Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Jee, kuna kumbukumbu yo yote (namba ya taarifa iliyotolewa polisi) kuhusu tuhuma alizokuwa nazo Lissu? Watu walichukulia masihara kwa kuwa tu alikuwa analalamika vijiweni bila kufika polisi na kutoa taarifa akapewa namba ya taarifa yake. Polisi hawawezi kufanya kazi kwa rumours zinazoandikwa mitandaoni. Kwanza wala hatuna uhakika kama polisi wameziona hizo rumours kwa sababu mitandao ya kijamii siyo njia rasmi ya utendaji kazi wa polisi; au idara yo yote ya kiserikali.
Nasikia Mwanamalundi alikuwa mchawi wa kisukuma. Polisi hawa wazee wa intelligensia wasione?? Kuna Abdul Nondo alitekwa na kutaka akapotezwe SaoHill baada ya kelele za kutosha kutoka kila pembe akaponea chupu na kwenda kuripoti Police Mafinga, lakini kilichofuata akabadilishiwa yeye ndio mhalifu. Waziri Nchemba na hata Makonda ikawa ndio wimbo huohuo akaitwa kinyago.
 
Kumbe mnapoteza watu na kuwavunja miguuu?naamini ile albadili imeanza kufanya kazi yake maana sasa mmeshaanza kujitaja mabaya mnayo yafanya
Hawa warundi wa kigoma shida sana. Hawawezi kuishi nchi za watu bila kutaka uongozi wa kisiasa. Kuanzia sheikh issa ponda kuna zitto kuna yule mtoto wa shule kila siku fujo tu kutafuta umaarufu.

Nyie endeleeni tu kukejeri na kutafuta mshiko kwa mabeberu na kutumaini wawawekeni nyie kuwafanyia kazi ya kupora uchumi wetu. Awamu ya 5 haiko kufanya mzaha na mtu kwamba nyie kina zzk lissu et al mnapigania demokrasia wakati ukweli mnatumika ili kukidhi uroho wenu wa kushika dola. Si mnajidai mnajua sheria na katiba wakati mnategemea kuwahonga mahakimu au baadhi ya mahakimu ni wenzenu..Mkipotea au kuvunjwavunjwa miguu ni shauri lenu maana awamu hii ni hapa kaxi tu kuwaletea watu maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nchemba anapambana na hali yake dadeeki
Nasikia Mwanamalundi alikuwa mchawi wa kisukuma. Polisi hawa wazee wa intelligensia wasione?? Kuna Abdul Nondo alitekwa na kutaka akapotezwe SaoHill baada ya kelele za kutosha kutoka kila pembe akaponea chupu na kwenda kuripoti Police Mafinga, lakini kilichofuata akabadilishiwa yeye ndio mhalifu. Waziri Nchemba na hata Makonda ikawa ndio wimbo huohuo akaitwa kinyago.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaanza matusi sasa. Kama huna hoja piga kimya.
UPUMBAVU sio matusi, mtu anawaambia kutishiwa maisha badala ya kuhoji na katishiwa na nani nyie mnabaki kupiga kelele. Badala ya kuhoji ameenda polisi kulipoti?Mnabaki mnapiga kelele na kuja hoja uchwara oooh polisi wanafuata maagizo kutoka juu.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kuna dikteta mwingine kule Sudan kask anashugulikiwa huku anashuhudia damu ikimwagika 😔...
 
Lissu ilikuwa risasi...
huyu watatumia nini?? kikotoo ama bombadia??
Aisee kuwa na huruma na mbavu zetu, wengine hatuko imara kihivyo...teh teh teh teh...
 
Huyu mtoto nae anatapatapa tu..ye si alisema watakuta bwawa..sasa kelele za nini??wanasiasa kweli wameishiwa kazi za kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wakipotea mnasema wamejipoteza...mkiwapiga risasi mnasema wamejipiga wenyewe kutafuta kiki. mbaya zaidi kuna wanaowaamini kauli zenu. mtakuja jieleza Mbele ya kiti cha hukumu, haki ndiyo msingi wa amani ya kweli.
 
Ahame sasa! La sivyo atajijua

sent from this unknown device
 
Namkumbusha zitto atoe taarifa polisi, na sehemu nyingine za usalama, na apewe udhibitisho wa taarifa yake, ili ikitokea basi wananchi waanzie hapo. Hawatakawia kumruka kwamba hajatoa taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi? [emoji28] [emoji28] [emoji28] aisee!

sent from this unknown device
 
Anyway.....we are on the right track ...aren't we?/ isn't it?

sent from this unknown device
 
Ngosha anashambuliwa awamu hii lakini haya mambo yapo africa nzima tangu miaka ile ya 60 wakati wa uhuru.

Yule daktari wa kinyakyusa aliyeokotwa mabwe, ilikuwa ni amri ya mkwere mwenyewe, jamaa wa kijitomchuzi walikuwa na hamu ya kushughulika nae kwa muda mrefu lakini mkwere aliongozwa na imani yake na utu wake, siku moja akaona maombi ya jamaa wa kazi yamezidi, ndipo akapiga saini watu wafanye yao.
Daah....haya yote mnayajua kama member wa vikao ! Je yule mpare Dr. yeye nae vipi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali makini yeyote duniani baada ya kauli hii ya raia basi immediately inge take action kupeleleza tuhuma hizi na pia kumpatia ulinzi.

Sababu ya kufanya hivyo ni kwanza raia aliyelalamika kwamba kuna njama za kummuua ni Mbunge pia ni Kiongozi wa chama cha siasa.
Bahati mbaya ni mzushi mzoefu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom