endelea na ujinga wako wa ugonjwa mtambuka acha hizo ww labda kwa kuwa unanufaika na ujinga unaoendeleaNa wewe acha ujinga. Watu wamekuwa wanapoteza uhai tangu awamu ya kwanza, hapo unasemaje?
endelea na ujinga wako wa ugonjwa mtambuka acha hizo ww labda kwa kuwa unanufaika na ujinga unaoendeleaNa wewe acha ujinga. Watu wamekuwa wanapoteza uhai tangu awamu ya kwanza, hapo unasemaje?
Wewe ndiye unaendekeza ukeng na usenbng. Hivi ni kitu gani huelew ewe pimb mpinga maendeleo?bado unaendeleza upimbi ule ule hivi mfano issue ya Lisu mpaka sasa kuna nini kimeendelea wapi issue ya Ben saanane hivi hii kuwafanya wa tz wote wajinga mnafikiri haina mwisho, kuna mambo yanaweza kuwa yanafanyika ni mazuri lakini huu Upimbi muache.
Wewe ni lofa tu. Huna lolote.endelea na ujinga wako wa ugonjwa mtambuka acha hizo ww labda kwa kuwa unanufaika na ujinga unaoendelea
ukabila umekumaliza , umekuwa kama msukule wa kihindi ! awamu ya 5 hii unayoiabudu haina uwezo wowote wa kujenga hoja , njia yao pekee ni mauaji , sasa zamu yako ikishafika ndio utaelewa kwamba shetani hana rafiki
niwe lofa nisiwe lofa wewe pumbavu inakusidia nini au inakuongezea nini au unapungukiwa nini jinga wwWewe ni lofa tu. Huna lolote.
Ha ha ha, subiri uzungushe mikono.n
niwe lofa nisiwe lofa wewe pumbavu inakusidia nini au inakuongezea nini au unapungukiwa nini jinga ww
Pumbavu kabis yani Mzungu aingie nchini apige risasi raia wa nchi hii mpaka leo haijulikani ni nani kawaambie hadithi hizi wajinga wenzakoWewe ndiye unaendekeza ukeng na usenbng. Hivi ni kitu gani huelew ewe pimb mpinga maendeleo?
Yaani wazungu wanawatumia hao wapuuzi. Yaani unakuta hao hao wanawapiga risasi
Idiot is grossly an understatement. Awamu ya 5 imetutuengezea IS; watu katili wenye ujasiri wa kuua binadamu wenzao kwa kuchinja kama kuku. Maneno yanayotolewa kumdhihaki Lissu kwa kunusurika huwezi kuamini yanatolewa na Watanzania wa taifa la Nyerere.Idiot at work
Madhara ya kuzaliwa baada ya Mzazi kubakwa akiwa amelewa ndio akili Kama hizi
Mkuu, with all due respect, huwezi muita mkuu wa nchi ni dikteta na muuaji kama huna ushahidi wa hilo.
Kwa sababu ile tu kuwa nao ni dawa tosha ya kukomesha hali hiyo ya kiongozi wa nchi kujihusisha na maj=aji ya viongozi wa siasa na wanaharakati.
Mnawafanya watanzania wabaki na historia ya maumivu moyoni wakati kuna mambo ya maana mnafanya ambayo hayahiyaji hata kuuwa au kupoteza mtu ili mpendwe natafuta mda niweke list za mambo ya msingi ambayo mpaka sasa yameahafanyika, ambayo ni silaha katika kuonyesha ubora wa serikali ya sasa, kinachonisikitisha huu ujinga wa kupoteza watu ni nani anatoa ushauri stupid, mbaya zaidi viongozi wakuu hawajemei wala kusema jambo wakisimama wanaharibu haiba yao kwa kutoa kauli zenye kuudhi na kuonyesha wanahusika kwenye mambo ya kijinga na yenye kuumiza wakosoaji .
Kimbia kabisa 😂😂😂Ngoja nigeuze hii nissan patrol nyeupe ,dogo katushtukia
kuharibiana kazi sa si tunaenda kuriport nnKimbia kabisa 😂😂😂
Unajua unaweza ukawa unamtukana mtu kumbe anaedhalilika ni mwingine kwenye hili kuna mtu anataka attention kama jiwe? Mahindi yamekuwa yakiuzwa wfp miaka kibao ila hatukuona rais anaitisha press kwa ajili hio so jiwe nae alitelekezwa na wazazi ndio maana anataka attention au sio?Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.
Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujakusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!
Ngedere mkubwa sijui nyani....unataka tukuelewe kwani we Mungu?Hivi wewe na hao nyumbu wenzio mmeelewa kweli nilichokiandika hapo?
hivi ni watu wote watakuwa na uwezo wa kujilinda, halafu mbona wanaolengwa ni wakosoaji tu wa serikali ambao kimsingi haikuhitaji hata nguvu kubwa ya kupambana nao zaidi ya kuwajibu kwa hoja zenye mashiko ambazo mnazo tena zisizohitaji hata nguvu kubwa kun kitu hakiko sawa kwenye nfumo mzima wa serikali.Ujinga wa kupoteza watu au kushambuliwa kwa risasi hao watu hakuna anaefahamu si mimi wala wewe wala pengine hata serikali yenyewe.
Hakuna anaefahamu khasa ni kama vile kitendawili kwani ni hao wahusika ambao ama wametishiwa Maisha kwa simu au ujumbe wa simu lakini si uso kwa uso.
Ni vigumu sana serikali kulishughulikia hilo maana haijulikani nani ana silaha na nani anafadhili hayo mauaji au hata mashambulizi.
Hii nchi kwa sasa ipo kwenye mtihani mkubwa na waweza kuona hata kiongozi wa nchi ameongezwa ulinzi ikiwa ni ushauri tu kutoka kwa watu wanaoelewa masuala ya sintofahamu kama hizi.
Ushauri tu ni kwa Zitto kuendelea kujiangalia nyuma ya bega na hata huyo Tundu Lissu kama angekuwepo hata Tanzania basi angeomba hata ulinzi binafsi.
Mbona watu kama Gwajima nao wanalindwa na wapambe?
Damu ya mtu kamwe haiwezi kwenda bure lazima itanena tu. Kuna siku damu iliyomwagika ya watu wale itaingia kinywani mwa mhusika mmoja na kumfanya atoe siri kabla ya mauti kumfikia.Nimefurahi tu na Code za Operation umeweka wazi ..hao waliopanga huko wanashangaa sasa hivi hizo info zimevujaje
Haya mashetani yamesha onja damu ya Lissu,Mawazo,Azory ,Ben Saanane na wale waliokuwa wanaelea mto Ruvu kwenye viroba Mwigulu akatuambia ni wahamiaji haramu ,bila kusahau Kibiti hivyo hawawezi acha
Uzuri auwae kwa upanga atauliwa kwa upanga ni swala la muda tu
Na amwagae damu zisizo na hatia laana yake ipo mpaka kizazi cha nne huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa udikteta upo chungu nzima nzima fungua akili yako utauona. Watu kama wewe ndiyo mnamvimbisha kichwa huyu dhalimu na dikteta.
Udikteta wake na mauaji anayoyafanya yako wazi kabisa lakini mmeamua kuangalia pembeni kwa sababu zenu binafsi.