Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

.

The real crap is for you to bring that stuff from US in our country in the name of free speech.

In Tanzania "some people" will not understand that at all!
Is not about free speech but the rule of law.

If they break the law they should be prosecuted and not assassinated.
 
Is not about free speech but the rule of law.

If they break the law they should be persecuted and not assassinated.

But do you know even in US some people take the law into their own hands and blandish knives or ramming guns on other people just because they don't agree with their opinion?.
 
Tumia akili na sio Msuli, hata ukiendelea kjjibu hii sitakujibu labda kama ww ni Richard tuliyekuwa tunajibizana nae tangu awali sababu huelewi msingi wa majibu yangu
 
Ushahidi wa udikteta upo chungu nzima nzima fungua akili yako utauona. Watu kama wewe ndiyo mnamvimbisha kichwa huyu dhalimu na dikteta.

Udikteta wake na mauaji anayoyafanya yako wazi kabisa lakini mmeamua kuangalia pembeni kwa sababu zenu binafsi.
Ebu tupe huo ushahid

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Lissu ilikuwa risasi...
huyu watatumia nini?? kikotoo ama bombadia??

This is already a failed mission........!!
Ruyagwa anamwambia Magufuli na Team yake kwamba: THEY BETTER REPLAN.....!
Hii Timu Magufuli ya kujaribu kuwa-Silence wapinzani kama walivofanya kwa Lissu kuna mahali watalutana na KISIKI CHA MPINGO..........Ruyagwa si mtu wa kawaida ningewashauri wakamwone MUDHIHIR MIDHIHIR Mzee wa Mchinga Sound awasimulie kilichomtokea baada ya kumsulubu Ruyagwa....Time gonna tell....!!!!!!
 
hahahahahaha...
ni kweli uyasemayo
 
But do you know even in US some people take the law into their own hands and blandish knives or ramming guns on other people just because they don't agree with their opinion?.
You said not to bring stuff from USA and here you go..
USA is people here in Tanzania is TISS aka watu wasiojulikana.
And in USA it is not condoned so we shouldn't here also.
 
QUOTE="Richard, post: 29907705, member: 414"]Ila utakubaliana na mimi kwamba Tundu Lissu alikuwa hakosoi bali kukashifu, kutukana na kukejeli uongozi wa nchi jambo ambalo laweza kabisa kuamsha hisia kali kutoka kwa raia yoyote yule.

Raia huyo/hao anaweza kuchukua hatua yoyote ile kali kwa kuona kwamba Tundu Lissu anafanya hivyo kama nani nchi hii.

Au wewe waona ni sawa kufanya alokuwa akiyafanya Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kumkashifu kiongozi wa nchi?
Acha unafiki. Kiongozi wa nchi kitu gani asikashifiwe kama anaharibu??
Trump kiongozi wa most powerful country in the world, they just called him mother*****r and no biggie ndio huyo kichaa??

Halafu hata aibu huna kuhusisha raia na issue ya Lisu??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa ulinzi eneo la makazi ya viongozi wa serikali linalolindwa 24hr??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa CCTV eneo la tukio baada ya tukio bila uwajibikaji wowote??
Raia gani aliyezuia uchunguzi huru wa tukio wakati wa ndani umeshindwa??

So just cut the crap, Jiwe ni muuaji.[/QUOTE]

Sawa ni muuaji, kwa hiyo tukusaidiaje sasa labda?
 
Uwe na akili wewe sio kukarr mambo. Viongoz wenu wanakamatwa kwa makosa sio kukurupuka. Kwanini hawamkamati Silinde, Prof J na wengine wengi?Kwamba hawa sio wapinzani au hawa hawajui upinzan ni nini?Sijawahi ona mbunge wangu kaitisha mkutano kaanza kutukana ovyo.Tukisikia mbunge anakuja eneo letu tunaandaa kero ZERO na tunamweleza. Sijawah hudhuria mkutano wake anafanya kazi ya kutukana viongoz au kuwadharrsha. Huyu sio mwanasiasa?Hivi siasa ni lzm uwe unatoa lugha chafu kila unapofanya mkutano?

Tuje upande wa Zito. Swala la kutishiwa maisha ni la kupeleka polisi na sio tweeter. Huko tweeter anamwambia nani?Huoni ni mwanya wa kikundi cha watu kufanya maasi na Mwisho mseme tulisema?Kwanini hao wanaomtishia maisha asiwataje au awapeleke polisi na jamii ijue kuna swala la kisheria limefanyika?Huko Ufipa mmejaa watu wa aina gani hivi kiasi kulishwa matango pori daily?Hamuamini polisi sawa,Basi awataje hao watu.Tunasema ufipa mmelogwa sio bure

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Ana i alert jamii kuwa likitokea mjue kinachoendelea.Tangu lini kesi ya ngedere uipeleke kwa nyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki. Kiongozi wa nchi kitu gani asikashifiwe kama anaharibu??
Trump kiongozi wa most powerful country in the world, they just called him mother*****r and no biggie ndio huyo kichaa??

Halafu hata aibu huna kuhusisha raia na issue ya Lisu??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa ulinzi eneo la makazi ya viongozi wa serikali linalolindwa 24hr??
Raia gani mwenye uwezo wa kuondoa CCTV eneo la tukio baada ya tukio bila uwajibikaji wowote??
Raia gani aliyezuia uchunguzi huru wa tukio wakati wa ndani umeshindwa??

So just cut the crap, Jiwe ni muuaji.

Sawa ni muuaji, kwa hiyo tukusaidiaje sasa labda?
imbecile
 
Ana i alert jamii kuwa likitokea mjue kinachoendelea.Tangu lini kesi ya ngedere uipeleke kwa nyani

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha UPUMBAVU, mwambieni aende polisi na akitoka huko ndio aje awaambie nini kinaendelea. Sio kukimbilia tweeter.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kanifurahisha alipo sema Mungu tu basi ndio tegemeo lake. Kama anamaanisha hivyo inatosha. Sio ile watabaki sisimizi na blabla nyingine, na asonge mbele ajue pia unafiki nao ni dhambi.
 
We mpinzani gani huyo ata kesi hana, halafu ndio anatakiwa kuuwawa? Jamaa sio wa kuaminika kabisa, ila kama ndio anatumia hii njia ili tusahau yaliyopita is damn wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom