Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa

Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha,

kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.

Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium


Mkuu, embu fafanua vizuri hilo ghala Mkuu nielewe.

Ninakuaminia sana kwa nondo za jikoni.

Please, embu pambanua basi Mkuu Pohamba
 
Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa

Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha,

kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.

Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium
Kwaiyo concern yako kwamba ZITTO anatumika, unaishi wapi? where is Azzory? we are living under darkness
 
Mimi naamini kwamba zitto siri nyingi anazipata kutoka ccm ambao hutaka kuikosoa serikali, kwa vile ukiwa mwana ccm ukiwa bungeni huwezi kuikosoa serikali ispokua kupiga kofi na ndio.

Vikao vya ccm huwezi kuikosoa serikali vile vile wala mawaziri, ni njia tu ya kuwa nyamazisha, na utakapo kosoa ndio u wanachama unauvua hapo hapo.

Kama kweli ccm wanakosoana kwenye vikao vyao naamini tusinge fika hapa tulipo, nchi kukimbiwa na wawekezaji pamoja na biashara kufungwa na wafadhili kutoa onyo kali kwa uvunjaji wa haki za binadam na democracy.

Zitto kusema maneno hayo na kutaka kunyamazishwa naamini msamaria mwema ndani ya ccm kamtonya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dawa moja tu ya haya matatizo titi for tat kama kule msoma. Hiyo tu ndo dawa. Otherwise watu wataendelea kuwindwa na huyo shetani mtu
 
Skripal alikuwa raia wa Russia! Double agenting never pay handsomely! Zitto namshauri aendelee kuwa mzalendo asiyajaribu hata siku moja maisha ya Skripal!!
 
Inawezekana na Rogue elements ndani ya system ya nchi,ambazo zimeamua kufanya yao bila mkulu kufahamu,lakini kwa Africa,operation kama hizi za kuwazima watu,lazima zina baraka kutoka juu,
Mhe Zito asijitape bure,wakiamua aondoke,anaondoka tu,labda kama yupo kwenye paylole ya CIA,Jamar Khashogi,Robert Ouko pale Kenya.Stanislaus Katabalo mhandishi nguli kipindi cha awamu ya Pili,Imran Kombe,
Wakikutaka,watakupata tu ndugu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngosha anashambuliwa awamu hii lakini haya mambo yapo africa nzima tangu miaka ile ya 60 wakati wa uhuru.

Yule daktari wa kinyakyusa aliyeokotwa mabwe, ilikuwa ni amri ya mkwere mwenyewe, jamaa wa kijitomchuzi walikuwa na hamu ya kushughulika nae kwa muda mrefu lakini mkwere aliongozwa na imani yake na utu wake, siku moja akaona maombi ya jamaa wa kazi yamezidi, ndipo akapiga saini watu wafanye yao.
 
Ila utakubaliana na mimi kwamba Tundu Lissu alikuwa hakosoi bali kukashifu, kutukana na kukejeli uongozi wa nchi jambo ambalo laweza kabisa kuamsha hisia kali kutoka kwa raia yoyote yule.

Raia huyo/hao anaweza kuchukua hatua yoyote ile kali kwa kuona kwamba Tundu Lissu anafanya hivyo kama nani nchi hii.

Au wewe waona ni sawa kufanya alokuwa akiyafanya Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kumkashifu kiongozi wa nchi?
We una matatizo ya akili ndugu yangu!

Naona unaharisha uharo wa kijani tu!

Puuuuumba tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukabila umekumaliza , umekuwa kama msukule wa kihindi ! awamu ya 5 hii unayoiabudu haina uwezo wowote wa kujenga hoja , njia yao pekee ni mauaji , sasa zamu yako ikishafika ndio utaelewa kwamba shetani hana rafiki

Na siku akifa uje tena usema haya maneno yako
 
Raisi wa sasa wa Brazil Jair Bolsonaro ambae ana msimamo mkali wa mlengo wa kulia, alichomwa kisu na raia ambae hakupendezwa na kauli zake alizokuwa akitoa kwenye mikutano ya kampeni.

Huko Uingereza miaka miwili ilopita raia mmoja mwenye msimamomklai alikwenda kwenye ofisi za mbunge mmoja aitwae Jo Cox na kumpiga risasi kisa tu mbinge huyo kutetea Uingereza ibakie kwenye jumuiya ya Ulaya.

Hivyo mtu naweza kabisa kusimama jukwaani na kuongeza au kutoa kauli anadhani kuwa ni sawa lakini kumbe zinaumiza wengine.,
Hebu nitajie matusi aliyotoa Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operation maalumu iliyoanzishwa kwa lengo la kummaliza.

Tunafahamu kuwa Operesheni Maalumu #Mzizima2 imepewa kibali kutekelezwa. Dhima ‘ Vita ya Mwisho kuleta Nidhamu kamili’ inataka kinachoitwa kumnyamazisha SAI ( mie huyo ). Wakajipange upya Tu. Mungu tu Ndio anaweza kuninyamazisha. SIOGOPI mwanadamu mwenzangu aslani

We are aware of a special operation to ‘finish’ me off. Special Operation code named ‘Mzizima 2’ has been given the go ahead with the mission ‘Final Battle for the Total Discipline’. The aim of the mission is to completely silence the voice of SAI (aka Zitto). They Better replan




Sasa kama wanataka kumuua kwa manufaa ya taifa, sie raia wenye nia nzuri na nchi tufanyeje?
 
Back
Top Bottom