amekuwa tofauti sasaivi nikisoma statement yake hapo ni wazi anahitaji mapenzi ya Chadema na safari hii atakuwa mwangalifu na heshima kubwa kuitumikia CDM. Namshauri sana Mbowe wayamalize. Zitto hakushiriki BMK, naamini na yeye hakupendezwa na ccm walichokua wanakifanya pale bungeni.
 
Kupambana nampago wa Mungu ningumu sana

mpango wa Mungu au wa WAKANDA,MDEE MPAERE na fomu alichukuliea na wanawake wa KILIMANJARO na MNYIKA MPARE"kwanini nafasi ya ZITO musimpe hata LISU kuleta sura ya UTAIFA?hamuwezi kuchukuwadola kwa kutegemea kanda moja.
 
Yeye na nafsi yake ndo wanaujua ukweli wengine tunaahangaika tu .

Pokea likes laki moja ndugu...mm hapa sina upande hasa kwa kitu kiitwacho siasa....only zzk n God know the truth wengine zote ni mihemuko tuu na mapenzi binafsi.
 
mpango wa Mungu au wa WAKANDA,MDEE MPAERE na fomu alichukuliea na wanawake wa KILIMANJARO na MNYIKA MPARE"kwanini nafasi ya ZITO musimpe hata LISU kuleta sura ya UTAIFA?hamuwezi kuchukuwadola kwa kutegemea kanda moja.

Unakuwaje huna akili? Kwani mpare sio mtanzania?
 
His move is too superior for your brain to understand.
Na kwa vile una akili za ki-BAVICHA,hata Pasco hujamuelewa. We need him and the likes more than we need CCM OR CHADEMA.ni mpumbavu tu anayedhani anaweza kuichafia almasi
Yani Zitto ni almas? Unaleta mzaha wewe. Hata kwetu CCM hatumtaki
 
Zito ni msanii tu. Huyu kijana ni mtu mmoja hatari sana kupewa madaraka nchini. Time will tell.
 
Back
Top Bottom