Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Acha uongo wewe mwanamke! Watu wa Rufiji hawaongei kama wewe na wenzako.
Basi wewe ndo unanijua klk mimi ninavyojijua mwenyewe, hongera kwa hilo.
Acha uongo wewe mwanamke! Watu wa Rufiji hawaongei kama wewe na wenzako.
Watu wa Rufiji hawana hilo tatizo la “r na l”Basi wewe ndo unanijua klk mimi ninavyojijua mwenyewe, hongera kwa hilo.
Watu wa Rufiji hawana hilo tatizo la “r na l”
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.
Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani
We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan
Jee, kuna kumbukumbu yo yote (namba ya taarifa iliyotolewa polisi) kuhusu tuhuma alizokuwa nazo Lissu? Watu walichukulia masihara kwa kuwa tu alikuwa analalamika vijiweni bila kufika polisi na kutoa taarifa akapewa namba ya taarifa yake. Polisi hawawezi kufanya kazi kwa rumours zinazoandikwa mitandaoni. Kwanza wala hatuna uhakika kama polisi wameziona hizo rumours kwa sababu mitandao ya kijamii siyo njia rasmi ya utendaji kazi wa polisi; au idara yo yote ya kiserikali.Tundu Lissu alitahadharisha hivihivi watu tukachukulia masihara.
Ben Saanane alilalama watu tukachukulia mzaha...
Ngoja tusubiri tuone
Watu wasiojulikana to strike again!#RIP LissuI hope it’s not true.
Sasa ulichokiongea ni kipi? Hoja yako ni ipi?Huu ulimbukeni wa hali ya juu. Ukosefu wa akili ndio UTI wa mgongo wa umaskini.
Eti hata Kama ni serikali imepanga kumuua lisu wangemuwekea damu ya group tofauti kwenye chumba Cha upasuaji dodoma.
Akili yako inawaza kabisa kuwa serikali katika kupanga kumuua Lissu waliplan kuwa watammiminia risasi 38 then baada ya hapo hatakufa Bali atapelekwa chumba Cha upasuaji then wao wawe wameandaa kabisa damu ya group tofauti??
Aisee unasikitisha Sana kwa uzuzu wa kiwango hiki.
Zama zimebadilika ndugu.
Watu wanaelewa hayo yote unayosema sijui kuua kwa sumu na wanajihadhari nayo na ndio maana umeona serikali yako ya mauaji imebadilisha mbinu na kuona Bora kumimina mirisasi tu.
Nikupe story fupi labda. Siku moja nikiwa Mwanza alikuja Lissu na wenzake watatu katika baa moja inaitwa vila park. Nilikaa jirani na meza yao. Nilipata funzo moja kubwa kwa nilichokishuhudia. Walikuwa wanaagiza vinywaji na Chakula. Cha ajabu kila kinywaji kikiletwa wanabadilishana mpaka glasses. Lissu aliagiza kinywaji lakini mtumiaji akawa mwenzake aliye pembeni na Cha mwenzake ndicho kikawa chake. Walifanya hivyo hivyo na kwenye Chakula.
So unaweza kuona ni jinsi gani watu sio wajinga Tena hivyo wauaji nao wanapata tabu mpaka kuona Sasa wanatumia chatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unakumbuka hapa Tanzania ilishapangwa mauaji yakaenda nje ya lengo, mlengwa akiwa hajui ila alinusuriwa na Mungu tu.We jamaa assumptions zako "zakihollywood" unahisi matukio ya kibongo ni kama ya MI7 au CIA kwamba wako so efficient yaani mission zao wanaziexcute na accuracy ya 90% blaza hii ni bongo kustage matukio hatuwezi, kutengeneza scenes kazi kila kitu sisi chenga blaza.
Wewe umesuka plan yako ya sumu kwenye mic ukaona yes mission accomplished au unahisi TL angepigwa critical shots na snipers sijui. Lile ni jaribio la kumuua limefeli nani alifanya hatujui Ila ni wabongo ambao kulipua kazi jadi yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema hivi acheni UPUMBAVU, Muulizeni Nani anataka kumuua?Acheni kuendeshwa na siasa za maji takaAngekuwa amesema kuna “watu wanataka kumuuwa rais”, polisi wangesubiri aende kutoa maelezo? Lema mwenyewe aliota ndoto wakamfuata! Acheni unafiki!
Polisi wameingiaje hapo? Mbona unachachawa na hoja ndogo tu? Mi nimezungumzia kulalamika mitandaini sio kuripoti polisi.. Au una mashaka??Jee, kuna kumbukumbu yo yote (namba ya taarifa iliyotolewa polisi) kuhusu tuhuma alizokuwa nazo Lissu? Watu walichukulia masihara kwa kuwa tu alikuwa analalamika vijiweni bila kufika polisi na kutoa taarifa akapewa namba ya taarifa yake. Polisi hawawezi kufanya kazi kwa rumours zinazoandikwa mitandaoni. Kwanza wala hatuna uhakika kama polisi wameziona hizo rumours kwa sababu mitandao ya kijamii siyo njia rasmi ya utendaji kazi wa polisi; au idara yo yote ya kiserikali.
"Polisi wameingiaje"? Polisi ndiyo chombo maalumu cha kulinda usalama. Hata kama wewe ukigombana na jirani yako usalama ukahatarishwa polisi wanahusika moja kwa moja. Ndiyo maana ya kuripoti polisi katika kila tishio la usalama. Hata kama unamfahamu anayetishia usalama wako huna budi kwenda polisi kupata usuluhishi. Ukimfuata moja kwa moja unayemtuhumu kunaweza kukawa na majanga zaidi ambayo hukutegemea. Unapolalamika mitandaoni hizo zinakuwa hadithi za kustarehesha watu vijiweni na hustahili kumlalamikia yo yote kama uovu uliokuwa unaushuku ukatokea kweli.Polisi wameingiaje hapo? Mbona unachachawa na hoja ndogo tu? Mi nimezungumzia kulalamika mitandaini sio kuripoti polisi.. Au una mashaka??
Kati ya watu "masaburi" Wewe Ni namba moja; Maisha ya mwenzako yako hatarini Wewe anashangilia. Sawa mkubwa, kuna siku yatakuwa yenu, maana Mungu Ni wetu sote.Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa
Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha,
kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.
Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium
Kuandika twiter ndio itapata msaada. Haya msaidieni
Unaanza matusi sasa. Kama huna hoja piga kimya.Nasema hivi acheni UPUMBAVU, Muulizeni Nani anataka kumuua?Acheni kuendeshwa na siasa za maji taka
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Haya basi asipige kulelewa yupo salama kwa kuwa tumefahamu masahibu yake.Mkuu, sisi wote kujua hiyo taarifa ni msasada tosha kwake.
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.
Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani
We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan
Nyie endeleeni tu kukejeri na kutafuta mshiko kwa mabeberu na kutumaini wawawekeni nyie kuwafanyia kazi ya kupora uchumi wetu. Awamu ya 5 haiko kufanya mzaha na mtu kwamba nyie kina zzk lissu et al mnapigania demokrasia wakati ukweli mnatumika ili kukidhi uroho wenu wa kushika dola. Si mnajidai mnajua sheria na katiba wakati mnategemea kuwahonga mahakimu au baadhi ya mahakimu ni wenzenu..Mkipotea au kuvunjwavunjwa miguu ni shauri lenu maana awamu hii ni hapa kaxi tu kuwaletea watu maendeleo.Mfalme juha hana na hajawahi kuwa na akili ya kujitafakari maana anaamini kashushwa na malaika
Sent using Jamii Forums mobile app