Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Yericko angekua msichana basi Dida wa mipasho ndo umefanana nae kwa tabia
Unaniachaga tu unapojiweka level moja na zzk wakati hata hakujui,na hata CDM yenyewe pamoja na kujipendekeza sana kwa mbowe wamekupiga chini miguu chali.....!!kiufupi huna cheo CDM zaidi ya mpiga vuvuzela waa matukio kama Mbwiga wa clouds

Mwenzio baada ya post hii, keshaingiza siku na watoto wake wameshapata nguvu ya kuwapeleka chooni.
 
Hivi Yule jamaa wa magazeti ya Udaku bado hajaona kipaji chako?

Hivi mods hawaoni topic zako wakusaidie kuziweka kule jukwaa la majungu na udaku?

Pamoja na spining
zako zote kwenye magazeti ya wahariri wasaka tonge lakini nikujuze tu
kuwa kuanzia kesho 10-30/09/2014 ni siku ambazo historia ya Zitto Zuber
Kabwe itafutwa rasmi ndani ya Chadema,

Ni siku ambazo lile joka lamdimu tulilokuwa tumelizimisha sasa tutaliua
kabisa,

Ushauri wangu kwako muasisi na mkurugenzi wa kampuni ya upatu ya ACT ni
kuwa jitahidi kutembea na kadi yetu kwani mda wowote tutaka uturudishie,
ukigoma kutuletea tutaifuta hata ikiwa umeichimbia sanukuni kule
Mwandiga.

Ni hayo tu mkuu, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki wa kweli.

Ishukuriwe mahakama kwakuhifadhi wahalifu wa kisiasa,
 
Kama una uhakika na mipango yenu kelele za nini sasa ndio maana unafananishwa wa wamama wa mipasho!!!! Siasa za kuandamana kwa majina how come enzi hizi.

Hivi we kama kijana na kwenu kuna uchaguzi una nini cha kusaidia viongozi wachanga ili kesho tupate watu shupavu kwa Taifa??! Hii ndio type ya siasa za vijana wanaoona mbali, badilika uwe mentor wa vijana wenzio!!!

Una kelele sana haswa linapokuja suala la huyo hasimu wako, mara polisi, mara umetishwa kuuliwa sijui yaani ni kama unatumia jina lake kubaki unasikika vile!!!! Au sijui unatumiwa kuchafuana tu bila mpango!!??

Kuwa kijana wa kisasa mkuu fanya siasa za faida ya Taifa hii kufuatana kama mikia haina faida kwa Taifa, kama mna uhakika ni mtu wa hovyo chamani wekeni mikakati mtoeni shughuli iishe!!!! Ajenda za kujenga zitamalaki sio leo hivi kesho vile kuhusu mtu mmoja tu!!! Ametutoka baba wa Taifa na maisha yanaenda mbona kama vipi mna uhakika na mmejiridhisha mtoeni naye huko chamani huu wimbo uishe!!!

Unachosha kiaina
huyu jamaa yeriko sijui katoa wapi hili jina la baba wa taifa? Mbona mwl hakuwa ivi?
 
Pamoja na spining zako zote kwenye magazeti ya wahariri wasaka tonge lakini nikujuze tu kuwa kuanzia kesho 10-30/09/2014 ni siku ambazo historia ya Zitto Zuber Kabwe itafutwa rasmi ndani ya Chadema,

Ni siku ambazo lile joka lamdimu tulilokuwa tumelizimisha sasa tutaliua kabisa,

Ushauri wangu kwako muasisi na mkurugenzi wa kampuni ya upatu ya ACT ni kuwa jitahidi kutembea na kadi yetu kwani mda wowote tutaka uturudishie, ukigoma kutuletea tutaifuta hata ikiwa umeichimbia sanukuni kule Mwandiga.

Ni hayo tu mkuu, akufaaye kwa dhiki ndie rafiki wa kweli.

Ishukuriwe mahakama kwakuhifadhi wahalifu wa kisiasa,
Hati uturudishie kadi yetu...

Kwi kwi kwi kwi kwi! Teh teh teh teh teh!
 
Back
Top Bottom