Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Eehe bado wanaendelea , ngoja tukasali, tumemwachia Mungu sasa
 
Serikali makini yeyote duniani baada ya kauli hii ya raia basi immediately inge take action kupeleleza tuhuma hizi na pia kumpatia ulinzi.

Sababu ya kufanya hivyo ni kwanza raia aliyelalamika kwamba kuna njama za kummuua ni Mbunge pia ni Kiongozi wa chama cha siasa.
 
Kwani Zitto kaanza leo hizi ngonjera? ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujakusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!
Sasa kama akina Alphonse Mawazo waliuwawa sembuse Zitto.
 
Uuliwe Zito Kabwe kwa lipi haswa? I mean hii ndo shida ya Wazazi kutelekeza watoto na kutokuishi nao kuwapa mapenzi ya dhati matokeo yake wanakuwa viumbe walio na mapungufu makubwa ya upendo hivyo siku zote wanatafuta attention na validation kila mahali.

Haya tumekusikia basi tutakujadili wiki nzima hatujakusahau, ni kwamba tu tuna mambo mengime pia ya kujadili, lkn hatujakutupa!
Haha uko kama mke mwenza.. Visa asubuhi mchana jioni kama mlo wa siku
 
Mimi ninge sikia mwanajF MS ndiye anasema anawindwa kwa kutumia code Mzizima 2 kidogo ni ngalishtuka. Zitto na Mzizima wapi na wapi? Yeye angesema code za Mwandiga labda kwa mbali.

Mimi na mshauri kama anachukuwa tahadhari seriously atoe taarifa polisi huo ni utararibu wa kisheria na yeye ni mtunga sheria. Kingine ahakikishe sura yake haifanani na jambazii sugu lolote lililotokomea siku nyingi na limekuwa likiwindwa bila ya mafanikio.

Tahadhari ya maana aliyokwisha chukua ni hiyo ya kumtegemea Mungu kama mlinzi wake na kama kweli anamaanisha hivyo. Maana Mungu wa kweli ni mwenye wivu hakubaliani na shiriki yeyote ile. Shiriki yaweza ikawa tiketi ya maangamizi pia.
 
Nilifikir wa tz wote mutaungana khs lalamiko la zito na kukemea vitendo ya kikatil vinavyoendelea nchin kwenu vya kutesa na kuua kila anaemkosoa mflame kumbe la wapo wanaosema kik, wapo wanaosema ngonjera nk
msisahau kuhusu TL Pia kuhusu ben saa 8 nao walitoa malalamiko yao hiv hiv lakn mliwapuuza na kukejel kama mnavokejel
wewe unaekejel na kuponda amin ambaye amewai kula nyama ya mtu hajawai kuacha
WAKIMALIZA KWETU WATAKUJA NA KWENU
 
Najua ni kuishutumu serikali ila wangetaka kumuua huyo anatiliwa sumu kwenye mike anayozungumza nayo, anatiliwa sumu kwenye kinywaji anachokitumia. Inammaliza taratibu anakuja kufa kwa ugonjwa wengine hawajui. hakuna serikali inayotaka kukuua kinamna ambayo itajulikana haraka hivyo, nyingine kiki hizo.

Hata Lissu naye angekuwa auawe na serikali basi eneo lile la tukio asingetoka mzima, risasi moja ama mbili tu ndiyo zingetumika. Hata angepona na kuingia kile chumba upasuaji Dodoma, na jinsi hospital za serikali zilivyojaa vibaraka. Asingetoka hai, na hakuna ambaye angejua kauawa. Si wanakuwekea tu damu ambayo si kundi lako, nani atajua?
Ule uhuni umefanywa na wahuni tu.

Hizi ni Sympathy vote kwenye ulingo wa siasa ndiyo zinatafutwa, kumfanya mwanasiasa awe juu na jina lake lisotoke midomoni mwa watu. Kunatumika mbinu nyingi mno, zenye ubaya na uzuri. Watawalaghai wengine.

"Mwanasiasa yupo kwenye kampeni muda wote, hata kama hakuna uchaguzi"
We jamaa assumptions zako "zakihollywood" unahisi matukio ya kibongo ni kama ya MI7 au CIA kwamba wako so efficient yaani mission zao wanaziexcute na accuracy ya 90% blaza hii ni bongo kustage matukio hatuwezi, kutengeneza scenes kazi kila kitu sisi chenga blaza.

Wewe umesuka plan yako ya sumu kwenye mic ukaona yes mission accomplished au unahisi TL angepigwa critical shots na snipers sijui. Lile ni jaribio la kumuua limefeli nani alifanya hatujui Ila ni wabongo ambao kulipua kazi jadi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua ni kuishutumu serikali ila wangetaka kumuua huyo anatiliwa sumu kwenye mike anayozungumza nayo, anatiliwa sumu kwenye kinywaji anachokitumia. Inammaliza taratibu anakuja kufa kwa ugonjwa wengine hawajui. hakuna serikali inayotaka kukuua kinamna ambayo itajulikana haraka hivyo, nyingine kiki hizo.

Hata Lissu naye angekuwa auawe na serikali basi eneo lile la tukio asingetoka mzima, risasi moja ama mbili tu ndiyo zingetumika. Hata angepona na kuingia kile chumba upasuaji Dodoma, na jinsi hospital za serikali zilivyojaa vibaraka. Asingetoka hai, na hakuna ambaye angejua kauawa. Si wanakuwekea tu damu ambayo si kundi lako, nani atajua?
Ule uhuni umefanywa na wahuni tu.

Hizi ni Sympathy vote kwenye ulingo wa siasa ndiyo zinatafutwa, kumfanya mwanasiasa awe juu na jina lake lisotoke midomoni mwa watu. Kunatumika mbinu nyingi mno, zenye ubaya na uzuri. Watawalaghai wengine.

"Mwanasiasa yupo kwenye kampeni muda wote, hata kama hakuna uchaguzi"
Huu ulimbukeni wa hali ya juu. Ukosefu wa akili ndio UTI wa mgongo wa umaskini.
Eti hata Kama ni serikali imepanga kumuua lisu wangemuwekea damu ya group tofauti kwenye chumba Cha upasuaji dodoma.
Akili yako inawaza kabisa kuwa serikali katika kupanga kumuua Lissu waliplan kuwa watammiminia risasi 38 then baada ya hapo hatakufa Bali atapelekwa chumba Cha upasuaji then wao wawe wameandaa kabisa damu ya group tofauti??
Aisee unasikitisha Sana kwa uzuzu wa kiwango hiki.

Zama zimebadilika ndugu.
Watu wanaelewa hayo yote unayosema sijui kuua kwa sumu na wanajihadhari nayo na ndio maana umeona serikali yako ya mauaji imebadilisha mbinu na kuona Bora kumimina mirisasi tu.
Nikupe story fupi labda. Siku moja nikiwa Mwanza alikuja Lissu na wenzake watatu katika baa moja inaitwa vila park. Nilikaa jirani na meza yao. Nilipata funzo moja kubwa kwa nilichokishuhudia. Walikuwa wanaagiza vinywaji na Chakula. Cha ajabu kila kinywaji kikiletwa wanabadilishana mpaka glasses. Lissu aliagiza kinywaji lakini mtumiaji akawa mwenzake aliye pembeni na Cha mwenzake ndicho kikawa chake. Walifanya hivyo hivyo na kwenye Chakula.

So unaweza kuona ni jinsi gani watu sio wajinga Tena hivyo wauaji nao wanapata tabu mpaka kuona Sasa wanatumia chatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto akiuwawa itapelekea watu wa Mkoa wa kigoma kuanzisha vuguvugu la kujitenga.
 
Nakumbuka alisema ameshaaga kwao, kwa hiyo yuko vizuri.... Sina shaka na hilo
 
Nyie watu hamjaelewa kabisa. Mna vichwa vigumu sana.

Ninaposema ‘I hope it’s not true’ ni kwamba, namaanisha hizo habari naombea au natamani zisiwe za kweli.

Yaani habari za huo mpango wa kumuua Zitto zisiwe za kweli.

Au wewe na nyumbu wenzio mnataka hizo habari ziwe za kweli?

Mimi sitaki ziwe za kweli. Nataka ziwe fake news tu.

Ninachotaka kusiwepo kabisa na hata fikra za kutaka kumuua.

That’s why I hope it’s not true.

What part of that don’t you understand?
Unabadilisha upepo wa ulichomaanisha.
I Better hope it's true ili tahadhari ichukuliwe kuepusha hayo mauaji tarajiwa.

Hivi mfano mamlaka ya Hali ya hewa ikitoa tahadhari ya uwezekano wa kuja kwa kimbunga kizito au tetemeko la ardhi jibu wanalostahili ni I hope it's not true??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamefyekerewa Tena!! Wasukuma mna kazi Sana na matumizi ya lugha.
Haya endeleeni na mauaji awamu ni yenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyetumia huo msemo siyo mimi bali ni Mchaga mwenzio, fwatilia vizuri utaelewa kama ukipenda, nilikuwa namjibu kwa nini ametumia ,,kufwekerewa mbali kwa Tundu Lisu na Saanane?”.
 
Back
Top Bottom