Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Kwanini yuko kimya kama hahusiki? Kwanini hakuruhusu wachunguzi toka nchi za nje? Hana mamlaka huyo dikteta na MUUAJI kutoa vitisho kwa mbunge yeyote yule anayeongea ndani ya Bunge au nje ya Bunge.

Very circumstantial! Labda kwako inajitosheleza.
 
Wanajitekenya wenyewe, yaani mtu anatumiwa na wazungu, wanampa hela kuichafua serikali, wazungu wakiona amefikia climax basi wanaunda kikundi wanajifanya wana usalama, wanafanya vikao then wanamtuma mmoja wao kuvujisha siri kwa mhusika mla hela za wazungu, mtu huyo anaamini ni serikali anakuja twitter kusema kuna mpango. Wakati huo wazungu wanampa pumzi kwa kumuongezea dau mhusika anazidi kuichafua serikali, anapata misukosuko mikubwa kwa sababu anavunja sheria, basi wazungu hao wanafanya timing wanamtwanga risasi mhusika. Hivyo zzk aache uzuzu, kila kitu kinajulikana, hao wazungu watawamaliza enyi pimb
ww acha upimbi pia ina maana Ben saanane aliunda uwongo alafu akapotea na Lisu alivyosema anafuatiliwa yalikuwa maagizo acheni upimbi
 
ww acha upimbi pia ina maana Ben saanane aliunda uwongo alafu akapotea na Lisu alivyosema anafuatiliwa yalikuwa maagizo acheni upimbi
Pimb elewe maana ndiyo uchangie. Wao wahusika kama ZZK au Lisu anakuwa hafahamu kwa sababu system zetu ni za kisiri hivyo wanamua kuwaamini hao matapeli na magaidi. Badala ya kuomba ulinzi polisi wao wanaambiwa na hao wazungu police are corrupt hivyo wanaacha kuamini uzalendo wa nchi yao. Na wazungu watawamaliza pimb nyie
 
Inawezekana kabisa maana ya Lissu yalianza hivi hivi.

Hata Ben Saanane ilikuwa hivi hivi na mpaka leo hajulikani alipo.

Zitto amekuwa akivujisha mambo mazito na sijawahi sikia kakamatwa au kushitakiwa kwa kuchafua watu fulani zaidi ya kushitakiwa hivi karibuni.

Kama madai haya nayo ni ya kweli kama tulivyoona kwa Lissu, basi kuna watu/mtu (mhusika wa mambo haya ) lazima ajiulize ni kwanini siri zinavuja kama kweli wote wanaomzunguka wanamkubali na pia yeye mwenyewe ajitafakari kama yuko .......
Kwanza tumuombe mwenyezi mungu jilo jambo lisitokea, kwani litaleta taharuku kubwa sana. Na kama kuna wanotaka kutenda jambo kama hili, na wanafikiria lina manufaa kwao, basi warudi kweny drawing board zao, na wajue kuwa hili litawazingua na madhara yake yatakuwa makubwa sana kwao.

Ndugu SS kwenye post yako umemalizia na uleule uzembe wako wa kufikiria utaweza kumchonganisha mkuu na watu wake, nawe unahitaji kurudi kwenye drawing board ya hao wanaokulipa, naona hujaielewa kazi uliyotumwa , umebaki kutapatapa ovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi gani tena unataka zaidi ya hii kauli na kutokuwa na uchunguzi wowote au kauli ya huyo MUUAJI kukemea mauaji mbali mbali nchini?



Mkuu, with all due respect, huwezi muita mkuu wa nchi ni dikteta na muuaji kama huna ushahidi wa hilo.

Kwa sababu ile tu kuwa nao ni dawa tosha ya kukomesha hali hiyo ya kiongozi wa nchi kujihusisha na maj=aji ya viongozi wa siasa na wanaharakati.
 
Pimb elewe maana ndiyo uchangie. Wao wahusika kama ZZK au Lisu anakuwa hafahamu kwa sababu system zetu ni za kisiri hivyo wanamua kuwaamini hao matapeli na magaidi. Badala ya kuomba ulinzi polisi wao wanaambiwa na hao wazungu police are corrupt hivyo wanaacha kuamini uzalendo wa nchi yao. Na wazungu watawamaliza pimb nyie
bado unaendeleza upimbi ule ule hivi mfano issue ya Lisu mpaka sasa kuna nini kimeendelea wapi issue ya Ben saanane hivi hii kuwafanya wa tz wote wajinga mnafikiri haina mwisho, kuna mambo yanaweza kuwa yanafanyika ni mazuri lakini huu Upimbi muache.
 
Mkuu, with all due respect, huwezi muita mkuu wa nchi ni dikteta na muuaji kama huna ushahidi wa hilo.
Acheni ujinga hivi kama watu wanapoteza uhai, tofauti na tawala zulizopita katika mazingira yasiyoeleweka unafikiri raia wa kawaida anwaza nn, ndio mana tunasema mazuri yapo ila kuna sehemu yanaharibiwa kipumbavu na wasimamizi hawasemi.lolote
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

stone tangawizi upande wa mbele anasema jeshi likiua majambazi ni cheo,kwa upande wa nyuma jeshi limepewa amri ya kuua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikono yake itaendelea kujaa damu za watu

Siyo yake mwenyewe tu; bali na ya hao wazee wetu waliotukubidhi kwenye mikono 'salama'! Halafu wao wakaenda kula bata! Siju huwa wanapata usingizi kiasi gani!
 
Acheni ujinga hivi kama watu wanapoteza uhai, tofauti na tawala zulizopita katika mazingira yasiyoeleweka unafikiri raia wa kawaida anwaza nn, ndio mana tunasema mazuri yapo ila kuna sehemu yanaharibiwa kipumbavu na wasimamizi hawasemi.lolote

Ni wewe wa kuacha ujinga na ni lazima uandikapo utumie busara na hekima badala ya kuandika tu ili mradi umetumia keyboard na jina bandia.

Lakini si kwa shutuma za moja kwa moja kwa kiongozi wa nchi.

Bado zipo njia khasa dialogue kuzungumza na serikali ili kutafuta khasa ukweli juu ya hayo unayodai yametokea kwa hao wahusika.,

Siasa hizi za dialogue bado sisi waafrika hatujajifunza hivyo inakuwa taabu kujiweka kwenye hali hiyo ya kuwasilisha hioja katika hali ya kistaarabu.

Huwezi kusimama jukwaani na kutumia lugha ya kashfa na kejeli kwa kiongozi wa nchi achilia mbali kutumia JF kufanya hivyohivyo.
 
Acheni ujinga hivi kama watu wanapoteza uhai, tofauti na tawala zulizopita katika mazingira yasiyoeleweka unafikiri raia wa kawaida anwaza nn, ndio mana tunasema mazuri yapo ila kuna sehemu yanaharibiwa kipumbavu na wasimamizi hawasemi.lolote
Na wewe acha ujinga. Watu wamekuwa wanapoteza uhai tangu awamu ya kwanza, hapo unasemaje?
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.


Alishakumu sio matusi hivi kuna. Mtu amewahi tia dole mkunduni akanusa akasikia arufu nzuri?
Au mtu jitekenya akacheka mwenyewe?
Jaman tusifanye masihara hii serikal inamanisha sasa tujifunze kukumbuka neno hili.
"Zama zimebadilika"
 
Yani kesi ya nyani umpelekee ngedere??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliripoti Lisu wala hawakufanya lolote pumbavu zao, Mtu shujaa mpaka sasa ni Zacharia wa Tarime aliwakomesha kwa kuwapiga Risasi na kama wangefanikiwa kumchukua pengine leo angekuwa historia, hebu tafakari watu wankuja na gari yenye namba ya mpinzani wako kibiashara hivi angetekwa si mpaka leo mpinzani wake kibiashara angekuwa anasota kuna mambo kwenye hii serikali ni ya kijinga kabisa Shubamiit
 
Back
Top Bottom