Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Mnatengeneza vinyago vichwani mwenu halafu vinawakimbiza wakati wengine hatuvioni.
Akili yako inakutuma ndivyo sivyo lakini huna uwezo wa kujielewa zaidi yakulishwa upuuzi na mabashite
 
Aliyetumia huo msemo siyo mimi bali ni Mchaga mwenzio, fwatilia vizuri utaelewa kama ukipenda, nilikuwa namjibu kwa nini ametumia ,,kufwekerewa mbali kwa Tundu Lisu na Saanane?”.
Pole Sana msukuma nimefatilia na kuona mchaga yule aliandika fyekelea wewe umeandika fyekerea.
Mimi mnyiramba halisi sijui natakiwa kuandikaje.
Endeleeni na mauaji yenu enyi wasukuma lugha sio kikwazo hata hivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wewe wa kuacha ujinga na ni lazima uandikapo utumie busara na hekima badala ya kuandika tu ili mradi umetumia keyboard na jina bandia.

Lakini si kwa shutuma za moja kwa moja kwa kiongozi wa nchi.

Bado zipo njia khasa dialogue kuzungumza na serikali ili kutafuta khasa ukweli juu ya hayo unayodai yametokea kwa hao wahusika.,

Siasa hizi za dialogue bado sisi waafrika hatujajifunza hivyo inakuwa taabu kujiweka kwenye hali hiyo ya kuwasilisha hioja katika hali ya kistaarabu.

Huwezi kusimama jukwaani na kutumia lugha ya kashfa na kejeli kwa kiongozi wa nchi achilia mbali kutumia JF kufanya hivyohivyo.
Kwa hiyo mkuu wa nchi ana haki ya kushutumu na kukejeli hata kuwadhuru wengine ila yeye asiguswe? NAWASHANGAA SANA. Ila ndivyo hivyo kuyumba kusiko na suluhu na chuki isiyo na tiba.
 
Pole Sana msukuma nimefatilia na kuona mchaga yule aliandika fyekelea wewe umeandika fyekerea.
Mimi mnyiramba halisi sijui natakiwa kuandikaje.
Endeleeni na mauaji yenu enyi wasukuma lugha sio kikwazo hata hivyo..

Sent using Jamii Forums mobile app


Mimi siyo Msukuma kwetu Rufiji, karibu sana, huyo Mchaga mwenzio aliandika hivyo.
 
Ujinga wa kupoteza watu au kushambuliwa kwa risasi hao watu hakuna anaefahamu si mimi wala wewe wala pengine hata serikali yenyewe.

Hakuna anaefahamu khasa ni kama vile kitendawili kwani ni hao wahusika ambao ama wametishiwa Maisha kwa simu au ujumbe wa simu lakini si uso kwa uso.

Ni vigumu sana serikali kulishughulikia hilo maana haijulikani nani ana silaha na nani anafadhili hayo mauaji au hata mashambulizi.

Hii nchi kwa sasa ipo kwenye mtihani mkubwa na waweza kuona hata kiongozi wa nchi ameongezwa ulinzi ikiwa ni ushauri tu kutoka kwa watu wanaoelewa masuala ya sintofahamu kama hizi.

Ushauri tu ni kwa Zitto kuendelea kujiangalia nyuma ya bega na hata huyo Tundu Lissu kama angekuwepo hata Tanzania basi angeomba hata ulinzi binafsi.

Mbona watu kama Gwajima nao wanalindwa na wapambe?
Una maana jukumu la serikali la usalama wa nchi na raia limeshindikana? Basi hakuna uhalali wa kuitwa Kuna serikali.
 
1.Stan Katabalo alikufa kifo cha kutatanisha.
2. Dr Nicas Mahinda ambae alkuwa naibu waziri wa fedha aliuawa nyumbani kwake na watu wasojulikana.
3. Imran Kombe sote twafahamu mazingira ya kifo chake.
4. Gibson Mwaikambo nae hivyohivyo.
5. Marehemu Filikunjombe nae tawafahamu kifo chake cha Helikopta iloanguka na hakuna kesi hapo.
6. Dr Sengodo Mvungi nae aliuawa nyumbani kwake kwa kukatwa mapanga.

Hawa wote ni watu walouawa katika mazingira ya kutatanisha na wengine watu wasojulikana au mbuzi wa kafara.

Hivi vifo vyote ni vya utata na baadae tukaona Dr Ulimboka akitekwa na watu wasojulikana na kuokotwa huko Mabwepande.

Sasa haya ya Ben Saanane, na wengine hatuwezi kufahamu khasa anaefadhili na kama ni walewale watu wasojulikana au mbuzi wa kafara kwa kesi ya Imran Kombe au Dr Mvungi au vipi.

Ila katika masuala kama haya huwezi kuja na hitimisho la moja kwa moja kwamba kiongozi wa nchi anahusika na mauaji ya raia wake aloapa kuwalinda.
Kama hana uwezo wa kuyatatua haya basi hafai ndiyo maana kuna uhalali wa kusema anahusika moja kwa moja hata kama ni kwa kupitia watendaji wake watukutu.
 
Acha unafiki. Kiongozi wa nchi kitu gani asikashifiwe kama anaharibu??
Trump kiongozi wa most powerful country in the world, they just called him mother*****r and no biggie ndio huyo kichaa??

Halafu hata aibu huna kuhusisha raia na issue ya Lisu??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa ulinzi eneo la makazi ya viongozi wa serikali linalolindwa 24hr??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa CCTV eneo la tukio baada ya tukio bila uwajibikaji wowote??
Raia gani aliyezuia uchunguzi huru wa tukio wakati wa ndani umeshindwa??

So just cut the crap, Jiwe ni muuaji.


Sawa ni muuaji, kwa hiyo tukusaidiaje sasa labda?[/QUOTE]
Kakojoe ulale
 
Alitoa taarifa kituo gani cha polisi?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Kah unataka upewe mpaka na jina la kituo Cha polisi?
Lissu baada ya kutoa taarifa polisi aliongea na vyombo vya habari na kumweleza IGP vijana wake wanamfatilia kwa Nia ya kumuua mpaka akiwa Kanisani.
Ni hatua ipi ilichukuliwa baada ya pale?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama angetafutwa kweli sidhani hata huo muda wa Kuandika hivyo angekuwa nao na hivi sasa angeshakuwa Historia na jina lake la Kwanza kubadilika na ama kuanzia na herufi ' M ' au ile ya ' H '. Ila kwakuwa ukishakuwa Mwanasiasa lazima uwe na mbinu kadha wa kadha ili kubakia juu, kusikika na Wapiga Kura wako na pengine hata Wafadhili wako ndani na nje wakuamini na wajue unafanya Kazi na Pesa yao haipotei wacha tumuamini ' Kinafiki ' Mlalamikaji wetu mzoefu.
Nikupe pole tu maana yanabuma tu
 
Tundu Lissu alitahadharisha hivihivi watu tukachukulia masihara.

Ben Saanane alilalama watu tukachukulia mzaha...

Ngoja tusubiri tuone


Watu wanafanya usanii au wanakuwa wamepanga mambo ya ajabu kama alivyopanga Lissu na yakamtokea puani. Huwezi kutishiwa maisha au uhai ukaita waandishi wa habari bila kuripoti polisi na kupewa RB. Na ni kioja zaidi kama anayefanya hivyo ni mtu mahiri katika sheria halafu eti atishiwe maisha halafu aite waandishi wa habari kwa gharama kubwa hotelini bila kwenda kituo cha polisi na kutoa taarifa bure bila kulipa hata senti moja. Matokeo ya kupanga mambo ya ajabu ya kujitafutia kiki ndiyo yamamfikisha hapa na gharama za kumficha dereva wake anazoingia yeye na wenzake ikiwa ni pampja na kila siku kutunga uongo kumficha dereva.
 
Nasema hivi acheni UPUMBAVU. Nendeni mkatoe maelezo polisi kama mko serious. Au mwambieni awatajie hao wanaotaka kumuua.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Angekuwa amesema kuna “watu wanataka kumuuwa rais”, polisi wangesubiri aende kutoa maelezo? Lema mwenyewe aliota ndoto wakamfuata! Acheni unafiki!
 
Watu wanafanya usanii au wanakuwa wamepanga mambo ya ajabu kama alivyopanga Lissu na yakamtokea puani. Huwezi kutishiwa maisha au uhai ukaita waandishi wa habari bila kuripoti polisi na kupewa RB. Na ni kioja zaidi kama anayefanya hivyo ni mtu mahiri katika sheria halafu eti atishiwe maisha halafu aite waandishi wa habari kwa gharama kubwa hotelini bila kwenda kituo cha polisi na kutoa taarifa bure bila kulipa hata senti moja. Matokeo ya kupanga mambo ya ajabu ya kujitafutia kiki ndiyo yamamfikisha hapa na gharama za kumficha dereva wake anazoingia yeye na wenzake ikiwa ni pampja na kila siku kutunga uongo kumficha dereva.
Hivi nikuulize dereva wa Lissu anahitajika kwa kazi gani hasa?
Maana Kama ni uchunguzi hata Lissu alikuwa na fahamu mpaka anapelekwa hospital yeye Kama ilivyo kwa dereva walishuhudia mkasa wote huo. Wote pia wakaomba wahojiwe pamoja wakiwa hospital maana hawana imani na Nia yenu ya kumtesa dereva na kumlazimisha aelezee wananchi story mtakayompa nyie baada ya kumtesa vya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom