MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,889
Hiyo hiyo uliyonayoSasa nijitafakari kila nnapotoa maoni kuhusu Zitto au ?
Halafu pia sifahamu ni orodha ipi wazungumzia.
Hiyo hiyo uliyonayoSasa nijitafakari kila nnapotoa maoni kuhusu Zitto au ?
Halafu pia sifahamu ni orodha ipi wazungumzia.
Huyu mtoto nae anatapatapa tu..ye si alisema watakuta bwawa..sasa kelele za nini??wanasiasa kweli wameishiwa kazi za kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hiyo uliyonayo
Mkuu,
Mimi nimetoa tu maoni yangu, yanaweza kuwa sawa au si sawa.
Kama hayako sawa basi chukulia tu ni maoni tu na tuendelee.
It seems like watu wanakuchukia naturally.. Una roho ya kuchukiwa na kukataliwaNyie watu hamjaelewa kabisa. Mna vichwa vigumu sana.
Ninaposema ‘I hope it’s not true’ ni kwamba, namaanisha hizo habari naombea au natamani zisiwe za kweli.
Yaani habari za huo mpango wa kumuua Zitto zisiwe za kweli.
Au wewe na nyumbu wenzio mnataka hizo habari ziwe za kweli?
Mimi sitaki ziwe za kweli. Nataka ziwe fake news tu.
Ninachotaka kusiwepo kabisa na hata fikra za kutaka kumuua.
That’s why I hope it’s not true.
What part of that don’t you understand?
Hawa wafuasi wamerogwa. Sioni hata mmoja akihoji kama ametoa taarifa polisi.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Ben Saanane aulizwe Mbowe. Lissu polisi wanaendelea na upelelezi. Sema jingineNI kauli iliyozoeleka toka kwa watetezi wa madhalimu!!!
Mlisema hivyo hivyo Ben alipoleta taarifa za kutishiwa kuuawa, na mlisema hivyo hivyo wakati Tundu Lissu aliposema anafuatiliwa na watu wasiojulikana!!
So, keep going kwa sababu mnadhani mpo safe ingawaje kila anayetaka kushughulisha ubongo anafahamu no one is safe except the man himself!
Huu ni uchawi ambao wafuas wa upinzan wamelogwa nao.Kila mfuasi ukimuuliza mbona haendi kutoa taarifa polisi, utasikia oooh polisi wanafuata maagizo kutoka juu hahahahahahah. Viongoz wenu washajua akili zenu.Polisi wanautaalam wa kukamata wapinzani tu kwa maagizo toka juu, na kutoa kipigo cha mmbwa kwa waandamanaji wa vyama vya upinzani. Hawana muda wa kusikiliza malalamiko toka wanachama wa upinzani. Mkuu kesi ya tumbiri unaenda kushtaki kwa nyani?
Bonge la ushauri.Namkumbusha zitto atoe taarifa polisi, na sehemu nyingine za usalama, na apewe udhibitisho wa taarifa yake, ili ikitokea basi wananchi waanzie hapo. Hawatakawia kumruka kwamba hajatoa taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akatoe taarifa polisi ili ifuatilie kama ni mgoni wake unataka kumjua tujue.
Najua ni mambo ya mahusiano tu maana kwenye siasa zito ni mtupu sana. Kipindi cha Escrow labda tungesema singasinga au wanasiasa.
Hata wanaopanga upuuzi wa namna hiI wanafanya kwa kisingizio cha uzalendo. Unajijua vema mwenyewe do not worry. Truth and reality will prevailMkuu, sikutarajia kama nawe waniweka kwenye kundi hilo.
Mmi ni raia mwema kabisa wa nchi hii pendwa ya Tanzania.
Kwahiyo wewe hujui Taifa kama TZ saivi linasubiri nini!?
Huu ni uchawi ambao wafuas wa upinzan wamelogwa nao.Kila mfuasi ukimuuliza mbona haendi kutoa taarifa polisi, utasikia oooh polisi wanafuata maagizo kutoka juu hahahahahahah. Viongoz wenu washajua akili zenu.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Niruhusu nikupuuze!Ben Saanane aulizwe Mbowe. Lissu polisi wanaendelea na upelelezi. Sema jingine
It seems like watu wanakuchukia naturally.. Una roho ya kuchukiwa na kukataliwa
Muone Mshana Jr akuogeshe DAWA Ku expel hiyo negative energy
Nobody believe Lissu or Ben Saanane and we know what happened. Kuna uzi humu wa kuhusu kupotea Ben Saanane na namba iliyomtumia ujumbe wa kumtisha.
Mnatengeneza vinyago vichwani mwenu halafu vinawakimbiza wakati wengine hatuvioni.Kumbuka Ben na Lissu wote waliweka tahadhari ya kutishiwa kifo hadharani na yaliyojiri wote tunayajua. Tuna kichaa na MUUAJI ndani ya Ikulu ukweli huo HAUPINGIKI!!!